Search results

  1. Dr. Wansegamila

    Msaada ameyakanyaga Bank ya ABC

    Mkuu Adolph Jr tupatie mrejesho wa hii ishu please!
  2. Dr. Wansegamila

    Katika Cabinet Reshuffle inayokuja soon 'Matege Ndani' anaenda Kuula, ila wa Tanga, Lindi na Singida mnaondoka

    Na sababu Kuu ya Kuongea aliyoyaongea jana (BASHITE) ilikuwa ni sehemu ya Makubaliano aliyopewa baada ya Mhusika (AMIRI MKUU) kuwa Muoga na Kuwaonea Aibu Watajwa kwakuwa anajuana nao Kitambo ( wengine kupitia Baba zao ) na wengine humpelekea Waganga wa Kienyeji, wengine Chenji za Upigaji...
  3. Dr. Wansegamila

    Mume kumsaidia mke kazi nyumbani siku ambayo haendi kazini ni wajibu au hiari?

    Hao vilaza wa aina hiyo huwa mnawatoa wapi na hadi mnawaoa?
  4. Dr. Wansegamila

    SI KWELI Unywaji wa pombe Kali kama konyagi na K Vant huongeza nguvu za kiume

    Hakuna ushahidi wa kisayansi unaothibitisha kwamba matumizi ya pombe kali kama Konyagi au K Vant huongeza uwezo au muda wa kufika mshindo wakati wa tendo la ngono. Kinyume chake, matumizi ya pombe kwa kiasi kikubwa mara nyingi yana madhara kwa afya ya ngono. Pombe inaweza kusababisha kupungua...
  5. Dr. Wansegamila

    Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

    Aisee hii thread inamtesa mno OKW BOBAN SUNZU , kungekua na option ya ku delete threads angeshaifuta hii kitambo. Its a pain in the ass that will haunt him as long as this thread lives.
  6. Dr. Wansegamila

    Kwa hatua iliofikia, nataka nigombane na mama mkwe live live

    Dont take that path. You know the problem? You have lost your frame and your masculinity. Work on that, regain your manhood frame, and your woman will respect you again. Otherwise, its a lost battle.
  7. Dr. Wansegamila

    Taratibu za kufungua "Branch ya KFC'

    Yaani mkuu umepiga mule mule, sahihi kabisa, hao kuku inabidi uwe una import kutoka South Africa, na sio utumie local chicken. The same for viazi pia, you will have to import them, sio utumie viazi vya kutoka Kawetere na Tukuyu. Hapo tu kuna cost implication ya kutosha. Shotocan
  8. Dr. Wansegamila

    Taratibu za kufungua "Branch ya KFC'

    Kwanza jiulize, kwa Mbeya location ya hiyo KFC ataiweka wapi?
  9. Dr. Wansegamila

    Taratibu za kufungua "Branch ya KFC'

    Tuwekee costs sahihi mkuu, mimi kwenye kuchimba ndo nimepata hizi, na nimeambiwa the figures ni around humo humo, hata kama itakua pungufu tofauti haitakua kubwa kivile, sababu hapo cost kubwa ni ya franchise fees pamoja na training fees, maana itabidi watu wa KFC waje wakae kwenye hiyo branch...
  10. Dr. Wansegamila

    Taratibu za kufungua "Branch ya KFC'

    Angalia taarifa kuhusu hatua za kuanzisha tawi la KFC hapa chini: About KFC franchise When one thinks of the best restaurant to get crispy and freshly-made chicken, the mind instantly goes to KFC. It is one of the giants in the fast food industry. And, the brand’s logo with Colonel Sanders on a...
  11. Dr. Wansegamila

    Magufuli na Makonda watawaweza 'watoto wa mjini'?

    Huu uzi ni kati ya nyuzi bora kabisa za muda wote hapa JF. This is a living thread, mkuu The Boss hapa uliandika kwa kweli. Kila baada ya muda huwa naurudia huu uzi, yaani hau expire kabisa. Kudos!
  12. Dr. Wansegamila

    Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana

    Inasemekana kuwa mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Ole Sendeka amepigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa Simanjiro. Amekimbizwa hospitali katika juhudi za kupambania maisha yake. Taarifa zaidi zitakujia baadae. Hakuna alie salama..!! --- Mbunge wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara...
  13. Dr. Wansegamila

    Ni kitu gani kilikuwa kinafanyika shuleni uliona cha kawaida, lakini umekuja kugundua ilikuwa unyanyasaji na udhalilishaji?

    Wakati nasoma shule ya msingi, wavulana tulikua na tabia ya kuja na vipande vya vioo vidogo shuleni, kisha tunavizia wadada na kuwachungulia kwa kuweka kioo chini ya miguu yao, tulikua tunajiona wajanja sana kufanya hivyo, ila sasa hivi nikifikiria hicho kitendo, naona tulikua tunafanya...
  14. Dr. Wansegamila

    Rafiki yangu kaharibu gari langu

    Hii ndo inatakiwa iwe CONCLUSION yako.
  15. Dr. Wansegamila

    Nimelia sana usiku wa leo, nipo katika kipindi kigumu sana cha maisha

    Acha kulia lia, hujaletwa duniani humu uje kulia lia hadi siku zako ziishe. Hebu man-up, kuwa strong. Jua kwamba UNATAKA nini, halafu fanyia kazi kile unachokitaka kwa nguvu zote 100%, lazima upate mafanikio. Umeandika hapa maneno mengi, lakini hujaeleza hasa unataka nini...? Unataka nini...
  16. Dr. Wansegamila

    DOKEZO Kampuni ya M-gas Cooking Limited imetutelekeza wafanyakazi kwa miezi miwili bila kutulipa mshahara na kuanzisha kampuni mpya

    Poleni sana. Fungueni shauri Commission for Mediation and Arbitration (CMA) haraka sana. Website yao ni hii hapa kwa taarifa zaidi:https://www.cma.go.tz/ Pia, wamemuweka huyu hapa chini kama contact person wao kwa Dar es salaam, unaweza kumpigia pia maana ni muwakilishi wa CMA Dar es salaam...
  17. Dr. Wansegamila

    Msaada kuhusu mtoto kusumbua usiku kucha

    Pole kwa shida anayopata mtoto. Tatizo linalomkabili dogo ni gesi iliyozidi tumboni ambayo anaimeza wakati wa kunyonya maziwa, sababu kubwa inayosababisha mtoto ameze gesi nyingi wakati wa kunyonya ni poor positioning ya mtoto wakati wa kunyonya kiasi cha kusababisha gesi nyingi kuweza kupita...
  18. Dr. Wansegamila

    Sina furaha na ajira yangu, natamani kuacha. Je, nitaachaje?

    Ameen. Shukrani kama umechota mawili matatu.
Back
Top Bottom