Nani wa kupanda ndege kwa usawa huu? Labda waboresha hali ya kipato cha mwananchi mmoja mmoja kwanza
Mbona wamekuwa wakitoa nyaraka mara kwa mara. Ila wa Mwaka huu umekuwa a bit scathing. Hata hivyo wako sahihi kutoa ya moyoni. Wao nao ni sehemu ya jamii.
Jana nami nimemsikia Redio Tumaini! Nilifedheheshwa sana na kauli yake ile. Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo ni kiongozi wangu wa kiroho.lakini kwa hili ameteleza. Hivi ina maana Wahashamu Baba Maaskofu (TEC) nao wanakurupuka?!! Kweli?!! Padri Raymond Saba ambaye ni Katibu wa Baraza is not that...
Civil society, ambayo ndani yake inaweza kuwa na FBOs, kazi yake kubwa mbali na nyingine ni kukemea maonevu ktk jamii(pro-poor). Laiti viongozi wetu wangalikuwa wasikivu ....Ktk nchi nyingi za kiAfrika hatuna strong civil society...Huu umekuwa mtaji mkubwa kwa baadhi ya watawala wetu wa Africa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.