Search results

  1. The Panther

    Serikali ipongezwe kwa hili la jambo la Bima

    Ndio hivo sasa ukitumia bando lako kuongea upupu kwa mabo serious kama afya za watu tutakutwanga tu na hakuna kitu utafanya! Tumia bando lako kustawisha jamii sio kuendekeza njaa!
  2. The Panther

    NHIF yakusudia kusitisha Mkataba wa Huduma kwa Hospitali za APHTA Ikiwemo Aghakani na TMJ

    Benard Konga hana CV wala uzoefu wa kuivusha NHIF kwenye hii recession, Ummy anadanganywa na wataalam pale wizarani, miongozo inatengenezwa kuwatarget watoa huduma binafsi kutokana na wivu wa madaktari walioko wizarani na NHIF kwa wamiliki na madaktari wenzao wanaomiliki vituo binafsi! shida ya...
  3. The Panther

    Serikali ipongezwe kwa hili la jambo la Bima

    Hoja ya kuwekwa mezani ni kuwa NHIF na Waziri wa Afya wameshindwa kuwa wabunifu kuuendeleza mfuko wa NHIF badala yake wanatafuta cheap solutions na kuweka kwenye line maisha na afya za watanzania, alafu wanawatumia mamluki zero brain kama wewe kuja hapa kuleta unfound nonsense! nenda kajipange...
  4. The Panther

    Serikali ipongezwe kwa hili la jambo la Bima

    Blaza "Kende" aka korodani kwanza huko vijijini watu wangapi wana bima ya NHIF? huu mfuko unatumika kuchakua hela za wafanyakazi wa Serikali, mashirika yaliyolazimishwa kujiunga na NHIF bila hiari kisha kutoa huduma duni za afya na pesa kutumika vibaya kwa wafanyakazi wa NHIF kujikopesha mikopo...
  5. The Panther

    Waziri Ummy Mwalimu, Mfuko wa Bima ya Afya unawatesa Wagonjwa wasio na hatia na unakiuka kanuni za utawala bora

    NHIF ni tatizo kubwa, Pale kuna shida ya management, Kuanzia Mkurugenzi mkuu ameonyesha incompetence kubwa, hakuna ubunifu, Maamuzi yao na mipango hasa kuhusu vituo binafsi yanaendeshwa na wivu na chuki, kituo binafsi kinachotoa huduma vizuri kwa wagonjwa na kusubmit madai wao wakiona tu kituo...
  6. The Panther

    Madaktari watarajali wamekuwa ombaomba Mtaani kisa leseni, wamuangukia Waziri Ummy Mwalimu na Rais Samia

    Hawa madogo, wasituchoshe, wanataka kufaulu kwa sympathy? huku jamii forum tunajadili issues ambazo ni intriguing, au kama wangekuwa wameleta tangble evidences kuwa wameonewa au wamekuwa targetted specifically kuonewa kwaa grounds tofauti na kigezo cha kufaulu mtihani! Hapa kuna asilimia 50% ya...
  7. The Panther

    Madaktari watarajali wamekuwa ombaomba Mtaani kisa leseni, wamuangukia Waziri Ummy Mwalimu na Rais Samia

    Mbona huongelei asilimia 50% waliofaulu? hao wamekwamishwa kwa vigezo gani? wamefeli mtihani! hizo habari za kutumia hela ya mzazi na ndugu haiwezi kuwa sababu ya kuruhusu daktari asie na uwezo wa kutibu ili akasababishe madhara kwa wagonjwa! Huyu mtu angetumia hizo hela za mzazi kusoma au...
  8. The Panther

    Madaktari watarajali wamekuwa ombaomba Mtaani kisa leseni, wamuangukia Waziri Ummy Mwalimu na Rais Samia

    wewe utakuwa miongoni mwa hao makanjanja! 1. Kupima uwezo si ndio huo mtihani? mtihani umetungwa na wasimamizi wa vituo vya internship hao hao wewe unaodai wamekufaulisha, Sio kwamba huko internship mnafanya mafunzo chini ya usimamizi? mnasema mnatibu watu wanapona? mbona nilienda Mloganzila...
  9. The Panther

    Madaktari watarajali wamekuwa ombaomba Mtaani kisa leseni, wamuangukia Waziri Ummy Mwalimu na Rais Samia

    Naam, hapa ndipo nchi yetu ilipo sasa, kizazi cha vijana legevu walalamishi, wasio na spirit ya kufight, hebu kwanza tuelewesheni hao asilimia 50% waliofaulu wamefaulu vipi na nyie mkafeli? taaluma ya afya ni taaluma nyeti inayohitaji umakini kama sheria ilipelekwa hadi bungeni ikapitishwa kwa...
  10. The Panther

    Hospitali ya St Camillius Dodoma ni kijiwe na wahuni tu wanaojiita madaktari bingwa

    Bora yako wewe ulienda mara moja ukaapa hutoenda tena! sasa yeye kaenda MARA TATU hata baada ya kuona huduma ni mbovu? Sasa hapa ameleta tufanye nini? Hapa hoja hata haijulikani ni nini mnarukaruka kama bisi kwenye sufuria la moto hao wadada waliotoa tunda wakapata ajira nyie mlijuaje? au huyo...
  11. The Panther

    Hospitali ya St Camillius Dodoma ni kijiwe na wahuni tu wanaojiita madaktari bingwa

    Bwana Bulichekah mbona unachekesha kama hilo jina lako? sasa kwanza ulionywa usiende kwenye hiyo hospitali lakini bado ukaenda, TENA MARA TATU? haya hebu basi tuambie hospitali nzuri ya kwenda tukija Dodoma? au ndio huko DCMC wamekutuma uwape Promo? maana unatoa lawama bila kutupa solution...
  12. The Panther

    Kuanzia leo nimeamua kuachana na kushabikia siasa

    Hahah…blaza usipanic sisi sote ndugu…!! mpotezee jamaa decision ya kuachana na siasa ni yako sisi wengine tunatoa mtizamo wetu pia mkuu, I hope ulipo amua kupost jamvini ulitaka usikie maoni yetu au sio Man?
  13. The Panther

    Kuanzia leo nimeamua kuachana na kushabikia siasa

    Poa Man!! Sisi tunaiishi siasa hatuishabikii…!! Wapi sasa Simba au Yanga? au Mbeya City? Au Luis Vangaal??? Cheers!!!
  14. The Panther

    Mungu hamtupi mja wake

    #Team Tumbili#:peace: Tunamsalimia Werema na Maswi… Hi5 from a beautiful tree some where close to CBE-Dodoma….wera weraaaaa!!!
  15. The Panther

    Kuanzia leo nimeamua kuachana na kushabikia siasa

    Wewe acha mbwembwe…kwa huo mtizamo wako huwez kuwa CHADEMA..! Offcourse wewe sepa siasa haitakiwi kuishabikia..kashabikie mpira huko!!!…siasa is a serious game for serious people…kwasababu inagusa maisha yetu ya kila siku Wasalimie huko uendako...
  16. The Panther

    Jaji Werema, Prof. Muhongo, na Andrew Chenge wako tayari kujibu Vihoja vya kamati ya Zitto

    Asante kwa taarifa boss nikutakie usiku mwema….wasalimie waliokutuma…nna uhakika leo hawalali..!
  17. The Panther

    Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

    Hahah..Faizafox a.k.a Faizahooker…nimekuwa nafuatilia posts zako kitambo sasa…nnachoweza kusema wewe ni laana kwa nchi hii……a vixen (female fox) in heat
  18. The Panther

    Bunge Litii Mahakama; Lisipotii Nani Aitii Basi?

    Pole sana mkuu! Kajipange upya there is always tomorrow..!!! rudisha hela zao jamaa
  19. The Panther

    Dodoma: Hujuma za viongozi wandamizi wa serikali kuiangusha Serikali ya Kikwete zajulikana

    Wewe acha porojo...wewe sio Kamanda...mzushi tu tricky like a monkey...ujanja wako very used.... Kwanza huku Jamii Forums you are very junior to be that analytical...umejiunga 12th November 2014...huo muda wa kukomaa akili kiwango hicho kama sio mamluki umeupata wapi ndugu???? Humu ndani kuna...
  20. The Panther

    Revealing: Hawa ni baadhi ya wanufaika wa Escrow kupitia kwa Rugemalira (Clue 2)

    Kwanini hakusaidia kuimprove shule za kata? needs assessment tool yake ilikuwa nini? Smells fishy..!! we will hunt you down one by one………. leave no stone unturned!!
Back
Top Bottom