Search results

  1. Belium

    Reincarnation: Could it be real? (Kuzaliwa upya inawezekana kuwa kweli?)

    HATA MIMI HUNITOKEA ILA HUWA NINA IMAGINE NIKO SEHEM FLANI NAFANYA JAMBO FLANI ILA KATIKA KUWAZA THEN MIAKA MICHACHE MBELE INANITOKEA LIVE. ILA NI KUTOBOBEA KATIKA DINI ZETU NA TAFSIRI YA VITABU VYA DINI KUWA DHAIFU.....YESU ALIWAAMBIA MAKUTANO AMIN AMIN NAAWAAMBIA KATIKA WALIO SIMAMA HAPA...
  2. Belium

    ‪Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist"

    HAO ECONOMIST WAKO POA SANA, JE KUUNDA SHERIA NA KUHUKUMU WASIO ANZA NAYO SI UDINOSARIA HUO?*(MALIPO MIKOPO VYUO VIKUU), JE UKIICHALENGE SERIKALI HAWAKUBULLDOZZ ????TUACHE UNAFIKI UZALENDO HAUJENGWI KWA KUMINYA HAKI ZA WACHACHE. WAKALIFUNGIE NA ILO.
  3. Belium

    Ni Ndoto ya Alinacha kuamini wapinzani wanaweza kuingia Ikulu mwaka huu

    unatia hasira sana mtoa mada inaonyesha ni jinsi gani ugumu wa maisha ya mtanzania wa kawaida huyaoni. in fact Nyerere alisema hakuna wa kuitoa ccm madarakani ila ccm itavunjwa na wana ccm, na ndicho kinachoonekana. hakika kifikra umebweteka yaan sis Tanzania hatuwez kua kama misri? unasahau...
  4. Belium

    Nimegunduwaa..!!

    Nimegundua kila kukicha maisha yanakuwa magumu, yaani ukilemaa leo kesho utalemewa zaidi.
  5. Belium

    Jehanamu Ya Bongo!

    Hahaaahaaaaaa! Joke but its da truth.
  6. Belium

    SMS hizi! Ungefanyaje?

    Big up sana! Du haya bhana
  7. Belium

    Kutoka Bungeni - Jumamosi 21, Aprili 2012 (Videos)

    Da kwa kwel maisha mazuri kwa kila kiongoz wa mrengo wa ccm, but their dayz are numbered. Mtanzania ni tajiri ila analazimishwa kuwa fukara. Revolution z near .
  8. Belium

    Lema: Ikulu imenivua ubunge ; Ikulu yamjibu vikali

    mmh YAWEZEKANA RAIS KIKWETE AMEHUSIKA KWA HILI, COZ KWA NINI WATOE RESPONSE YA HARAKA HIVI????, NA RESPONSE WALOTOA NI YA KIMIPASHO HAWAJAJIPANGA KWELI HIYO KABINETI YA TAARIFA ZA IKULU NNA WASI WASI NA TAALUMA ZAO!!!!!!!!!!:A S 39:. KWA WANANCHI KUPUUZIA ILO WASAAU COZ MACHO YOTE NI ARUSHA...
  9. Belium

    Lema: Ikulu imenivua ubunge ; Ikulu yamjibu vikali

    mmh YAWEZEKANA RAIS KIKWETE AMEHUSIKA KWA HILI, COZ KWA NINI WATOE RESPONSE YA HARAKA HIVI????, NA RESPONSE WALOTOA NI YA KIMIPASHO HAWAJAJIPANGA KWELI HIYO KABINETI YA TAARIFA ZA IKULU NNA WASI WASI NA TAALUMA ZAO!!!!!!!!!!:A S 39:. KWA WANANCHI KUPUUZIA ILO WASAAU COZ MACHO YOTE NI ARUSHA...
  10. Belium

    Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"

    huyu jamaa sharobaro, ila mambo ya nchi hayawezi ndo mana mambo yakiwa magumu huenda nje kula bata
Back
Top Bottom