Search results

  1. stev30sudi

    MwanaCHADEMA mwenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo ni vyema akaachana na huo mpango. Tayari yana wenyewe

    Una maanisha wasiwepo wengine wanaoruhusiwa kuchukua fomu ya kuomba kuwa mgombea?✍️
  2. stev30sudi

    Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Chama cha Wazee Wanaume Tanzania kimezinduliwa rasmi Oktoba 27th, 2023 katika ukumbi wa Kilimani Club Jijini Dodoma
  3. stev30sudi

    JWTZ: Daima tutamlinda na kumtii Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu

    Tutoe hoja za msingi zenye ushirikishi kwa wote!🤷
  4. stev30sudi

    Jimbo la Tundu Lissu lina hali mbaya, hakuna maendeleo yoyote

    Nawatakieni kheri ya Krismas na Furaha ya mwaka mpya 2018 wanashiriki wa majukwaa yote katika JF na malumbano kwa hoja.
  5. stev30sudi

    WASHINDI WA IPHONE 6

    Hiyo nzuri
  6. stev30sudi

    WASHINDI WA IPHONE 6

    Naomba msaada wa kujua namna mtu anavyoweza kufuatilia zawadi anapocheza kupitia link > shindaiphone.ml na kupata matokeo ya HONGERA kuwa ameshinda iphone 6. Yeyote anayefamu kuhusu jambo hili naomba anielimishe!
  7. stev30sudi

    Mrejesho wa mama Neema. Je, nichukue milioni tano au niache?

    Lakini, ulikusanya ushahidi kwa madhumuni gani?
  8. stev30sudi

    Halotel configuration

    Andika SMS: CONFIG tuma kwenda namba 15503, utapokea jibu nawe fuata maelekezo!
  9. stev30sudi

    UKAWA: Hesabu za kura hizi hapa - Usisubiri mpaka 25 Oktoba 2015

    Jibu halisi ni Oktoba 25, 2015. Haya mengine yote ni KUTAPATAPA tu kwa hofu ya kushindwa.
  10. stev30sudi

    Kwanini Lowassa anataka Urais kwa Nguvu, Gharama yoyote?

    Ni Ujeuri na Kejeli kwa Watanzania!
  11. stev30sudi

    KUTOKA CCM,KWENDA CDM SI DHAMBI,ALKADHALIKA KUTOKA CDM KWENDA CCM VILEVILE ISIWE NI DHAMBIi

    Wameona dira za kupata matarajio yao huko hazisomi. Muda ukifika mtawajua.
  12. stev30sudi

    Nini maana ya dhana Tunataka Mabadiliko?

    Watanzania bado si waelewa wa nini wanachohitaji, watakipataje na changamoto za kufikia maendeleo. Wamekaririshwa nyimbo kuimba "tunataka mabadiliko" bila hata kuelezwa sera za kufikia mabadiliko.
  13. stev30sudi

    Gharama za meseji hizi ni kubwa mno

    Naomba kusaidiwa kwa hili, Ni kwanini gharama za meseji zinazotumwa kwenda namba zinazoanza na 15. Mfano 15678, 15599 n.k ni kubwa kuliko zile za mfumo wa kawaida wa namba za simu? Kwanini vifurushi vya SMS pale ujumbe unapotumwa kupitia namba hizi? MWENYE UELEWA WA JAMBO HILI ANISAIDIE
  14. stev30sudi

    Kelele zote za nini wakati wenye CHADEMA wameamua!

    Kila Mtanzania ameona na kusikia jinsi Wana-UKAWA wanavyoteswa na UROHO wao wa kulazimisha kutawala, wakatengeneza Mfumo wa kutafuta kuungwa mkono wa hotuba za kashfa kwa Serikali na kushawishi wananchi waamini kuwa kwao ndiko Paradiso. Kama walizunguka nchi nzima wakitangaza kuwa Lowasa...
  15. stev30sudi

    Nawapenda sana malaya

    Huwezi kusifiwa hilo kwani huo ni aina mojawapo ya matendo machafu. Serikali iliachana na mashirika ya Umma, ikayabinafsisha. Na wewe jibinafsishe kwa mmoja tu.
  16. stev30sudi

    Tangazo: Mwalimu Mstaafu

    Tunafurahi kuwatangazia Walimu Wastaafu wote katika Mkoa wa Shinyanga kujiunga na "Umoja wa Walimu Wastaafu_Shinyanga. Upatapo taarifa hii, mjulishe Mwalimu Mstaafu aliye Jirani yako. Kwa maelezo na maelekezo piga simu namba: (1) 0674 164 705 (2) 0757 486 861 (3) 0786 744 184 KARIBU SANA.
Back
Top Bottom