Mimi kama mlipakodi wa miaka mingi tu naomba serikali iwe na busara kidogo. Kuna maeneo mengi sana huku Dar es salaam na hata usitaje miji iliyopo nje ya Dar ambao wote hatuna maji salama. Hii ni kazi ya hii wizara kuhakikisha tuna maji salama. Ok sawa so wengi wetu tumejiongeza kwa kuchimba...
Habari wakuu. Hii thread nimeipenda sana na nimejikuta nakumbuka research iliyofanywa nadhani uki google utaipata. Hii research ni kwamba waliandaa vyumba viwili na kuweka aina moja ya musiki( hard rock) kwenye chumba kimoja na soft music kwenye chumba kingine. Baada ya hapo wakaingiza mimea...
Your kind of thinking will always make us second to Kenya. We should not cower and run away from market challenges, but rise higher that those challenges. Global integration is already here and you can never say Tz will remain an island. This is why we need new way of thinking. Being ahead of...
Mayai ya Kisasa yanapatikana kwa wingi Jumla na rejareja ( Jumla ni kuanzia trei 70). Tuma meseji kwenye inbox tuwasiliane.
Jumla 7000 -7500 kwa tray, 8000 bei ya rejareja
Hii issue haijakaa vizuri kwa sisi wenye makampuni madogo. Kuajiri mtu wa CPA huwa wanataka mishahara ya zaidi ya milioni 3. Jamani...kampuni haijafika levo hiyo labda laki 3. Tufanyeje....
Ndugu zangu, nimesoma hizi posts kwa furaha sana nikijua kuwa nitakapofikia post ya mwisho kutakuwa na suluhisho la kuendelea. Lakini post zimeishia na malalamiko tuu. Hatujasogea mbele. Hatujasaidia watoto wetu ambao watakuwa taifa la kesho.
Hii ni dhambi. Hatujafanikiwa kutoa mwafaka; je...
Hapa naona point. Umenikumbusha the chaos theory...kwamba Habari zinahamia kwa tukio la Tundu Lissu na kuacha kuangazia issue ya Tanzanite. Makes sense.
Hii ilikuwa wazo langu pia kwa mwezi huu Wa December. Ninao vijana wawili na wengine watatu wa jirani. Mimi nipo Kigamboni. Waalimu Wa Karate wajitokeze tukubaliane
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.