Search results

  1. U

    Galaxy s3 demo unit

    kila kitu ni sawa na galaxy s3 ya kawaida,na inafanya kazi sawa kabia,zile sloy za kuweka chip pia zipo but blocked
  2. U

    Galaxy s3 demo unit

    Habari wanajukwaa, naomba msaada au kueleweshwa,nilimeuziwa kwa bahati mbaya simu ya galaxy s3 demo unit badala ya mobile phone,inafanya kazi kila kitu kasoro kuwa na slot za chip ambazo hazijafunguliwa,kwa wajuzi nifahamisheni kama kuna namna yoyote ya kuifanya mawasilianao ya sauti mana...
  3. U

    Natafuta msichana aliye serious kwa ajili ya kujenga familia

    ingekuwa nzuri zaidi mana unakula kitu rohoo inataka
  4. U

    Natafuta msichana aliye serious kwa ajili ya kujenga familia

    kiswahili kigumu,asiwe iliishia kwa sifa ya kwanza tu
  5. U

    Natafuta msichana aliye serious kwa ajili ya kujenga familia

    hahaha sawa lizzy kama vigezo bado sana ntakubali kuhusu elimu siwezi anika elimu yangu yote,, watoto wakitoka weusi basi we pi utakuwa mweusi kuhusu ujeuri wamasai mbona sio wajeuri jamani?
  6. U

    Natafuta msichana aliye serious kwa ajili ya kujenga familia

    ntaku PM kwa nini nisingependa kusema hadharani
  7. U

    Natafuta msichana aliye serious kwa ajili ya kujenga familia

    sintoacha kuwajulisha
  8. U

    Natafuta msichana aliye serious kwa ajili ya kujenga familia

    nisingependa kukosoa mkuu kwa nn hadharani but nta ku PM kwa nn
  9. U

    Natafuta msichana aliye serious kwa ajili ya kujenga familia

    u think?nisingependa kuanika my other proffesional qualifications hapa hiyo niliyoandika hapo inatosha
  10. U

    Natafuta msichana aliye serious kwa ajili ya kujenga familia

    sijapata PM yako bado
  11. U

    Natafuta msichana aliye serious kwa ajili ya kujenga familia

    dah muongo huna nafasi hapa,,pole sana
  12. U

    Natafuta msichana aliye serious kwa ajili ya kujenga familia

    yah ntaconsider hilo,anakaribishwa
  13. U

    Natafuta msichana aliye serious kwa ajili ya kujenga familia

    najua ila ndo vigezo na masharti yangu
  14. U

    Natafuta msichana aliye serious kwa ajili ya kujenga familia

    habari ndugu, mimi ni kijana wa kume ninaye tafuta binti ambaye twaweza kushabiiana na kupatana vyema kisha tujenge family ABOUT ME: Umri:29 kabila:mjaluo/mmasai Kazi:mwajiriwa Rangi:mweusi japo sio tii Uremu:187cm/ Elimu:Bachelor Mahala napoishi:Dar Dini:mkristo Tabia/nilivyo:mpole kiasi,si...
  15. U

    Natamani kumuoa ila.,....

    swala la jinsia halitatatua swali la ndugu yetu basi we ni shujaa kama kweli uliweza miaka miwili but nadhani ni kipindi bado hujabalee
  16. U

    Natamani kumuoa ila.,....

    mh kukaa miaka huku mwenzio anadai usiku na mchana ndoa kichwani we umewahi kukaa muda gani mrefu kabisa bila ku do?
  17. U

    Natamani kumuoa ila.,....

    pole sana,ila pia waweza deal na hao magube gube wakati mwingine wanaweza kufaa kutegemea na wewe utakavyowaweka
  18. U

    Natamani kumuoa ila.,....

    the boss we unataka mwenzio asipone mwaka mzima alafu Mungu anasaidia wanaojisaidia
  19. U

    Velentine day

    we kila valentine unafumaniwa?
Back
Top Bottom