Search results

  1. B

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Lake Zone FOREX TEAM Ingia kwenye kundi na sajili kabisa jina kuthibitisha ushiriki wako,Asante!!
  2. B

    Fursa ya FOREX kwa kanda ya ziwa imefunguliwa na Mr. ONTARIO

    Usidanganyike mkuu kundi sahihi ni hili Lake Zone FOREX TEAM Ukichelewa link tukaifunga usilalamike
  3. B

    Fursa ya FOREX kwa kanda ya ziwa imefunguliwa na Mr. ONTARIO

    Lake Zone FOREX TEAM Bonyeza link hiyo tuungane huko
  4. B

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Watu wa Lake Zone twendeni tukafanye mobilization Lake Zone FX Platform
  5. B

    Fursa ya FOREX kwa kanda ya ziwa imefunguliwa na Mr. ONTARIO

    Mkuu hiyo link hapo chini kundi lina siku nyingi kidogo kwa nini tusitumie tu hilo
  6. B

    Fursa ya FOREX kwa kanda ya ziwa imefunguliwa na Mr. ONTARIO

    Mkuu kuna kundi tuliliunda hapo nyuma kama tulete link hapa watu wajoin maana Ontario&Cre walisema watu wakifika 200 wanakuja
  7. B

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Nakupongeza mkuu kama na we ulishafikia hatua ya kumkubali kijana nikikumbuka mlivyokuwa mnatifuana kule kwenye ule uzi wake wa maswali juu ya Ujasiriamali nabaki mdomo,kukubalu hali halisi ni nzuri sana Hongera mkuu!!
  8. B

    Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

    Mungu amponye Tundu Lissu apate nafuu mapema,tuko pamoja Max!! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Watu si wanakwambia utaibiwa wengine wanakwambia ulifute sasa mambo ya kulidadavua yanatoka wapi? Au na we ni mmoja kati ya ma-founder?
  10. B

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Unamaanisha anataka utumie lot size ya 1.0? Duh mbona hatari hii kama ndivyo ulipaswa usome kwanza maelekezo yake na huduma anazotoa kuliki kuingia tu na kuweka hela bila kucheki reviews zake........kama ndivyo msikilize jamaa na ufuate maelekezo yake Sent using Jamii Forums mobile app
  11. B

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Unajua mkuu nilichokigundua hii kazi kufanikiea ukiwa na mtaji mdogo ni ishu sana,maana ikitokea news tu moja yenye nguvu unaunguza akaunti Sent using Jamii Forums mobile app
  12. B

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Kwa wenzetu wenye uelewa mkubwa na wa muda mrefu chini ya $500 au $1000 hawawezi kutrade kwa sababu wanaamini ukiwa na pesa kidogo uwezo wa kucontrol risk ni mdogo mnoo,kiasi kikubwa ukiwa na $100-400 uwezekano wa kupoteza ni mkubwa mnoo.........na hii ni kweli maana huku sisi wenye mitaji...
  13. B

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Hizo unajaza na wanatumia taarifa za akaunti ya benk yako ya hapa kama uthibitisho kwao kama unavyoenda na barua ya Mtendaji kwe hizi benki zetu kufungua akaunti.........sijui umenielewa hapo? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom