Search results

  1. B

    Mkanganyiko wa Maadili ya Madaktari wakati wa Migomo

    Wanaomba radhi inamaana huduma na vitendea kazi,hizo machines zimenunuliwa tayari maana mgomo haukuwa wa kimaslahi tu.Njaa noma ukizingatia upo jijini lazima uwe mdogo kwa wanaume
  2. B

    Hongera kwa Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu)

    Kwa barabara za ndani mara nyingi zinakuwa zipo chini ya manispaa hapo kuna kuwa na budget yake kwenye halmshauri chini ya mkurugenzi ambapo fedha hizo uidhinishwa kupitia vikao vya baraza la madiwani na mwenyekiti wa halmashauri kwahiyo mbunge makini lazima atafuatilia ilo kwa kuwa karibu na...
  3. B

    Moto mkubwa turiani waunguza lami Barabarani

    Barabara ya lami imefika lini turiani ndugu yangu hadi iunguzwe na moto,hapo umechemka.Kwa taarifa turiani hamna lami labda kama si turiani ya morogoro,wilaya ya mvomero!!
  4. B

    Niko safarini nitahesabiwa wapi sensa?

    Watahesabiwa pia kwa dodoso maalum wala usihofu haachwi mtu
  5. B

    Yutong Vs scania Vs ud

    Nissani UD ni kwa safari ndefu za nje ya nchi na UD Usichezee tambalale na kwenye miteremko hata scania haifuati na ndio maana ukiangalia mabasi yanayoenda malawi,mwanza via nairobi,Uganda,Zambia hadi S.A ni UD yanauwezo wa kutembea muda mrefu,Scania kwenye milima sawa ina turbo ila safari...
  6. B

    Wilaya ya Rungwe Tukuyu mizengwe mitupu kweny kazi ya sensa

    Sasa we watu waligoma na wanaendelea kugoma kwasababu hawajakamilishiwa madai yao unategemea watafanya nini wakipeleka maelezo potofu serikalini itakuaje? hauoni kuwa watakuwa wamearibu mipango ya maendeleo ya nchi,ni vema kwasababu watawapa watu wengine shughuli ya kufanya waliokuwa mitaani tu...
  7. B

    Finally Huawei E303 unlocked

    Mkuu tatizo lipo wapi muulize kama nimemuomba chochote zaidi ya kumsaidia tu,umeleta tatizo lako umeshindwa saidiwa hapa au kila kitu lazima uandike uonekane upo MTZ
  8. B

    Finally Huawei E303 unlocked

    Ninayo unlock code yako nipm
  9. B

    Mnyika na Mkutano wa mtandao kutoa maoni juu ya SSRA na NSSF

    Muache kujipa majina hayo maana inaonyesha udhaifu wa kufikiria na kuamua wakati polisi hawapo hivyo bali wao wanapokea amri kwa wanao waongoza,umeonyesha udhaifu mkubwa sana kwa kuuliza ilo swali.futa ilo jina
  10. B

    Natafuta mama wakunilea

    Mla uliwa!!
  11. B

    Mwanamuziki Nash MC ana VVU

    Kumeshaaribika huku,wanao elewa hawapo tena
  12. B

    Polisi yazuia Operation Sangara ya CHADEMA Morogoro kisa hakuna Askari

    Tunapenda tu kupata habari je hizo taarifa unazozitaka utazifanyia kazi kweli?au ukasimulie bar na sehemu nyinginezo tu utazani ulikuwepo eneo la tukio haisadii hiyo!!jamani
  13. B

    Mgogoro ziwa Nyasa: Tahadhari kwa watanzania, hasa watumiaji wa JF

    Kama ni eneo lao waende wakashushe bendera ya Taifa wapandishe yao,si maneno tu,Uganda na Kenya mwaka jana walikuwa wanagombania kisiwa ziwa Victoria MIGINGO kukawa na bendera 2 hakukuwa na maneno ni vitendo wakaona hali inaelekea kubaya ndo wakakaa kuelewana sasa hawa kama wao watemi...
  14. B

    Rostam Aziz Vs. Ridhiwani Kikwete; Ridhiwani Anamiliki Malori 100 Ya Mizigo

    Kazi kulalamika tu vitendo hakuna!!!
  15. B

    Nitafuta title(Topic) ya kufanyia Utafiti katika fani ya Public Administration

    Hayo ni madhara ya claiming dasarani,kama mtu unasoma kuelewa kweli uwezi kosa topic we mwenyewe,acha kumlemaza huyo ndugu ndo yaleyale akikaa kazini anataka kufanyiwa kila kitu na kusaini mikataba mibovu,Watz ndo tatizo tusimlumu mtu!!
  16. B

    Lazima Ucheke

    Point of collection si Kanumba ni Kayumba,ila hiyo ni noma duuhhh nalala nikiwa nachekaa ningepiga bakora hao mpaka wajute hahahaa.....
  17. B

    Lugalo sasa ni Hospitali ya Rufaa!

    Labda upeo wangu unaweza kuwa mdogo,lakini nikiwa nimezaliwa na kuwa kwenye maeneo ya kijeshi ninavyojua ni kwamba hizo hospital zimejengwa kwenye kambi za jeshi ili kuhudumia wanajeshi na familia zao kwasababu zipo ndani ya vikosi vya jeshi ambapo kuna siri kubwa kwa raia wa kawaida haruhusiwi...
  18. B

    NImeanza kutowaamini PSRS/Utumishi/Ajira

    Muda mwingine tunaitaji maombi kwa kweli sasa we ulitaka aitwe mmoja kisa nafasi ipo moja c'mon interview sio kupeleka cv ni kuielezea cv yako!!Mashamba yapo mengine
  19. B

    Deal la Mercury wadau msaada

    Mkuu hiyo kitu kuipata kwake ile really kabisa ni kwenye migodi mikubwa ambapo usafishia madini,jeshini utumika kwa milipuko na kwenye mapango huko sasa ni masharti mengi unaweza poteza maisha ila kubwa zaidi ni kuna wafanyabiashara wanatumia kusafishia hela especially USD hiyo ndo hotcake yao...
Back
Top Bottom