Search results

  1. Retired Member

    Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    mambo manne:- 1. nadhani maoni ya Raisi yamechelewa, kwasababu hatua hiyo imeshafanywa. na sidhani ilikuwa ni jambo la busara kutoa maoni yake, akijua kabisa kwamba kwa nafasi yake maoni yake yanaweza kufunika maoni ya watu wengine wote, hasa majority. 2. kwanini Tume imewakilisha sample ya...
  2. Retired Member

    Lema ailiza tena CCM: Mjumbe wa kamati kuu Wilaya na kamati yake yote wahamia CHADEMA

    sidhani kama CCM itakufa, haya mambo ya kuhama chama yapo hata hapa Marekani; watu wanahama kila siku kwa sababu lukuki, na nzuri watu kuhama kwasababu inatoa nafasi kwa watu wa chini kupanda pia.
  3. Retired Member

    Manumba alazwa ICU Aga Khan

    haya sasa wale wanaosema mambo ya ukabila sijui udini, acha watu wachukue ofisi. kufanya kazi sio holiday unakutana na mambo mengi.
  4. Retired Member

    Famous Business Failures of Successful Entrepreneurs

    nimekutana na watu wengi, wanako inspired na story kama hizi lakini hawachukui hatua au bado kuna hofu. my advise is, START! hata kufwatilia mambo ya ujasirimali utashangaa umeshaanza. - tafuta kutafuta (research capital kiasi ganni inajitajika) a - anza ku save fedha za hiyo capital - andika...
  5. Retired Member

    Ni Kwanini huyu U.S. Tycoon agharamie Ujenzi wa Serengeti Airport? Je, ni Malipo kwa 350,000 acres?

    "Fedha/Pesa ni Mungu" - Hinduism. kama usipokuwa na fedha mwenye fedha atakwambia ufanye lolote; mtu akijitolea kukusaidia kwa kujenga uwanja wa ndege bure sio lazima umlipe lakini anaweza akasema chochote. Nina imani na serikali kwamba itafanya jambo la hekima, sidhani kumpa mtu ardhi kwa miaka...
  6. Retired Member

    Waraka maalum kwenda kwa waziri wa mambo ya ndani kuelezea ukabila uliokithiri idara ya uhamiaji

    Mimi nadhani, kama wengine walivyosema, kama wanafanya kazi waache wafanye kazi. Sasa mnataka tuwalete makabila madogo na hawajui kufanya kazi? sidhani kama ni busara kuwa simanzi kwasababu tu ni watu wa eneo moja; na nafasi za serikali inategemeana na nani ameteuliwa kuongoza, kwahiyo...
  7. Retired Member

    Rais Kikwete amtimua Mwenyekiti wa Bodi Bandari

    Sidhani kama mwenyekiti ana influence kubwa sana kwenye shirika la umma. Maana hiyo nafasi ni ya kisiasa zaidi na sio kiutendaji; Labda kutakuwa na tofauti za sera kati ya Mwenyekiti na Waziri. Na inauma wakati mwingine kwasababu Raisi inabidi achague upande kati ya watu wawili aliowachagua.
  8. Retired Member

    Nahitaji kuwa Mjasiriamali, msaada wenu tafadhali

    Nimeongea na baadhi ya Watu Dar, tunaangalia jinsi ya ku expand, ila kuna matatizo machache ambayo ina bidi tuyatatue kabla hatujafungua ofisi zetu hapa; nitakufahamisha kisha tuonane tuangalie tukusaidiaje; kwanini wewe unamiliki biashara na unafanya biashara gani? Ubarikiwe;
  9. Retired Member

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Ni idea nzuri, but as biashara ni biashara ya kuku, nadhani it will be wise also to say, dont put all your eggs in one basket; Kwa nyongeza tu ni kwamba, nimegundua watu wengi wanaofanya biashara ya kuku ni middle class, hapo Tanzania, au should i say, even upper class because the areas they...
  10. Retired Member

    Nahitaji kuwa Mjasiriamali, msaada wenu tafadhali

    Mimi natoa huduma za mikopo (Financial Services) kwa SMEs (Small and Medium Enterprises;) wewe mwenzangu unafanya biashara na ni biashara ipi unayofanya? Nimeona, watu wengi wanatengeneza website, sijui hivi, sijui vile i always tell them GO AND DO SOME WORK first; haya mambo ya sijui nini...
  11. Retired Member

    Nahitaji kuwa Mjasiriamali, msaada wenu tafadhali

    Dr. Mrimi, sasa nimekuelewa vizuri kabisa, baada ya hiyo post yako ya jana; sifahamu vizuri unaishi wapi, lakini kama ni kijijini, unaweza kuuliza wanakijiji ni vitu gani wanavyohitaji; kwahiyo tuseme, kuna tatizo la maji kijijini, basi kwasababu una mtaji, unaweza either ukanunua lori au...
  12. Retired Member

    Natafuta wateja wa Mafuta ya Alizeti

    mambo ya IPP, Market Research ni mazuri lakini, nadhani aliyetoa topic either hafahamu nini anataka au clearly from the topic description s/he is looking for something different, this is what he said, "Yeyote mwenye kujua soko zuri la mafuta haya naomba tuwasiliane"; hence my response "kwenye...
  13. Retired Member

    Natafuta wateja wa Mafuta ya Alizeti

    Kwanini utafute wateja hapa? kwanini usi distribute kwenye maduka makubwa ya jumla?
  14. Retired Member

    Nahitaji kuwa Mjasiriamali, msaada wenu tafadhali

    Yaani nimesoma hizi post, matatizo matupu; watu hawajui hata unataka kufanya nini.. wameshaanza kuongelea 3 Cs? motivations? outlets? storage? WTF? Mrimi, kitu cha KWANZA kabisa inatakiwa UJUE nini unataka kufanya; haya mambo ya 3 Cs, sijui website, sijui ofisi rent, sijui simu za biashara...
  15. Retired Member

    Famous Business Failures of Successful Entrepreneurs

    I have been selling since when i was 10-ish and its just recently, money has started to come in as i have started to put smartness into the whole process; Also, recommend that you read: The Richest Man in Babylon - by George S. Clason, kwa watanzania wenzangu; it will open your eyes on...
  16. Retired Member

    What is your "Sweetest" Childhood Memory?? THAT It made you feel So Good and Speacial!

    Mimi kumbukumbu yangu ni wakati nacheza mpira; Skuli tulikuwa na league kabisa; YANGA, SIMBA, SIGARA, MAJI MAJI etc and perfomance za hizi timu zilikuwa zina reflect kabisa performance ya wakati huo ya ligu kuu ya Tanzania; mimi nilikuwa nacheza kama left winger, number 11, kipindi hiko walikuwa...
  17. Retired Member

    Nani alimpa u-'SIR' George Kahama?, Tanzania wenye cheo hiki wapo wangapi?

    nadhani alikuwa KNIGHTED na Queen of England; hiko sio cheo by the way, you get that by doing 'significant' work to help people or if you make a 'notable' impact to the course of humanity; and OF COURSE If YOU are a citizenship of the Commonwealth Country;
  18. Retired Member

    Msaada: Je ni benki gani inafaa kwa kufungua account ya biashara?

    nadhani CRDB ni nzuri; Hii analysis imetokana na mazungumzo nilyokuwa na ma Director wa Business Accounts hapo Tanzania; lakini ni siku za mwanzoni, tunaendelea kuwafahamisha kuhusu nini kinaendelea;
  19. Retired Member

    Mkapa above the law?: Allegations

    Hakuna sehemu hata moja duniani ambayo ni 'classless' kwahiyo jua kwamba unapokuwa kwenye madaraka inaamisha kwamba wewe una priority kulinganisha na mtu baki; kwahiyo tusichukie pale tunapoona Raisi anapita na escort ya polisi; ujue kwamba mwenzako yuko kwenye class tofauti na wewe ukiwa...
  20. Retired Member

    Barua Kutoka Ughaibuni - Kwanini Katiba Mpya na Si Kubadilisha ile Iliyopo

    Ndio nimemaliza kuisoma Katiba ya Muungano; sikujua mambo kadhaa na imenisaidia; Lakini kama aliyeanzisha hii topic; Katiba iliyopo inajitosheleza kama kungefanyika 'mabadiliko' na sio 'kuibadilisha' yote!? Mimi hata sijui wakiibadilisha hizo sentensi zitakuwaje? kwasababu, nina wasiwasi...
Back
Top Bottom