Search results

  1. Domowazi

    ACT-Wazalendo mnapata wapi pesa za kuendesha chama?

    hahahaha hii nmeipenda... huenda kweli zile ajira milion moja mojawapo ni ya hawa wasema ovyo hku jf....
  2. Domowazi

    Jukwaa la Wakristo Wapo KKKT Kanisa Kuu Dodoma Wanamjadili Kikwete sasa hivi

    wewe sunguratope huwezifananisha yule mchungaji aliekua akishawish watu wasile nyama mlizochinja kama tambiko na yule kichaa aliehamasisha fujo na mipasuko ya kidin hapa nchin... Ponda ana akili sasa yule chiz aliedhan ataenda ikulu kuongea upuuz wake kisa kikwete n muislam mwe zie.... ovyooo
  3. Domowazi

    Ripoti ya Ukaguzi: Vyama vya CCM, CHADEMA vyapata hati zenye mashaka

    una ushahidi wa haya unayoyasema au ndo unadhihirisha ulivyo kichwa maji unayokwa povu tu
  4. Domowazi

    Waraka wa Marehemu Chacha Wangwe na Hatma ya Siasa za CHADEMA

    nikiomba unihakikishie kuwa huu waraka aliuandika Chacha na sio ww umejifungia chumban kwako ukauandika sidhan kama utaweza...... namaanisha kama utaweza uulete hapa utuhakikishie,,,,,,,
  5. Domowazi

    Tamko la Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislam Tanzania

    si unaona sasa upuuzi ule ule, wewe na huyo mr president wote n vichwa maji maana tangu mwanzo sijaona points mnazoongea kama watu wazima points zenye mashiko mnatokwa povu tu,,,,,
  6. Domowazi

    Tamko la Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislam Tanzania

    hivyo vitisho walizoea kutishiwa wazee wa zaman sana sio Tanzania ya leo kama huna hoja ya msingi ya kuitetea hyo mahakama ya kadhi kaa kimya....
  7. Domowazi

    Tamko la Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislam Tanzania

    wewe utapata gawiwo kwenye mahakama ya kadhi?
  8. Domowazi

    USAHIHI wa alichokisema NAPE leo katika Uwanja wa Mazingira Bora - Karatu

    ukweli upi bishost uliumbuliwa jana ukala kona leo umerud na umbea mwingine haya endelea mama kuna wilaya mpya inaandaliwa kwaajili yako....
  9. Domowazi

    Kwanini Zitto Kabwe hakufahamu kama CHADEMA ina mwenyewe?

    hizi ni zile zile ainema zenu za kila siku mkuu hamna jipya,, kumsimamisha hàkutoshi muwajibisheni,,,,, na msiseme sjui uchunguz haujakamilika sjui nn kwan ishu ya rada nayo had leo hamjaimalza, au hamkujua AC amehusika....... acheni masinema nyie hamna jipya....
  10. Domowazi

    Kumekucha CHADEMA, Mwenyekiti wa Wilaya Mkoa wa Arusha na Mjumbe wa BAWACHA warudi CCM

    Nakumbuka post yako ya kusema unamalzia mastaz nacheka sana,,,, kama msomi wa kiwango cha mastaz kuelewa vitu vidogo hivi huwezi...... nlisema ni lazima kila nchi ya ulimwengu wa 3 ifuate sera za SAP ili kupata misaada kutoka mataifa makubwa which means hutaki kuzifuata no misaada na sio lazima...
  11. Domowazi

    Hivi hawa nao ni wenzetu au ni makenge?

    kweli ww minus maana hata mawazo yako ni minus
  12. Domowazi

    Hivi hawa nao ni wenzetu au ni makenge?

    unavyodhani ww ni lin utaujua usaliti wa Zitto na hata ukiujua ukaungana nasi utaongeza nn CDM?
  13. Domowazi

    Kumekucha CHADEMA, Mwenyekiti wa Wilaya Mkoa wa Arusha na Mjumbe wa BAWACHA warudi CCM

    Ni kweli mkuu anatuona sisi mapongo huyu afu anadai anamalzia mastaz.... labda ya u-housgal....
  14. Domowazi

    Kumekucha CHADEMA, Mwenyekiti wa Wilaya Mkoa wa Arusha na Mjumbe wa BAWACHA warudi CCM

    Juliana unatudanganya watu wazima,,, hii ni Civics ya kidato cha 3 wala haihitaj kufunga na kuomba, rudi shule kasome kuhusu Stactural Adjustment Program (SAP) ambayo moja ya policies zake ilikua n MULTIPARTISM na ilikua n lazima kila nchi ya ulimweng wa 3 ikubaliane nayo ili kupata misaada...
  15. Domowazi

    Kumekucha CHADEMA, Mwenyekiti wa Wilaya Mkoa wa Arusha na Mjumbe wa BAWACHA warudi CCM

    Juliana anakaza sana japo apewe uafisa mtendaj wa kata.... komaa mwaya utatoka tuu kwa hizi post atakuona mkuu wa kaya.....
  16. Domowazi

    Kati ya hawa nani atafaa kugombea urais kwa "tiketi" ya UKAWA?

    div 5 hii..... mtu akitoa points zake kama unacrash toa point na ww sio kuongea maji maji ya kwapani tu....
  17. Domowazi

    Kwa mbwebwe hizi za CHADEMA, God forbid, kama wakipewa madaraka ya nchi itakuwa vipi?

    hamnaga post mpya uvccm zaid ya "CHADEMA IKIPEWA NCHI" nyie mna foresight nzur mmeshaona CDM inaingia ikulu sasa mnatapatapa... polen
  18. Domowazi

    Team Same mashariki CHADEMA 2015-ushindi ni lazima

    embu ota ww nzur....
Back
Top Bottom