Inasemekana kuwa mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Ole Sendeka amepigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa Simanjiro.
Amekimbizwa hospitali katika juhudi za kupambania maisha yake.
Taarifa zaidi zitakujia baadae.
Hakuna alie salama..!!
---
Mbunge wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara...
Shirika la umeme TANESCO mkoa wa Mbeya kuna tatizo kubwa, tunaomba viongozi wa makao makuu pamoja na wizara ya Nishati mliangalie hili. Hali ni mbaya sana. Kuna matatizo yafuatayo:
1. Ratiba ya kile kinachoitwa, "upungufu wa umeme" haifuatwi. Pamoja na TANESCO mkoa wa Mbeya kutoa ratiba hiyo...
Mwanamume mmoja ambaye ni mume wa wanawake wengi amewachamba wanaume ambao wameoa mke mmoja tu.
Kaluhana mwenye umri wa miaka 63 anasema wanaume wenye mke mmoja wana akili ndogo sana na hawezi kuelewana nao kwa sasa Kaluhana ana wanawake 15 nchini Kenya na Uganda na anasisitiza kuwa hatachoka...
Naandika uzi huu kwa uchungu na majonzi makubwa.
Siku za hivi karibuni nikiwa mkoa wa ugenini mishale ya usiku nilianza kujisikia hovyo sana kwa ghafla tu. Hali ilianza kubadilika mida ya saa sita za usiku. Nilianza kujisikia hali ya ganzi upande wa kushoto wa kifua, na mapigo ya moyo kwenda...
Chama cha Wafugaji Nguruwe Tanzania (TAFIPA) kimesema wastani wa tani 52,000 za nyama ya nguruwe huingizwa nchini kila mwaka kutoka nje ya nchi, huku Tanzania ikizalisha tani 27,000 pekee.
Katibu wa chama hicho, Collins Ritenga amesema leo Jumamosi Mei 6, 2023 kwenye mkutano ulioratibiwa na...
Kutoka mkoani Mwanza Jeshi la Polisi inamshikilia Zawadi Msagaja (20) na wenzake wawili akiwemo mganga wa kienyeji, kwa tuhuma za kumzika mtoto wake mwenye umri wa miezi miwili akiwa hai, kwa lengo la kumtoa kafara ili apate utajiri.
Watuhumiwa wengine ni dada yake Zawadi, Elizabeth Kaswa na...
Joseph Patrick Ngonyani mkazi wa Kijiji cha Makuyni kilichopo Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro amejiua kwa kujinyonga ikiwa zimebaki siku 29 afunge ndoa.
Uchunguzi wa chanzo cha kifo chake bado unaendelea.
Godlisten Malisa ameandika haya katika ukurasa wake wa Facebook kuhusu kifo cha...
Why is Eve blamed for eating the fruit?
Because people are not good at reading comprehension.
There’s a garden, and in it are a pair of humans, but those humans literally cannot distinguish good from evil.
There is a tree in that garden, and it has fruit which grant the eaters the knowledge...
Mkuu wa wilaya ya Kaliua, Paul Chacha amewasimaisha kazi watumishi wawili wa hospitali ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kushiriki mapenzi hovyo wodini.
Chacha amesema awali ulifanyika uchunguzi baada ya wagonjwa kulalamikia vitendo vya wauguzi hao kufanya mapenzi wodini wakiwa zamu za usiku.
Mmoja...
Imeandikwa na: Charles William.
JUZI nimeuona 'moyo' wa Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro ukigugumia kwa hasira na uchungu. IGP Sirro ameumizwa sana na mauaji ya vijana wake (askari) wanne, yaliyofanywa na kijana Hamza Hassan Mohamed.
Agosti 25, mwaka huu Hamza aliwashambulia kwa...
Wananchi wenye hasira wamewashambulia watumishi wa Ardhi kutoka wilaya ya Mlimba na kuchoma magari, pikipiki pamoja na vifaa vyao vingine wakati wakiendelea na zoezi la uhakiki wa mipaka ya mashamba yanayogambaniwa na muwekezaji na wananchi wilaya ya Mlimba, Morogoro.
Watumishi wa ardhi...
Wakulungwa habari za siku nyingi.
Leo nimeonelea nitumie muda wangu kidogo kuandika kwa ajili ya kuwapa ushauri vijana wetu ambao ndio wamemaliza kidato cha sita, hasa wale ambao ndoto zao ni kuendelea na masomo ya chuo. Zifuatazo ni dondoo chache kutoka kwangu kaka yenu ambae nimebahatika...
For mobile money companies to convert more transactions from cash to digital, they need to segment the market more effectively. "The P2P transaction fee business model does not address all the use cases," said Ahmad, Azampay CEO. While virtual goods such as airtime, TV payments and electricity...
Wadau hivi Bongo ukiachana na Mortuary zilizopo ndani ya hospitali, Mbona hakuna Mortuary ambazo Mtu/Kampuni zinamiliki private? i.e high class/ VIP mortuary?
Mfano kwa wenzetu Kenya, hii fursa watu wameitumia kweli kweli na kuna private mortuaries nyingi tu watu wamezitengeneza, na wengi...
Habari wakuu. Kwa uzoefu wangu wa kufanya interviews zaidi ya 20 kwa kipindi cha miaka 6 iliyopita, moja ya swali ambalo nimekutana nalo mara nyingi ni, "WHY SHOULD WE HIRE YOU?". Kwanza, niwe wazi kuwa hili ni kati ya swali ambalo kiukweli binafsi silipendi kabisa. Kwa nini silipendi? Kwa...
Wakuu salama?
Kuanzia mwezi Septemba mwaka huu, niliongoza utafiti usio rasmi juu ya madai ya mabinti wa Kitanzania kujiuza kwenye mitandao ya kijamii ya Badoo, Tinder na Hitwe.
Maswali ya utafiti (Research questions):
1. Je, ni kweli kuwa mabinti wa Kitanzania walio katika mitandao ya Badoo...
Wakati wafungwa na mahabusu katika Gereza la Butimba jijini Mwanza wakimeleza Rais Dk. John Magufuli, kubambikiwa kesi mbalimbali zikiwamo za mauaji kimeibuka kisa cha mtu aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa bila kuhusika katika kosa.
Taarifa za kisa hicho kwa mara ya kwanza ziliripotiwa jana na...
Overview
In the advent of Public Health Emergency of International Concern (PHEIC) related to COVID-19 outbreak, USAID through its Medicines, Technologies, and Pharmaceutical Services (MTaPS) program is providing technical assistance to the Tanzania Ministry of Health, Community Development...
Wadau, tulianza kwanza kwa kuangalia Maana ya Sonona (Depression) huku pia tukiangazia jinsi ya kumtambua mwenye Sonona. Unaweza kusoma hapa zaidi – UGONJWA WA SONONA (DEPRESSION): Usiyoambiwa na jinsi ya kupambana na tatizo hili
Leo tunaangazia jinsi ya kupambana na Sonona na kumsaidia...
Neno ''depression'' limetafsiriwa katika maana nyingi katika lugha ya kiswahili, wakati mwingine hutafsiriwa kama msongo wa mawazo, huzuni au shinikizo la damu. Lakini maana halisi ya depression au sonona kwa lugha ya kiswahili ni ‘tatizo la kiakili’ ambalo humpata mtu kutokana na sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.