Search results

  1. K

    Watanzania ndiyo raia waungawana zaidi Africa Mashariki?

    Ni mafala toleo la mwisho kabisa😆😆😆
  2. K

    It hurts me when no one will notice where ever I go

    Jaribu kukumbuka kama kuna mtu ulimuumiza nenda kamuombe msamaha. Kuna watu wakimlilia Mungu juu ya uonevu uliowafanyia, utateseka sana. Simaanishi unayoyapitia ni sababu hiyo ila inawezekana ikawa ni moja ya sababu.
  3. K

    Sawa Harmonize kakososea, ila mungu wako sio mungu wa Harmonize

    Kuna dini za kihindi kama hawa hindu au sisi tunawaita baniani, wana miungu mingi sana ya kike. So inategemea anaposema Mungu anamaanisha mungu wa dini gani. Maana kila dini ina mungu wake.
  4. K

    EID MUBARAK: Baada ya kuufinya mpunga, mtoko utakuwa wapi?

    Wametushtukiza, tulikua hatujajipanga.
  5. K

    Kuna nguvu gani muda wa asubuhi? Ni kama ndio inaamua siku yako nzima itakuwaje

    Kuna nguvu kubwa kwenye asubuhi, hivyo ukitaka siku yako iwe njema anza kuiamuru asubuhi iwe vile unayotaka wewe. (Command the morning) Ayubu 38:12-13 [12]Je! Umeiamuru asubuhi tangu siku zako zilipoanza? Umeyajulisha mapambazuko mahali pake? [13]Yapate kuishika miisho ya nchi, Waovu...
  6. K

    Gharama za nauli, chakula, maji, bundle, pamoja na kodi zinafanya biashara nyingi ziwe changamoto

    Na hapo kijana awe anaishi kwako au kwao au ndani ya duka kama Waha. Kama amepanga story ni nyingine kabisa😆😆
  7. K

    Nimetafuta kazi mpaka nimechoka najiona sina faida hapa duniani

    Nenda kwa Mwamposa braza, kule nimeona shuhuda kibao za watu kupata kazi wengine wamekaa mpaka miaka kumi bila kazi.
  8. K

    Nimeota nakimbizwa na kichaa wa kiume aliyebeba Jiwe

    Ndoto ilikua inatokea wapi? Yaani mazingira ya nyumbani? Kazini au kwa wazazi wako au wapi? Muhimu sana kujua mazingira kwa sababu hayo ndio yataeleza kwa nini kichaa akukimbize? Je kichaa ni mtu unamfahamu? Alikua analalamika khs nini? Hicho alichokuwa anakilalamikia ndio sababu ya kukukimbiza...
  9. K

    Kwa Hiyo Serikali /DCI na Mahakama, mmeamua kuwaambia Watanzania kuwa Dada wa Msuya alijichinja mwenyewe?

    Mwisho wa siku wote tutakufa, hata Lazaro pamoja na kufufuliwa na Yesu lakini akafa tena. Know this and know peace.
  10. K

    Fursa ya safari ya kibiashara China (kwa wajasiriamali wenye mitaji midogo)

    Nzuri sana hii nimetamani, tusaidie makadirio ya gharama za awali (viza na tiket) Halafu ya hotel na mtaji tutajua huko mbele kwa mbele😆😆😆
  11. K

    Pale uwezo wako wa kufikiri unapofika mwisho ndipo uwezo wako wa ndani unapotoa suluhisho anza leo kujifunza ufaidike

    Mada nzuri sana sema natamani kama uijazie jazie nyama ili tujue exactly what to do shida inapokuja. Ikiwezekana tupe mifano halisi kabisa iliyokutokea wewe, step by step. Mfano umesingiziwa umebaka, ukakamatwa na kuwekwa ndani, je kwa somo hili uta handle vipi hilo tatizo?
  12. K

    Uzi wa kumshukuru Mungu kwa yale aliyokufanyia na anayoendelea kukufanyia

    Namshukuru Mungu kwa kuwa ni kwa rehema zake sijaangamia, uaminifu wake ni mkuu sana🙏 Maombolezo 3:22-23 [22]Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi. [23]Ni mpya kila siku asubuhi; Uaminifu wako ni mkuu.
  13. K

    Hospitali ya Taifa Muhimbili na urasimu wa kutoa Medical Report

    Ukiwa kwenye nafasi ya kuhudumia mtu mwenye shida ya afya, uchumi, kufiwa nk usimnyanyase, unajitafutia laana kwa vizazi vyako. Know this and know peace 🙏
  14. K

    Ni wakati na sisi Watusi tutambuliwe kama kabila hapa Tanzania

    Umeona ee, ni ushamba wa hali ya juu..kama vipi waende wakachukue uraia huko upande wa pili watuache watanzania halisi na Tz yetu.
  15. K

    Biashara inataka moyo sana

    Wafanya biashara wengi waliokaa muda mrefu ktk biashara na kukuza mitaji wana vyanzo vingine vya mapato. Vinaweza kuwa halali au si halali ila wana vitu vingi wanafanya nje ya hiyo biashara unayoiona.
  16. K

    Je malaika wetu walinzi wanaendaga wapi kipindi tukiwa tunarogwa na wachawi?

    Huyu aliyekwambia haya maneno aje ajibu hoja. Maana biblia haijaandika, sijui vitabu vya dini zingine.
  17. K

    Nyuki wameingia ndani,baadae wamekufa wenyewe

    Ni ndugu zako walikuja kukusalimia, sema wakakuta msosi hamna wakafa na njaa😭😭😭 next time please keep some food in the house, usije maliza ndugu zako bure🏃🏃🏃
  18. K

    DOKEZO Kanisa la PAG-Bethel Nyasaka (Mwanza) na kero ya kelele kwa majirani

    Poleni sana, wananchi muungane na uongozi wa serikali za mitaa mkae chini na uongozi wa kanisa mpate muafaka, suluhu itapatikana tu. Hii hali ni ngumu sana hasa ukiwa na watoto wanaosoma, kila akitaka utulivu hapati. Hata sisi huku Ilemela hawa jamaa wa Tunza beach wanatupa taabu sana, usiku...
  19. K

    Naomba Ufafanuzi: Kampuni ya Puma Energies imetoa msaada kwa wananchi wa Hang lakini wananchi wanamshukuru 'mama'

    Wasi wasi wangu ni je misaada inawafikia walengwa? Maana kwa kweli wadau wa Maendeleo wamejitahidi kutoa misaada.
Back
Top Bottom