Eddy labda nikufahamishe kuhusu hicho unachokiita "kibali cha kupokea hizo fedha..." Ni kwamba hao Tume ya Maadili ndiyo wanapaswa kupelekewa taarifa za kupewa fedha na aliyepokea siyo na aliyetoa. Sheria ya Maadili inamtaka kila kiongozi anayewajibika kwayo, anapopata kipato chenye thamani ya...
Ukisoma hii stori unaweza kuunganisha dots ukapata mstari...
endelea na story hiyo kama ilivyoripotiwa tarehe 28 Julai, 2013
28 | July | 2013 | Nurdidy Nurdone Blog
Raisi Kikwete alala nyumbani kwa waziri.28JUL2013Leave a comment
KATIKA mazingira yasiyotarajiwa, Rais Jakaya Kikwete amelala...
Nasari hivi elimu yake ikoje?? Nasikitika sana kijana huyu amepoteza credibility sana kwa kuweka memo hiyo hadharani.
Unless ajitokeze aseme siyo yeye kaiweka, manake tunaweza kumlaumu bure kumbe ni akina chenge na werema team waliikwapua wakaiweka ili kumkomoa mwigulu kwa namna alivyowachana...
Nakubaliana na wengi humu. ZZK alichoka kiakili. Kumbuka alikua amekesha akilinda ripoti yake kabla ya kuiwasilisha bungeni. Mjadala nao uliendeshwa kwa muda mrefu, kwa hali ile lazima angechoka tumsamehe tu kwa kuwa ni mpiganaji.
Huyo Nnnchambi ni ma.vi tu, anajifanya kutumia mistari ya maandiko matakatifu kutudanganya. Siku za mwisho zinakuja na atahukumiwa kwa kipimo kile kile cha kusukwa sukwa na kujaa alichotumia kuwatetea wezi wa mali za umma. Nilikuwa namheshimu sana ila amejishushia heshima sana. Ffffaqqq youuu...
Hatimaye wamerejesha umeme. Ia niishajipanga tangu jana kwa kuandaa vitendea kazi kama vile ear phone na betri za ziada za simu. Hakuna kulala hadi dakika 90 za escrow ziishe tujue nani tumbili na nani mwizi
Mkuu tumekusikia. Hiyo tar 26 Nov kila goti litapigwa. Nchi na dunia itazizima na akili, masikio ona macho ya wapenda TZ vitaelekezwa mjengoni... pamoja sana mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.