Search results

  1. W

    Mayai ya kisasa tray 100 yanauzwa

    Mayai ya Kisasa yanapatikana kwa wingi Jumla na rejareja ( Jumla ni kuanzia trei 70). Tuma meseji kwenye inbox tuwasiliane. Jumla 7000 -7500 kwa tray, 8000 bei ya rejareja
  2. W

    Tunauza Ng'ombe wa nyama

    Habari za leo. Nina Ng'ombe 9 wazuri nauza . Leteni order. Nitumie ujumbe inbox. Winni
  3. W

    Pumba Dar es Salaam inapatikana wapi

    Habari wadau. Natafuta kununua pumba za mahindi kama magunia 50 kwa bei ya jumla. Naomba mnielekeze viwanda hapa dar ea salaam, napoweza kupata kwa haraka. Asanteni
  4. W

    Nahitaji ushauri/msaada wa biashara ya karanga na masoko yake

    Wana JF naomba msaada wenu. Ninafanya utafiti wa biashara ya kutengeneza siagi ya karanga. Nimerithi mashine ya kutengeneza peanut butter ila sina ujuzi wa soko hasa la Dar es Salaam. Mimi naishi hapa Dar. Naomba mtu yeyote anayeujuzi wa hii biashara anisaidie kujua yafatayo; 1. Wapi nitapata...
  5. W

    Administrator Account Added on my Work Laptop

    Naomba ushauri...Boss wangu ameongeza account ya Administrator on my laptop. So my laptop has now 3 accounts; Administrator; My Account and the Guest Account. What does Administrator Account mean? Administrator ataweza kuona private Files zangu saved on my laptop? maana kama kawaida nimeweka...
Back
Top Bottom