Search results

  1. Jt jr

    Usanii wa Tigopesa na Mpesa

    Duh mkuu kama Hamna chuma ulete basi kijana wako ndo chuma apeleke!
  2. Jt jr

    Castle Lager imepanda bei au mimi ndo nimepandishiwa bei?

    Mkuu hujaibiwa, sisi wengine tushahama tunatumia za mwendo kasi aka balimi ndogo! Lager inauzwa now kati ya 2500- 2800
  3. Jt jr

    Hivi ni lazima kila raia wa Tanzania awe na kovu la ile sindano ya ndui begani?

    Hiyo siyo chanjo mkuu ni alama ya mtanzania iliyobuniwa na wakoloni kutofautisha wakoloni Wa Tanzania na Wa mataifa mengine, mfano wakenya hawachomwi begani ila ni katikati ya mkono. Hiyo ilwasaidia wakoloni kutofautisha watz na wakenya
  4. Jt jr

    Kinachofanyika shinyanga na kwaya ya AIC ni ujinga tu

    Hata Mimi nimejiuliza hivi kwaya ni kiburudisho kwenye mikutano ya siasa nahisi hiyo kwaya ni bongo fleva tuu maana wanavyokata viuno mmmhhh
  5. Jt jr

    Sifa kuu ya Kiongozi yoyote ni Hekima na Busara

    Watu wenye busara mara nyingine tunaogopa kuitwa wachochezi
  6. Jt jr

    Sifa kuu ya Kiongozi yoyote ni Hekima na Busara

    Be first to reply!
  7. Jt jr

    Rais Magufuli na Buhari watajwa kama marais walioangusha matumaini ya wananchi

    Na ndio kwanza mwaka mmoja cjui hiyo mitano itaisha lini aiseee
  8. Jt jr

    Msaada biashara ya kuuza na kunua bia kwa bei ya jumla

    Mkuu unaweza kuwa supplier Wa eneo kutoka Kwa authorised dealer, ambapo utatakiwa kuwa na crate binafsi zisizopungua idadi utakayoambiwa, then unanunua mzigo unaletewa mpk sehemu unayouzia. Kwa kila crate unaachiwa faida ya jero, km una mtaji mzuri na mzunguko upo ndio itakulipa Ila kama unauza...
  9. Jt jr

    Kinywaji gani hukupa raha???

    Kitu cha soda mweleka!
  10. Jt jr

    Kinywaji gani hukupa raha???

    We Jamaa kama cyo wa ngara kagera basi itakuwa kwenye mipaka ya huko
  11. Jt jr

    Mlio Kanda ya ziwa

    Musoma Sehemu gani mkuu?
  12. Jt jr

    Wapagani wa kale waliabudu Utatu Mtakatifu

    Kwani ukisikia miaka 2000 kabla ya kristo. Unafikiri yesu hakuwepo? Hakuwa amekuja duniani ila tuliahidiwa kuwa atmamtuma mwanae ambaye jina lake ndio hatukulijua. Ila utatu mtakatifu ulikuwepo kwa hiyo wapangani ndio walioiga utatu huo Kwani ukisikia miaka 2000 kabla ya kristo. Unafikiri yesu...
  13. Jt jr

    Wapagani wa kale waliabudu Utatu Mtakatifu

    Mkuu hapo siyo kweli maana utapata 3units labda utakosa jina la hiyo jumla nikimaanisha SI Unit. Lakini kiniambia huwezi jumlisha vitu visivyofanana napata wasiwasi kwamba kwako hesabu ndio tatizo
  14. Jt jr

    Nina ugonjwa wa kusahau na uume kuwa legelege

    Nimejikuta nacheka kwa sauti ndani ya basi et kasahau km imesimama!! Hahaha
  15. Jt jr

    Hongera kwa Polisi, Mtandao wa Majambazi wakamatwa Dar

    Aisee walikuwa full equipped
  16. Jt jr

    Till za Tigo na airtel zinauzwa

    Kwa anayetaka till ya tigopesa na airtel money anipm nimpunguzie bei Tsh. 200k tigo kwa 100k airtel
Back
Top Bottom