Search results

  1. Lacksinho

    Napenda kulifahamu hili kuhusu mapenzi

    Katika maswali yako ukiondoa wale wa kujiuza yaan anakuwepo na wewe kwa maslai either kwa siku moja au kila ukimhitaji unaweza ukajibu maswali yako na still majibu yakawa tofauti ila kinyume na hapo ishu ya mapenzi ni emotional sana hivyo inategemea na thinking/feeling, mtu anajali nini katika...
  2. Lacksinho

    Simba wapo sahihi kukataa nembo ya GSM

    Akijibu niite
  3. Lacksinho

    Msaada ni app gan nzuri ya screen record

    Simu nyingi siku hizi naona zinakuja na feature za kurecord screen, jaribu kusearch ila km haina basi nenda playstore or appstore kisha search screen recorder na angalia yenye downloads nyingi na soma reviews za users wanasemaje kisha unafanya maamuzi ya kuchukua yenye downloads nyingi na users...
  4. Lacksinho

    Waafrika na watu weusi kwa ujumla tuamke

    Mkuu safi sana umejibu vizuri sana...yaan Africa baada ya kukaa chini na kujiuliza tutafikia vipi waliopo wenzetu eti always tunawaza kukwamishwa tu, sasa ww vifo hao watu watatu eti anakuja na conclusion kuwa wanahujumiwa, vipi black ambao wana power na wapo hai mbona haongelei, vipi white...
  5. Lacksinho

    Ananifanyia vituko ila nikitaka kumuacha anatishia kujiua

    Ingawaje bado maamuzi ya mwisho juu ya hili yako juu yako ila for sure huyu hana nia nzuri na ww na ukichunguza kwa undani nahisi kuna kitu ameahidiwa na X wake so huenda kwako anazuga kusikilizia na ndio maana kwako yuko robo robo. Still nadhani una nafasi nzuri ya kusubiri utakayematch naye...
  6. Lacksinho

    Mabachela wenzangu, mnapika vyakula gani vya haraka haraka?

    Siyo ladha tu bali anaweza kukosa nutrients muhimu ktk mwili wake...hawa ndio wale wanakula tumbo lijae tu
  7. Lacksinho

    Maziwa ya viwandani ni maziwa mazuri kweli?

    Always usiamini kitu ambacho ni processed...if it's man made don't eat...viwandani hata km unaona ni mazima ila ukweli halisi kuna madude mengi ndani yake ambayo ni artificial
  8. Lacksinho

    Maziwa ya viwandani ni maziwa mazuri kweli?

    Always usiamini kitu ambacho ni processed...if it's man made don't eat...viwandani hata km unaona ni mazima ila ukweli halisi kuna madude mengi ndani yake ambayo ni artificial
  9. Lacksinho

    Gari ipi used itanifaa kwa kipato cha 700k kwa mwezi?

    Ila bado hayuko direct...kipato cha laki 7 haitoshi kushauriwa....aseme akishatoa matumizi yake mengine anabakiwa na kiasi gani na watu ndio wamshauri based on anachobaki nacho kwa ajili ya gari. Mia 7 hiyo hajatoa chakula, malazi km analipa kodi, maji, umeme n.k na baada ya kutoa kwa mwezi...
  10. Lacksinho

    Dini ni Utamaduni wa watu fulani

    Tena mzigo wa watu wajinga pengine tuliubeba wala hatukuwa wajinga kabisa [emoji23]
  11. Lacksinho

    Msaada - Ku-unlock vodafone moderm (ZTE)

    Kama we ni window user just u need join air but for linux user it work without any crack or software...
Back
Top Bottom