Search results

  1. B

    Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    naomba kuuliza mbegu zinauwezo wa kukaa mwilini mwa mwanamke kwa muda wa siku ngap? kabla ya kutunga mimba??? namaanisha mwanamke akifanya mapenzi siku ya 12 mbegu zinauwezo wa kukaa mpaka siku ya 14 zije zirutubishe yai mimba itungwe??
  2. B

    KUKU kikwenu anaitwaje?

    nguku-kichaga
  3. B

    Nakua chizi kwa wivu wa mke wangu...

    Mkuu kuwa na msimamo mwambie hupendi hiyo tabia na pili umeshasema ni mkeo hivyo wewe ni mwanaume sio mvulana kwa hiyo kuna wakati unapaswa ufanye mambo kama mume na sio kama wafanyavyo wavulana (wasiooa)
  4. B

    Wimbo wa hello hello Tanzania!

    naomba mwenye huo wimbo au link ya wimbo huo ulioimbwa na msanii Lina Sanga.
  5. B

    Majina ya Makonstebo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

    naomba uniangalizie majina yanayoanza na herufi I..
  6. B

    Njia (route) zaidi ya 60 za daladala Dar kusitishwa...

    Hii habari ilitoka kuanzia ijumaa ya tarehe 28/03/2014 kwa hiyo ni habari ya kweli kabisa haina uhusiano na sikukuu ya wajinga..
  7. B

    Inasemekana Zimamoto wametoa tena majina ya nyongeza?

    naomba uniekee majina ya herufi I
  8. B

    Zima Moto Updates

    fanya hivyo mkuu utusaidie sisi tuliopo mbali na huduma ya kupata hilo gazeti
  9. B

    Jinsi ya Ku-Apply Kazi za PPF

    naomba kuuliza mwisho wa kutuma maombi ilikuwa ni lini???
  10. B

    msaada wa kufungua facebook kwenye laptop

    wandugu naomba kwa anayeweza kunisaidia niweze kufungua account yangu ya facebook kwenye laptop maana tokea juzi niki log in haionyeshi picha zozote wala messages lakini nakuwa naonekana online,,na page yenyewe ipo tofauti na jinsi page ya facebook inavyofungukaga kawaida.Nitashukuru sana kwa...
  11. B

    msaada

    Naomba anayeweza kuniambia kama ni ugonjwa au ni hali tuu ya kawaida inayoweza kumtokea mtu.. kisa chenyewe ni hivi kuna msichana nilikuwa na mahusiano nae kwa takribani miezi 10 hivi akaja akaanza kudate na mtu mwingine sasa shida inakuja pale ninapotaka kuanzisha uhusiano a mtu mwingine...
  12. B

    wimbo wa bosi ulioimbwa na ferooz!!

    mia kiongozi asante kwa kunipatia huo wimbo
  13. B

    wimbo wa bosi ulioimbwa na ferooz!!

    wakuu naombeni mwenye hiyo link anisaidie
  14. B

    wimbo wa bosi ulioimbwa na ferooz!!

    naomba mwenye link yenye huo wimbo anisaidie nina shida nao sana......
  15. B

    Msaada wa Mawazo kwa mwanajamii mwenzenu!!

    Tatizo la huyo msichana ni kwamba hata kwa huyo aliyempata hana nae mapenz ya kweli maana mwanaume mwenyewe anaonekana kapendwa kwa sababu ya hela, sasa mim nahis anaweza akaja kurudi kwangu baadae atakapomuacha huyo aliyekuwa nae sahiv, na kama nitakuwa na mwingne anaweza akanivurugia uhusiano...
  16. B

    Msaada wa Mawazo kwa mwanajamii mwenzenu!!

    Asante kwa mchango wako mkuu
  17. B

    Msaada wa Mawazo kwa mwanajamii mwenzenu!!

    Asante kwa masahihisho yako, ndo namalizia mwaka wa mwisho wa masomo chuo kikuu
  18. B

    Msaada wa Mawazo kwa mwanajamii mwenzenu!!

    Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 23, tatizo langu ni kuwa nilikuwa na girlfriend ambaye tumedumu nae kama miezi 8 hivi ila baada ya muda akaanza kubadilika na kudate na mtu mwingine, baada ya mimi kuona hivyo nikakaa pembeni ila huyo jamaa alieanza nae mahusiano walidumu kama miezi 2 then...
  19. B

    Uongo mwingine noma

    IFM wanatoa masters nyie za FINANCE, IN INTERNATIONAL BUSINESS, NA YA INFORMATION TECHN AND MANAGEMENT.
Back
Top Bottom