Search results

  1. K

    Mwenye dhamana ya TAMISEMI sio Jafo

    Wanabodi Muundo wa wizara ya TAMISEMI ulivyo unaanzia kwa Rais mwenyewe kama waziri Mwenye mamlaka ya hii wizara. Kwamfano mamlaka ya kuteua baadhi ya nafasi Huko halmashauri yapo Chini ya waziri na Rais anateua hizo nafasi kwasababu yeye ndo mwenye dhamana ya wizara. Hivyo maamuzi yeyote...
  2. K

    Natafuta marketing officer - salary laki mbili - Mwanza

    Natafuta mtu confident, smart kichwani and good looking ambaye atasaidia kukuza kampuni yangu. (Ladies are more encouraged) 2018 nilifungua kampuni mpya ambapo nimepata contracts 2 mpaka sasa nimeona kuna room kubwa ya kukua. Nomba kupata marketing officer ambaye atakuza kampuni hii. Nitampa...
  3. K

    Naomba msaada wa kisheria haraka

    Mimi nimezaa na Dada mmoja ambaye tulikuwa kwenye mahusiano ya muda baadae tukaachana, kwa saa kila mtu anaendelea na maisha yake. shida iliyopo ni kuwa huyu mzazi mwenzangu hataki nimchukue mtoto hata kwa dakika, na mtoto anaishi na wazazi wa huyo dada na wzazi wake haniruhusu kumchukua...
  4. K

    Msaada: Nisaidieni jinsi ya kumfukuza kazi

    Nina business yangu ambapo kuna dada mmoja ni incompetent sana. Nataka nimfukuze kazi shida ndo sehemu anategemea na hana pengine pa kupata kazi. Nifanyeje wakuu nimtoe kazini.
  5. K

    Msaada wa mavazi ya harusi

    Jamani mwezi ujao nafunga ndoa naomba msaada wapi ntapata hii suit na gauni zuri la harusi mi npo mikoani ntafute kwa namba hii 0766568609 Naomba suggestions zetu na more input jinsi ya kupendezesha siku hiyo.
  6. K

    Tujikumbushe barua hii muhimu

    Hii barua iliandikwa na mfungwa wa madawa ya kulevya huko Hong Kong lakini serikali ya Kikwete haijawai kuifanyia kazi barua hii, nashangaa kwanini mpaka sasa ndo ifanyiwe kazi. Barua inaeleza jinsi vigogo wa serikali walivyo washriki wakuu kwenye janga hili la madawa ya kulevya, je ambao...
  7. K

    Natafuta vifaa vya Maabara vya bei nafuu sana, nipo Mwanza

    kichwa cha habari kinajieleza hapo juu kama una 1. haematology machine 2. biochemistry machine 3. centrifuge 4. and more tuma sms 0766568609 nipo mwanza
  8. K

    Kuandika majina ya Mwanamke kwenye mali sio mapenzi, ni ubwege

    Habari wanaforum, Mimi na mwenzangu tumebahatika kuwa na mali kadhaa lakini wakati wote tumekuwa tukiandika majina yangu bila yeye kusema chochote. Nimekuwa nikisikia marafiki na ndugu wakiandika majina mawili kwenye mali zao ya mwanaume na mwanamke jambo ambalo mimi nilishangaa sana...
  9. K

    Zitto, wabunge 50 uliosema watahamia ACT - Wazalendo wako wapi?

    Kiongozi mkuu au baba wa ACT alisema wabunge 50 WA vyama mbali mbali watahamia kwenye chama cha act mpaka sasa hatujawaona au ndo kauziwa kekundu
  10. K

    Natafuta mwanamke aliyeko Mwanza

    halo. natafuta demu awe anaishi mwanza... umri over 30 mnene au mwembamba safi. nayeye awe anijiweza. sio kwa ajili ya kunitunza bali nimechoka na under 30 wananyonya hela hao kama anopheles mosquito.
  11. K

    Familia ya Rais wa Senegal ilivyompokea Obama, Tanzania je?

    First family ya Senegal ikiwa rais mkewe na watoto wake watatu imempokea first family ya USA ikiwa na obama mkewe na watoto wake wawili. Watanzania tunasubiri kwa hamu kuona first family ya Rais kikwete yenye Rais, mke watoto 11 bila kuweka wa mbunge yule mwimbaji. itakavyo ipokea first...
  12. K

    natafuta kuoa usalama wa taifa

    ;);););););););););):Djaman kama yupo asema kigezo ni kimoja tu usalama wa taifa....:rolleyes:
  13. K

    Gharama za mikutano ya leo kati ya CHADEMA(mwanza) CCM(moro)

    Tuanze na CHADEMA
  14. K

    Shadow behind Mbatia's political uprise

    Leo nikiwa kazini (ya kujiajili) alikuja rafiki yangu mmoja kuntembelea huyu jamaa yupo NEC ya ccm.
  15. K

    Natafuta mwanamke awe mwanza

    niko mwanza
Back
Top Bottom