Search results

  1. G

    dawa zakichina zinapozidi ni hatari

    Uyo dada akija kwa wadau km sisi ni mbichi mbichiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii bora nikafie mbele afu najua hapo mlango wa jikoni nao mia
  2. G

    VETA washaita watu kazini?

    Hivi unadhani nini maana ya kuacha adress yako pale 2lia kama ukiona kimya ujue haupo na unaweza kuitwa na ukapigwa chini we endelea kujipanga jinsi ya kutoka lasivyo mtakua mnalalamika dairy afu ambao hawana ajira kama wewe wpo kibao au unadhani mliapply 10?
  3. G

    Dah majita kama kuna mdau alisoma bihawana sec

    Dah majita kuna mdau alisoma bihawana sec mnamkumbuka faza m1 wa mesini kauzu mzee remmy?
  4. G

    Mambo ya wanaharakati Muhimbili...

    gomeni mpaka mpewe huo mkwanja cio mrefu kiivo wawape tu sie makonda tumepanga j2 nasie tunakinukisha
  5. G

    Vibration msibani

    Asa akiweka vibrate then ring cpat picha huo mseto wake
  6. G

    Think beyond employment

    katafute form four failure uende nao c hatuna habareeeee afu tena tuwachangie imekula kwenu mazima wa tz sahv wameamka co wale wa miaka ya 90 kwenda shule na kopo la maji na mbolea sahv ni mwendo wa xul bus huku unang,ata popcorn
  7. G

    Usiombe kukutana na mpenzi mdekaji!

    DUH wengine tnapenda wanaodeka na kama mwanaume udekezi lazima si wenye swaga zetu tukutafunie yani we utakua unapga mswaki bila whitedent ndo nyie mnao pigiwa simu afu unangalia salio kama umepiga wewe vile. usiwaze jifunze kudekeza
  8. G

    Nafasi za kazi NBC

    mkuu kwa sie wana dsm kwe2 amani ila kuna w2 wpo ma village wape taff brah mana wao hta magazeti kufika huko ishu
Back
Top Bottom