Search results

  1. Z

    FIKRA PEVU EDITORIAL: Watanzania tutume SMS kwa watawala wajue.. namba hizi!

    Kuna program za kuchuja simu za kupookea pamoja na meseji zisiweze kufika au kuchagua aina ya simu za kupokea. Program hizo ni Mobicall na Mobimessage. Wakubwa hawa lazima wanazo kwenye handset zao, hata hivyo hakuna haja ya kukata tamaa.
  2. Z

    Suala la posho za wabunge

    Huna aibu we unaona Pinda yupo sawa!! Hata kama umelishwa si ki hivyo roho yako mbaya ka Pinda.
  3. Z

    Suala la posho za wabunge

    Kupitia ongezeko hili la Posho leo nimeitumbukiza chooni kadi yangu ya CCM yani naona 2015 mbali kwa nn tusifanye kama Tunisia!!
Back
Top Bottom