Search results

  1. S

    Fijili ( celery )

    assalam aleikhum. ndugu zangu naomba mnifahamishe nini faida ya figili ( CELERY ) nawaombeni msaada wenu.
  2. S

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Assalam aleikhum, ninamwenzangu mmoja anapenda kuuliza ikiwa mtu ana ugonjwa wa sukari anaweza kutumia asali na mdalasini, nawaombeni wenzangu mnijulishe nini cha kufanya.
  3. S

    FIGILI (CELERY) INAFAIDA GANI. NDUGU ZANGU WASOMI, NAOMBA MNIELEZE figili ( CELERY ) ZINA FAIDA GANI

    Wapenda wa mtandao huu naomba usaidizi wenu kuhusu figili ( celery ) zinafaida gani , naomba wasomi mnifahamishe kupitia huu mtandao ...
  4. S

    Mdalasini na mtu mwenye sukari je inadhuru naomba msaada wajuzi.

    Assalam aleikhum. Nakusudia, mtu anaugonjwa wa sukari anaweza kutumia asali? Au kuna asali za aina nyingi.
  5. S

    Mdalasini na mtu mwenye sukari je inadhuru naomba msaada wajuzi.

    Asante sana ndugu kwa ukarimu wako , inshaalah nitajaribu na kwa uwezo wake mola inshaalah atanijaalia.
  6. S

    Mdalasini na mtu mwenye sukari je inadhuru naomba msaada wajuzi.

    Ndugu zangu , assalam aleikhum. Napenda kuchukua nafasi kuulizia mtu mwenye sukari anaweza kutumia asali au kuna asali ya aina nyingine ambayo siijui, naomba msaada wenu .
Back
Top Bottom