Search results

  1. L

    CCM & TLP zang'ara chadema hoi bin tabani Arumeru East

    Naamini wewe umeota unabusiwa na kutekenywa na Ole Sendeka na Wasira ambao sasa wanashindwa hata kugeuka kutokana na kuzidiwa uzito wa matumbo yao. Sendeka hana alichokifanya simanjiro bali kuongeza ukubwa wa tumbo. Wasira kazi yake ni kulala bungeni hata na kutoa udenda huyo watu wa Bunda...
  2. L

    Itv na tbc acheni unafiki wa kisiasa kwa kuipendelea ccm arumeru mashariki

    Vyombo vya habari vya ITV na TBC ni kero kwa wananchi wanaopenda kuona haki inatendaka katika uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki. Vyombo hivi vinaipendelea ccm kwa kuonyesha kwa muda mrefu kampeni zake na CDM Ikionyeshwa kuwa kwa sekunde tena bila ya wasikilizaji, hii ni kudhalilisha uandishi wa...
  3. L

    ITV na TBC acheni unafiki wa kisiasa kwa kuipendelea CCM Arumeru Mashariki

    Vyombo vya habari vya ITV na TBC zimekuwa zikiwakwaza watazamaji wake kwa kuegemea upande wa chama tawala katika kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru mashariki kwa kuonyesha kuwa ccm ina watu wengi katika kampeni zake. Lengo ni kuvuwavunja wananchi moyo hata wasijitokeze kupiga kura ili...
  4. L

    JK wawajibishe hawa Mawaziri wako

    Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii (DK. Mponda),Waziri wa Ushirikiano wa Jumuia ya Africa Mashariki (Sitta) ,Naibu Waziri wa Miundo Mbinu na Ujenzi (Dr. Mwakyembe) na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI- Manumba) wote hawa wanapaswa kutoswa na JK kwa kuvunja maadili ya uongozi kwa...
  5. L

    Kwanini Lowassa hawasaidii hawa kwanza kabla ya makanisa?

    Ndugu yangu yaelekea huna upeo na mambo ya Kanisa, hivyo uwaache watu watende kazi ya Mungu ili nawe unufaike na rasilimali za Kanisa katika kada mbalimbali. Mhe, Lowasa anatumiwa na Kanisa akiwa ni mtu mwenye uwezo wa kuchochea na watu wakajitokeza kuchangia Kanisa ili ijiendeshe. Pili kwa...
  6. L

    Kumbe Tanzania kuna Waziri Mkuu

    Kwa muda mrefu sijamsikia Waziri wetu Mkuu Mheshimiwa Pinda akihamasisha Masuala ya Utendaji serikalini kama Mtendaji mkuu wa serikali hadi Madaktari walipogoma akajitokeza hadharani. Je, alikuwa likizo ya muda mrefu?
  7. L

    Pinda is right! Doctors are wrong! Doctors have frustrations!! They must apologize to all Tanzanians

    Inaelekea wewe huna uweza wa kuchambua issue, ni bora usiwe unadandia usichokielewa, fanya uchambuzi ujenge hoja. Madaktari wana hoja za msingi ambazo serikali wanapaswa kuzijibu na kutolewa majibu sahihi. Hujui Wizara ya afya kuna watu wanaona ni taasisis yao binafsi hakuna mwenye mamlaka zaidi...
Back
Top Bottom