Search results

  1. J

    Sababu gani zitakufanya usipige Kura zoezi la Uchaguzi litakapofika?

    Sitopiga kura, kwakuwa nimekosa imani kwa mchakato mzima wa kupatikana kwa tume, wasimamizi wa vituo, utangazaji wa matokeo, na kadhalika.
  2. J

    Mwigulu: Wananchi wanaenda kupata fedha nyingi, watazoea makato

    Tungeanza na kujadili kwanza kama tunaridhika na matumizi ya pesa zilizopo kwanza, na kama haturidhiki, basi wapi tupunguze matumizi yasiyo na ulazima, hatuwezi lalamika kuwa hatuna pesa ya kutosha, na tukawa na matumizi yanayoongezeka kila siku? Nadhani tuanzie hapo.
  3. J

    Msaada jinsi ya k uupdate bluetooth drivers kwenye acer travelmate

    hilo mbona taizo dogo tu!! right click "my computer" halafu bofya kwenye manage, halafu nenda kwenye device manager, then right click bluetooth tthen unaziuninsall zote, ukimaliza zima washa mashine halafu iwashe bluetooth yako ili ijiinstall upya.
  4. J

    Tigo

    Hi guys!! mi mkali ila humu nimeingia karibuni, skia!! kama ulikuwa unatumia modem ya tigo free jaribu tena kutumia na ile lyn ambayo ulikuwa unasurf bure!! mi nasurf bure sema spidi ni ndogo nahic wamerudisha apn zao za zaman sema wamepunguza bandwidth (speed) yao. :poa
Back
Top Bottom