Mnashindwa kufanya kazi mnaanza kujipendekeza. Kila anajua Kikwete ni dhaifu, hata wewe unajua. Ila ni nani aseme , tena mbele ya bUnge ndo ilikuwa issue. Mnyika anawakilisha maoni ya watanzania pamoja na wewe unayejua ukwele ila unajipendekeza tu mradi upate ka cheo. Endelea na ka mradi kako ka...
Malawis new president, Joyce Banda, has dumped her predecessors presidential jet and fleet of luxury cars, in yet another move that sets Banda apart from the nations past administration.
Serikali yetu inapata somo hapa?​
Uwezo wako wa kufikiri ulipogota, ukadhani watu wote wana upumbavu vichwani mwao kama wewe. Rais anaenda kuvunja baraza la wezi, we bado unawatetea kisa Muungano. Mshenzi mkubwa, kama unafaidika sie hatupo ila jua moja tu, CCMajambazi, chukua Cahako Mapema, Kwishny. Muunagano tutashehekea na...
Kweli viongozi wengine ni waropokaji. Mkuu wa wilaya Ulanga anasema raia waliouwawa Ulanga na askari ni ajali kazini kama walivouwawa kundi la Modern Taarabu. Ameongea mwenyewe ITV-Habari ya saa mbili. Nimeshangaa, kiongozi gani huyu. Kwa kauli kama hiyo ingetosha ang'atuke. Kweli hawa askari...
Unategemea nini kuingiza siasa katika institution nyeti kama UDSM? Amewekwa maksudi na swaiba wake. I appreciate science guys like Luhanga. Alikuwa na weaknes zake lakini huyu anakandamiza wanafunzi, anatumia mali hovyo. Nadhani umefika wakati jamaa naye aachie ngazi.
Mpaka leo sijielewi, hivi nkitoka CCM ntakula nini, ntaishi vipi? Naona upinzani wana maono mazuri lakini njaa yangu inanibakiza CCM. Huku kwetu ukiropoka tu, ka cheo tayari, sio ndo maisha bora hayo. Mtanisanehe bure.
Ebu changamkia hizi wadau, deadline tar 23 March, ckuziona hapa jamvini
http://www.tra.go.tz/index.php?option=com_content&task=category§ionid=10&id=21&Itemid=59
Hivi Kibonde ni jina lake au kuna mtu alimtukana huko shule kwa ukilaza afu jina likashika. Huwa linaongea tu. Sisikilizi walakuangalia clouds sababu yake. Damn you Kibonde.
Nilisikia jana kuwa wanahakati binafsi wataandamana kupinga mgoma wa madaktari nikawa na shauku ya kujua wanaharakati hawa wazalendo. Nilipowa kwenye taaarifa ya habari chanel 10, nimeishiwa pozi. Kiongozi woa Salumu tunamjua kuwa ni kibaraka anaefata upepo wa iliko pesa. Ni dhahiri haitoki...
Mshahara ni laki 4 + kidogo. Vp huyo dogo aliomba lini, maana hata mi nilipeleka application sio cku nyingi Mlinzi akutuambia interview ilikuwa jana yake na wanategemea kuchukua tena mwezi wa nne. Nahic washanimwaga, maana nilipeleka tu bila memo.
Angalia, sio wote wanaopata lower second walifanya mchezo. Imagine mtu anaekaa mtaani ambako lazima ajipikie, akachote maji na shuguli nyingine za home. Usije ukajilinganisha nae hata ka una upper second kitaa kugumu bwana. Big up waajiri wote wasiotaja ma upper second. Kuhusu nida, hiyo system...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.