Search results

  1. P

    Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

    Nna umri wa miaka 24, sijaolewa. iyo menopause ndio kitu gani naomba unielezee japo kwa ufupi kidogo mana si wengine tumekimbia shule.
  2. P

    Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

    Kwa kweli nashindwa ata kujua uhakika kutokana na tatizo hilo. siku nyengine zinafika siku 35 siku nyengine 42 ata nashindwa kujielewa. mana mara ya mwisho kupata ni tarehe 24 july.
  3. P

    Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

    Jamani nnawaombeni msaada. nna tatizo la kutokupata hedhi kwa wakati kwa mfano mwezi uliopita nimepata tarehe 20 mwezi ujao upite wote sipati mpaka mwezi mwengine pengine tarehe 7. jamani ni nini tatizo?
  4. P

    Maji ni muhimu kwa mwili wa Binadamu. Kunyweni sana Maji...

    Mi mwenzenu nahisi nina tatizo!!, kila ninapojitahidi kunywa maji mengi ndio ninapokwenda kutoa haja ndogo (kukojoa) kila mara. hivi ni kitu gani kinasababisha hali hii? au ndio inavyokua kwa watu wengine?
Back
Top Bottom