Search results

  1. K

    Binti wa kiiraq(mtoto wa kimbulu) kanishika msaada tafadhali

    Mkuu tabia ni ya mtu binafsi wala sio kabila, kila tabia nzuri au mbaya unayoijua hapa duniani kila kabila lina mtu wa tabia hiyo, kikubwa omba Mungu akuongoze katika maamuzi yako, maandiko matakatifu yanasema mke mwema utoka kwa Mungu, basi mwombe Mungu akuongoze katika maamuzi yako yeye...
  2. K

    Madhara yatokanayo na unywaji wa Red bull

    Asante kwa kutuhabarisha mkuu, ila tuliowengi naona tumekwisha umia maana wengine ndo kinywaji chetu,
  3. K

    Je kukondeana ni dalili ya kuwa na roho mbaya...................?

    Mtambuzi huwa nakukubali sana, lakini kwa hili nina mashaka kidogo, ingawa sijafanya utafiti wa kutosha. maana kuna watu ninaowafahamu fika kwamba wana roho nzuri ajabu lakini ni wembamba, na kuna ninaowafahamu fika kwamba wana roho mbaya mbaya lakini ni wanene mi nafikiri ni maumbile ya mtu na...
  4. K

    Maji mengi ukeni

    Sidhani kama kuna haja ya kutafuta matibabu maana hayo ni maumbile tu. Kama ni wanaume kuenjoy inategemea maana kuna watu wanapenda hiyo habari na hasa ukikuta mtu anayejua mambo ya katere...... kuna watu unywa dawa ili wawe na maji we unahangaika kutafuta dawa ya kukausha, jaribu kukubaliana na...
  5. K

    Mwanaume anaeishi na VVU.

    Sister Mungu ni mwema na amtupi mja wake, nina imani utampata.
  6. K

    Kwel nimeamini kikulacho kinguoni mwako..

    Pole sana sister, lakini pia mshukuru Mungu amekuonyesha usaliti wa Mchumba wako mapema, kuliko ungegundua wakati mmeshafunga ndoa. Piga moyo konde, ingawa inauma sana na ni ngumu kusahau, Mwombe Mungu na amini yuko utakayempata atakaye kuheshimu.
  7. K

    Boss wangu anataka kunifukuza kazi sababu ya SEX.

    Kazi kweli kweli, ingawa sio mchangiaji sana lakini huwa navutiwa sana na mada zako. na kwa hili una bonge la mtego ukimpa na akanogewa atahitaji tene na tena, na akiomba ukamnyima atakutishia kukufuza kazi, kwa kifupi utakuwa mtumwa wa ngono na hasa ukizingatia umesha sema hakuvutii. Mtoto bora...
  8. K

    Hello Wana JF

    Habari zenu wakuu, Naomba kujitambulisha kwenu na naomba mnipokee tupeana ushirikiano.
Back
Top Bottom