Search results

  1. A

    Mwanandani wangu kaolewa

    Nilikua na mpenzi wangu ambae nilimpenda sana na bado element za love zipo kwake, nilianza nae 2007 nikiwa f5 tuliishi vizuri na mimi nilikua wa kwanza kwake,penzi lilikuja kuingia doa 2011 pale wazazi wake walipo taka kumuozesha kwakua ni binti wa kiislamu na ana asili ya kiarabu, kiukweli...
  2. A

    Taarifa za Rostam kuunga mkono CDM Arumeru zakupikwa; Slaa akanusha vikali

    PRECAUTION; chadema wawe care sana kwani watanzania wasije kuwaona nao wana element za kifisadi
  3. A

    NEC ya dharura Dodoma kishindo gani?

    Rais jk, ameitisha mkutano wa dharura wa nec mjini dodoma utakaofanyika tar 12 feb, naye nape amekiri uwepo wa mkutano huo na kusema lengo ni kujadili katiba mpya ya ccm. Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwa meza kuu na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM...
  4. A

    Mgomo wa madaktari ni utovu wa nidhamu - Kibonde wa clouds FM

    Sijui ni pro wa serikali ila ana div. Iv ya 33 ana d ya civics na d ya kisw
  5. A

    Mgomo wa madaktari ni utovu wa nidhamu - Kibonde wa clouds FM

    Huyu kibonde ni mtu wa kujikomba kwa wakubwa, kipindi cha kampeni rais aliongeza mishahara ki nyemela kana kwamba anaonga wafanyakazi aliewaita mbayuwayu kibonde akatetea, wanafunzi wa vyuo wakigoma yeye anabwata hawana akili,je huyu ni reporter wa nini sciol issues au ni pro wa serikali? Leo...
Back
Top Bottom