Search results

  1. D

    Mwigulu: Nilikuwa safari kikazi kwa siku 12, nimerejea

    Kwenye masafara wa mamba kenge pia wapo...!!!!everybody has a price ndugu....!!!!
  2. D

    Jerry Muro apokewa kwa shangwe na BAVICHA

    Hapana mkuu wala simfahamu ila kama ulifatilia kesi yake kwa makini utangundua namaanisha nn na nlisema hivyo kumjibu nliemquote!!!!
  3. D

    Jerry Muro apokewa kwa shangwe na BAVICHA

    Usilolijua ni kama usiku wa giza!!!!!!!!!!!!!!!!!:sleepy::sleepy::sleepy:
  4. D

    Dr. Slaa: Mfuko wa cement utakuwa Tshs 5,000.. Ni KWELI 100%

    wewe hapo umefikiria ulichoandika??mbona hata ww wa dizaini yako wako wengi sana umu ndani badala ya kujibu hoja mnatoka povu!!!!
  5. D

    Deus Mallya: Maswali na majibu ya Kifo cha Wangwe, Siasa n.k

    hahahahhahhahaaaaaaa!!!!usituletee habari za miongozo humu kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake kwa jinsi anavyoona ni sawa sasa kila mtu angekua anafanya reseach kwanza ndo aoengee sidhani kama wengi wangeongea humu ndani by the way ni NO RESEACH NO RIGHT TO SPEAK!!
  6. D

    Mh.Freeman Mbowe wa CDM ndiye huyu ?

    Give me a break!!!!alipouzia chama magari mabovu anaprove ni kiongozi shupavu na si mchumia tumbo??acheni kumwagia sifa wakti anamapungufu kibao nyuma ya pazia!!!
  7. D

    Msaaada tafadhali!!!

    DUUUH???hiyo mpyaaaa!!!
  8. D

    Mgombea wa Ubunge CDM 2015 SHINYANGA MJINI ni Rachel Mashishanga

    Am sure huyo mleta mada atakua ametumwa tuu!!kwani amekwambia anataka kugombea hilo jimbo?kwanza ana vigezo gani viti maalaum??wakti hamna analofanya??naungana na matola Halima Mdee ni hazina kubwa kwa CDM labda awaweke kitimoto viti maalum wengine ili awape maujuzi kidogo leticia anajitahidi...
  9. D

    Kwanini Salama Jabir hataki kwenda shule?

    Hahahahaaaaa!!!umenikumbusha ule msemo wa kwenye bible "ondoa kwanza boriti ..."hahahaaaa!!!
  10. D

    LIVE UPADTES: M4C DAR - Lengo ni Kukusanya Bilioni 5 CHANGIA MABADILIKO

    hahahaa!!!!m4c my ass!!!!kama kweli unajitambua usingetoka povu mkuu ni kiasi cha kumwelewesha alitoa hiyo point.isitoshe kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake au hujui hiloo??kama unajiona ww ndo unaejua kuchangia mada sana basi anzisha thread yako ili baba ako na mama ako na ndugu zako...
  11. D

    LIVE UPADTES: M4C DAR - Lengo ni Kukusanya Bilioni 5 CHANGIA MABADILIKO

    Kichaa unacho ww ulolishwa unga wa ndere na kuona njano ni nyeusi **** nn ww unadhani watu tunakurupuka kutaja watu bila sababu kuna mtu kasema hajamwona zitto kama hayupo asiongelewe isitoshe sio siri kuhusu zitto au bi kilembwe alizidisha unga hata hujui tofauti ya mchana na usiku pole weee!!!!
  12. D

    LIVE UPADTES: M4C DAR - Lengo ni Kukusanya Bilioni 5 CHANGIA MABADILIKO

    Zito lazima atajwe maana ni moja ya viongozi na mwanachama wa CHADEMA mwenye mvuto na mmoja alieleta changamoto za kisiasa kama mwanasiasa kijana sasa tabia ya kummbagua inaonekana wazi siku hizi maana hashirikishwi kwenye mambo mengi ya chama inasemekana anatumika mtaa wa pili...(.....)!!!!
  13. D

    LIVE UPADTES: M4C DAR - Lengo ni Kukusanya Bilioni 5 CHANGIA MABADILIKO

    kuna msemo unasema EVERYBODY HAS A PRICE!!!so usishangae akanunulika siku mmoja!!!mie siwaamini kabisa hawa wanasiasa wote wapo kwa maslahi yao binafsi!!!!
  14. D

    Kwa anayefahamu movies kali

    mie napenda sana horrow movies nlishiona drag me to hell bt sjabahatika kucheck part two ila kuna the excorsism of emily rose naipenda sana kuna season of the witch ya nicolas cage.
  15. D

    Chezea mmasai!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    Masai mmoja alimpeleka mkewe hospital akaambiwa mtoto amekaa nje ya mfuko wa uzazi atoe pesa apasuliwe.Mmasai alichukia akaanza kusema hii mama jinga sana wakati mimi natia anahangaika mara kiuno kusoto mara kulia naambia tulia yeye nasema tia tu hamna sida ona sasa yeye nakosesha mimi shabaha...!
  16. D

    Wapambe Wa Bi. Harusi Nao Wamo!

    Baadhi ya wapambe nawapata vizuri sidhani kama una idhini ya kubandika picha humu au unafahamiana nao wote??
  17. D

    Mwanamke ni dhahabu.

    mhh...!napita tu!!
  18. D

    Tigo nomaaaaa

    hawa washenzi kama hawawezi biashara wawapishe wenzao jana kusikia nkajiunga fasta cha ajabu mpaka jioni nimekatwa salio lote nlokua nalo leo sikukoma nkajiunga na kifurushi cha wiki kwa 2500 nkakatwa salio kimya eti tafadhali subiri ombi lako linashughulikiwa mpaka sasa bado nkajiunga hicho...
  19. D

    Natokwa jasho jingi sana kwapani

    Hilo ni tatizo nenda hospital kaonane na doctor az linatibika kabisa.
Back
Top Bottom