Search results

  1. Dj Aiman

    Nikipata milioni 6 tu nimeshatoboa!

    Mipango ya uhakika ipo mezani
  2. Dj Aiman

    Bado kunashida katika Serikali

    Ukipanda bodaboda halafu ukaona dereva ana story wewe jisemehe kwa nguvu "HII SERIKALI YETU" Kisha kaa kimya. Hapo ndo utajua kuwa mmbongo mpe kichwa tu habari anayo.
  3. Dj Aiman

    Je, ni sahihi kwa mwanaume kuwa na mke mmoja? Kwanini wanaume wengi hawariziki na mwanamke mmoja?

    Mahusia ni jambo la kutazama katika jicho ya kipekee sana haswa swala la usaliti linapoingia katika mahusiano, Mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke yalianza toka mwanzo kabisa mwauumbaji wa kila kitu. Ukiangalia kwa upande wa wanyama wao mausiano na kuingiliana kwao hayachagui kwani hawana...
  4. Dj Aiman

    Je, hip hop ndio mziki bora wa wakati wote? Vipi kuhusu misingi yake?

    Hip hop ni aina ya muziki unaoelezea aina ya usanii na utamaduni uliyotokana na jamii ya Wamarekani Weusi na Walatino kunako miaka ya 1970 mjini New York City, hasa katika kitongoji cha Bronx na badae katika miji mikubwa yote Marekani alafu Dunia nzima.Muziki wa hip hop pia huchukua tabia...
  5. Dj Aiman

    Siri ya kitendawili cha msanii Diamond Platnumz ambayo watu wote wameshindwa kutegua

    Nasibu Abdul Juma Issaack (maarufu kwa jina la kisanii kama Diamond Platnumz;Alizaliwa Dar es Salaam, Tanzania, 2 Oktoba 1989) ni mwimbaji wa nyimbo za Bongo Fleva na dansa kutoka nchini Tanzania. Ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa Kitanzania ambaye ana uwezo mkubwa wa kiushindani zaidi ya...
  6. Dj Aiman

    Kuna ukweli juu ya kauli kuwa nchi nyingi za Kiafrika haziendelei kutokana na kuridhishwa na mfumo mbovu wa elimu?

    Kabla ya ujio wa Wazungu barani Afrika,Waafrika walikua na mfumo wao wa elimu kwa vitendo kulingana na mazingira. Elimu kama ya Uvuvi,madawa,kilimo,ufugaji,maadili zilikua zikitolewa na uchumi ulikua ukikua kwa kasi. Ujio wa Wazungu barani Afrika ukasababisha ukoloni na baada ya miaka ya...
  7. Dj Aiman

    Je, CHRISTIANO RONALDO ananafasi ya kuchukua KOMBE LA DUNIA kupitia kwa mtoto wake CRISTIANO RONALDO JR?

    Baada ya kumalizika kwa Kombe la dunia nchini Quatar 2022, Baadhi ya mashabiki wa Christiano Ronaldo wamevunjika moyo sana nakuona kama ndoto za mchezaji huyo maarufu Duniani wa Ureno za kutwaa kombe la dunia zimeishia hapo kwani kwasasa anaumri wa miaka 37 hivyo itamuwiya vigumu kushiriki kombe...
Back
Top Bottom