Search results

  1. K

    Bunge laahirishwa, Kamati ya Maliasili yawaka moto!

    Nimefurai saaana na huu umoja wa wabunge wote baada ya nusu saa turejee bungeni lazima kuna kigogo ataishia na hii kamati haponi mtu kabisa. Kinana tumbo joto
  2. K

    Naibu Spika NDUGAI Amtetea James Lembeli kwa kusoma ripoti ambayo haipo kwa Wabunge

    Bunge limeairishwa kutokana na taarifa ya james lembeli
  3. K

    MWENYEKITI WA KAMATI: Baadhi ya WATUMISHI WA SERIKALI Wanahusika na UJANGILI

    Lembeli na hii taarifa itaondoka na vigogo lazima nia mateso makubwa yamefanyika ktk ile operesheni tokomeza ujangili jamani km hatupo tanzania hawa maccm ni manyama nn
  4. K

    Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

    Watatoka fiona na nyambura ndio wana kura chache mpka sasa
  5. K

    Mwenye taarifa huko serikalini jamani mshahara wa mwezi nov kimya!

    Serikali inaedneshwa kwa mikopo kwa asilimia kubwa sasa ukikopa saana unachokwa....... Lazima kuna shida mahali
  6. K

    Mwenye taarifa huko serikalini jamani mshahara wa mwezi nov kimya!

    Huku kibaha bado tumezoea tarehe 25 au 26 mwisho . Hili ni km tatizo la sehemu kubwa ya nchi kunani.
  7. K

    Shibuda: Hakuna cha CCM wala CHADEMA, wote wanaminya demokrasia ndani ya vyama vyao

    Mwali akipevuka tutajua nani mshenga kuelekea kugombea uraisi 2015
  8. K

    Shibuda: Hakuna cha CCM wala CHADEMA, wote wanaminya demokrasia ndani ya vyama vyao

    Anasema hakuna demokrasia katika vyama vya siasa na ndio mfumo wa IMLA duniani
  9. K

    Gazeti la Tanzania Daima laadimika mitaani

    Lilikuwa na habari ya kubaka kwa kapuya front page
  10. K

    Mulugo: Division Five haipo na sifuri ipo palepale

    Jamani hadi bungeni
  11. K

    Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    Jamani heeeee mahusiano mapenzi na mauaji kwa maisha ya sasa loooooo
  12. K

    Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    Maskini pole yake. Tujulisheni ilikuwaje
  13. K

    Mashamba yanauzwa Msowelo Kilosa

    Msowelo ni huko kuelekea shule ya msolwa sekondari unaweza pitia mikumi mjini?
  14. K

    King'amzi kipi kizuri kwa hapa Tanzania

    Easy tv ni poa saan kina channel zote za bongo na za nje kibao na ni elfu kumi kwa mwezi channel zote unaona. Ila easy tv mwisho wao ni kibamba
  15. K

    Mh. Lissu atunukiwe honorary degree (yaani PhD) ya kutetea haki za binadamu-Toa maoni yako

    He is grt thinker na nina uhakika ikiwa anaongea bungeni mambulula ya ccm wengi huwa hawaelewi ndio maana wanaishia kutoa vijimbe dhidi ya lissu sio hoja alizotoa maana wanatoka kapa km waliochora zombi kidato cha nne necta.
  16. K

    Hiki ndicho walichojadili wabunge (CCM) badala ya kujadili Mswada

    Ni vizuri wanajionyesha ujinga wao wakibaki peke yao na hawana hoja za wananchi wao bali hoja zao wanasubiria kutoka upinzani hasa chadema ndio wajibu km jana. Mara nyingi hawa maccm wakibaki peke yao ni ujinga na aibu utawala pungeni na wakiongozwa na baraka za kiongozi wa bunge. La msingi...
  17. K

    Napinga uteuzi wa Prof. Sifuni Mchome kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu

    ni kweli umenena mke wake wa mwanzo na alizaa nae alimwacha na akaopoa mwanafunzi wake na walifunga harusi mwaka jana km sio juzi hapo mlimani city.. Kutoka udsm mpaka tcu hadi katibu mkuu ni fadhila za kujuana na kawambwa na hata tume ya kuchunguza matokeo mabovu ya kidato cha 4 sifuni alikuwa...
  18. K

    Viongozi wakuu roman catholic mnalijua hili ?

    Hili ni kweli kabisa ndio linatokea kila mahali kwa sio huko bukoba tuuu madai yao mlei km alikuwa anajulikana sana na wanajumuiya. Mbona kuna waumini wazuri sana lakini mungi akiwachukua mazishi kumpata pandri ni km hongo mara mchango wa mafuta ya padri lasivyo haji na bahasha ya kumpa padri...
Back
Top Bottom