Search results

  1. danali

    Zanzibar | Special Thread

    Wakuu nimeona nichangie kidogo kwa vile mimi ni mzaliwa na mkaazi wa Unguja Nimesoma coment nyingi ila nimeona baadhi ya watu hawajui Zanzibar ni muunganiko wa vusiwa viwili UNGUJA NA PEMBA Mostly watu wa bara wanapoesama Zanzibar huwa wanakusudia Unguja sababu ndio kisiwa baba kati ya hivo...
  2. danali

    War robots player

    Yaah japo sio f2p friendly ili ufike champions league 90% lazima utumie real money
  3. danali

    War robots player

    Wengi wao hua ni pay to win so wakiona hanger yako iko weak hawakuenvite kwenye squard balte
  4. danali

    War robots player

    Habari wakuu Mimi ni mshabiki sana wa games hasa hasa mobile games sababu muda mwingi napata free nikiwa kazini kuliko nikiwa kwangu Nilikua najaribu kutafuta mashabiki wenzangu kama wapo wanaocheza hili game la WAR ROBOT wa hapa tz maana nimechoka kuplay solo na nipo katika clan ya kirusi...
  5. danali

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Mimi nilinunua 900k ila naimani kwa dar inafika 1m
  6. danali

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Nimenunua katika local store hapa mjini Me nilinunua hii sim only for Pubg fortnight and staff like that Trust me sijawai experience perfomance ya juu on online multiplayer gaming zaidi ya hii sim Kama unahitaji kununua nikupe faida na hasara nilizoziona kabla hujanunua Faida: - Iko faster...
  7. danali

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Wakuu mie nina black shark nakaribishwa hapa?
  8. danali

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna nyimbo sikumbuki aliimba nani walitokea kumjibu lady JD - wanaume kama mabinti. Kuna remix yake kidokezo "Wamama kama vijana.. misosi mitungi na pamba siku zinaeenda kila siku tunajirusha Wanatupenda wenyewe" Please mwenye nayo aniwekee
  9. danali

    WhatsApp

    Haiwezekani kwa sababu za ki usalama
  10. danali

    CRDB waruhusu kuhamisha pesa kutoka Paypal kwenda A/c yako ya CRDB

    Me nilishindwa kabisa kuweza kuverify acount ya crdb kwenye ac yngu ya paypal mpaka nikaachana nao Nilipofungua NMB nimepata zile code on my first attempt sijui nilikosea wapi na crdb
  11. danali

    Unahitaji website bure?

    Intresting...
  12. danali

    Nataka demu

    Na awe msafi kama wewe
  13. danali

    Unguja to Dar ni karibu kuliko Unguja to Pemba

    Kabla ya boti za bakhresa Ilikua Zanzibat to dar ni masaa matatu na nus
  14. danali

    Nyimbo hizi zinaendana na matukio ya sasa

    Sirudi tena - Mabeste
  15. danali

    Uzi Maalum wa kupeana uzoefu maisha ya ndoa Vs Ubachela/Single lady kipi bora?

    Muumini wa dini gani? Angalia kwenye mafundisho ya dini yako kipi ni bora zaidi na kwanìni
  16. danali

    Naomba ushauri ukifika wakati wa kubaki na laini moja

    Hii ishu lazima wachemke
  17. danali

    Mambo ya kisasa

    Bro wake kakushtukia nini unafanya
  18. danali

    Natafuta mke wa kuoa

    We muoaji kweli ? Kuna binadam alokua hana tako?
  19. danali

    Mchaga wa kichina....

    Hayo macho yatashindwa kufumbuka kabisa
Back
Top Bottom