Search results

  1. dottoz

    Waya (roller) unauzwa 2.5mm ni mita 50 mpya

    Ndio ni extension wire mkuu
  2. dottoz

    Waya (roller) unauzwa 2.5mm ni mita 50 mpya

    Sasa kiongozi nimetuma na picha kabisaaa hujaiona?
  3. dottoz

    Waya (roller) unauzwa 2.5mm ni mita 50 mpya

    Njoo whatsappp 0733139398
  4. dottoz

    Waya (roller) unauzwa 2.5mm ni mita 50 mpya

    Upo wapi kiongozi, napatikana Kunduchi.
  5. dottoz

    Nauza Wire Roller yenye urefu wa Mita 50. Waya una 2.5mm

    unaruhusiwa kutest kabla hujatoa pesa yako maana ni mpya kwahyo hakuna hofu yoyote juu ya hilo.
  6. dottoz

    Nauza Wire Roller yenye urefu wa Mita 50. Waya una 2.5mm

    kwa mafundi mkuu wanaelewa matumizi yake sanaaa tu
  7. dottoz

    Nauza Wire Roller yenye urefu wa Mita 50. Waya una 2.5mm

    poa mkuu njoo whatsapp 0733139398 nikutumie picha ukiwa umefunguliwa
  8. dottoz

    Nauza Wire Roller yenye urefu wa Mita 50. Waya una 2.5mm

    kwa mawasiliano zaidi napatikana dar es salaam maeneo ya kunduchi ,namba ya simu ni 0733139398 na whatsapp ndo hiyo hiyo pia bado sijapata mteja ,pia kuna maelewano ya bei ukiachana na hiyo.
  9. dottoz

    Nauza Wire Roller yenye urefu wa Mita 50. Waya una 2.5mm

    nicheck mkuu 0733139398
  10. dottoz

    Nauza Wire Roller yenye urefu wa Mita 50. Waya una 2.5mm

    bado upo mkuu napatikana dar es salaam namba ya simu ni 0733139398
  11. dottoz

    Nauza Wire Roller yenye urefu wa Mita 50. Waya una 2.5mm

    Ni mpya kabisaaa na shidaa sanaa ya pesa ni laki 1 na nusu pungufu unaongea
  12. dottoz

    Waya (roller) unauzwa 2.5mm ni mita 50 mpya

    Ni mpya kabisa na shida sana ya pesa ni laki 1 na nusu (150,000) pungufu unaongea NISHAUZAAAAAAAAAA
  13. dottoz

    Kwanini watumishi wengi wa 'idara nyeti' ni matapeli na hupenda kujifunua utambulisho wao kwa wauza bia bar

    Inamaanisha kila siku analipwa 10,000/= huoni hela ndogo sanaaa hiyo hata kama ipo nje ya mshahara? Mimi kila siku napokea 50,000/= hiyo ni nje ya mshahara.
  14. dottoz

    Aina za Limbwata Wanawake wanazotumia kutushika, je we umepewa mojawapo hapa. Ni uchafu mtupu

    Yani bora hata sisi tuwape wanawake limbwata kuliko wanawake watupe limbwata wao. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. dottoz

    Kuwasaidia ndugu wa mkeo ni limbwata?

    Wale waliopewa limbwata na wake zao wataendelea kuusapoti huu uzi aloandika huyu alopewa limbwata, Aiseee kweli wanawake tuishi nao kwa akili. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. dottoz

    Kati ya mama yako mzazi na Mungu unampenda nani?

    Namaaanisha kuwa hata ukimpenda mama ni sawa tu umempenda mwenyezi mungu. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. dottoz

    Kati ya mama yako mzazi na Mungu unampenda nani?

    Mama ni Mungu,na Mungu ni Mama nadhani umeelewa. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. dottoz

    Sifa nyingine ya Augustine Mahiga: Yeye ndiye "Shahidi Y" kwenye kesi ya Uhaini ya mwaka 1982/83

    Ndio aisee,,wote lazma wawe vitengo hiyo ni wizara nyeti sanaa lazma uwe usalama wa Taifa. Kwahyo mawaziri wakuu wote wanaoteuliwa Tanzania ni lazma wawe vitengo. Over Sent using Jamii Forums mobile app
  19. dottoz

    Ndoa kudumu inataka uzuzu

    Kweli kabsaaa,,wengi kwenye majumba yao humo yamekua mazezeta kwa wake zao. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom