Search results

  1. mshana org

    Msaada wa kisheria katoroshwa na ndugu zake na mtoto

    Wanabod habar za majukumu.kwanza nitangulize shukran kwa msaada wanaopata watu humu kuhusiana na maswala haya ya kisheria.nakuweza kupata muongozo wa kutatua matatizo yao. Mimi nina ndugu yangu yeye na mkewe hivi mwezi ulopita ndoa yao iliingia dosar kwa jamaa kufumwa na sms za mwanamke na...
  2. mshana org

    Natafuta mwanamke wa kiislam

    Assalam aleykum wanabody, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu mwanzoni mwa mwezi huu nilitoa bandiko la kutafuta mke wa kiislam hapa japo nilipata pm kadhaa lakini hakuna aliyekua serious kwa ndoa. Nimeamua kurudia tena tangazo langu kwa atakayekua tayari tukutane pm,sifa za...
  3. mshana org

    Mke Muislam anatafutwa

    Wandugu habari za leo, Jamani mimi natafuta mwanamke umri kati ya 19-30 awe Muislam awe anajua maana ya maisha awe mpambanaji wa kutafuta maendeleo hata kama bado hajayafikia. Awe tayari kuingia kwenye ndoa baada ya taratibu nyingine kukamilika. Please aliye serious tuwasiliane pm for more info
  4. mshana org

    Mtafutaji huwa hachoki na akichoka basi kapata

    Habari wandugu. Itakumbukwa siku chache zilizopita nilikuja humu kuomba ushauri baada ya kutoswa na mwanamke ambaye tulishafikia sehemu nzuri katika mahusiano yetu. Kwanza napenda kutumia nafasi hii kuwashukuru wana mmu wote walionipa ushauri hapa na wale walioni pm. Nashukuru sana kwani...
  5. mshana org

    Nimepata mtihani wa mapenzi mpaka najuta kujiingiza humo

    Habari wandugu Leo nimekuja hapa kuomba ushauri baada ya kuumia sana ndani ya nafsi mpaka sasa sitamani tena mapenzi. Kifupi nilibahatika kumpata binti kupitia hapahapa Jamiiforums. Kiukweli mwanzo tulipendana sana na kwa upande wangu alinisaidia sana pale ninapopata shida iwe inahusu fedha au...
  6. mshana org

    nimewamiss je humu ndani

    Habari wakuu? Sina shaka muko pooouw wote humu ndani.nimeferah sana kuona bado cc inadunda kama kawa mimi mr mkiva nilipoteapo humu kwa muda sasa tangu pale muda mfupi baada ya kupata ndoa halali na mke wangu pretty.lakini yote nikutokana na majukumu kubana sana japo nimekua nikiingia jf mara...
  7. mshana org

    Wawekezaji wa kihindi wanafaida gani katika taifa hili kwa mtaji huu?

    Wanajamvi habari za leo.bila shaka muko pouw. Baada ya kumaliza hekaheka za jana za uchaguzi sasa niwakati wakurudi kulijenga taifa letu changa lililojaa kila aina ya uozo. Nikirejea mada.nilipata nafasi ya kutembelea kampuni kadhaa zinazoendeshwa na wawekezaji wa kihindi na china.katika...
  8. mshana org

    My love preety mic u

    Nimekumiso mpenzi wangu japo niko mbali kikazi ila hisi upendo wangu kwako.nimekukumbuka sana.kesho narudi home walau nije iona sura yako tu nitarizika.i love u so much my preety.mwaaaaaaaaaaaaaaaah
  9. mshana org

    Tangazo la ndoa ya mkiva vs preety

    Ndugu wanajamvi husika na kicha cha habari hapo juu.baada ya kutimiza mashart na vigezo tulivyopewa na uongozi wa cc kukamilisha ndoa yetu,naomba ku2mia nafasi hii kuwatangazia kua ndoa hii itafungwa tarehe 27.12.013 baada ya boxng day.ukumbi mutajulishwa na kamati.asante nawakilisha. Cc baba...
  10. mshana org

    YAH: mwenye pingamizi la ndoa kati ya mr mkiva/preety

    Ndugu wana cc poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa.kichwa cha habari kimejitosheleza.lakini naomba kutoa muhtasar kuhusiana na ndoa kati yangu mimi mkiva na mchumba wangu preety.mimi na preety tumefikia maamuzi tunayoona ni stahki ya kuish kama mke na mume.na wote kati yetu hakuna ambaye...
  11. mshana org

    Wasajili wa ndoa hodi nimekuja kwenu na mimi

    Habari za leo wanajanvi?poleni na hekaheka za kumalizia wkeend.baada ya kusugua banch la ubachela muda mrefu na kuona watu wanavyojilia vyao humu ndani.nikagundua kua lile chama la wasiooa/kuolewa nahtaji nilikimbie.ila tatizo likawa kumpata anayefaa ambaye hajachezea talaka au ndoa zile za...
  12. mshana org

    Eartel wanaboa sana sijui nihame.

    Siku 4 sijapata chekatime wala vifurush.ukibofya menu et huduma hii haipatikan kwasasa jaribu badae.nimewachoka
  13. mshana org

    Wako wapi watu hawa?

    Wakuu salamu natumai muwazama kama mimi kiafya na munaendelea kusukuma gurudumu la maisha kama kawa.baada ya kurejea ndani yakijiji kutoka huko ughaibuni siku kadha zilizopita nilifurah kuwakuta na mukanipokea.badae ilinilazimu kutembelea vijiji vingine kuwasabah ndugu na jamaa kama ilivyo...
  14. mshana org

    Upweke upweke umenichosha

    Habari wanajamvi kwanza poleni hang over za kuanzia jana na bado makamuzi yanaendelea.mimi tangu nimerudi kijiji hiki cha jfplus nimekua mpweke sana kila ninapojaribu kuangalia kimwana chakuopoa nakuta tayari nimali za watu.nimeona bora nijilipue natafuta kimwana aliyeko single ajitokeze kwa...
  15. mshana org

    rafiki yangu anaomba msaada wa kisheria

    habari wakuu polen namajukumu.kuna rafiki yangu alikua na mke na mtoto 1 huyu mwanamke alimuoa baada ya kupata mimba inamaana walikua marafikitu kabla.na walikutana huku mjini jamaa mchaga mke mjaluo sasa jamaa kutokana na kipato kua duni alishindwa kwenda kwao kwa mudahuo.ila aliongea na...
  16. mshana org

    mkiva tena ndani mjengo

    hodihodi mkiva nimerudi babu shikamoo wakubwa habari zaleo.nimerudi tena bana ya kumaliza vikao vya mchakato wa tanzania tuitakayo sasa nipo likizo.nimeona nivema nirudi kijjn chitchat nikale bata pia nikaendeleze harakati zangu za kumuopoa mtoto elzabeth maico kama bado hajaopolewa.nakama...
  17. mshana org

    mkiva tena ndani ya nyumba.

    habari wana cc? Baada ya kutoonekana kwenye familiya hiii kwamuda kidogo hatimaye nimerejea tena kundini.
  18. mshana org

    Mh raisi ,mh waziri wa kazi munalijua hili watanzania wanavyofanyiwa kule arusha?

    ndugu watanzania kwanza niwatakie heri ya w.kend.moja kati ya hutuba nying za viongoz wa chama na serikali ya ccm akiwemo rais kikwete na viongoz wengine nikukuza soko la ajira kwa vijana.nikweli vijana weng hawana ajira nimechukua muda mwing kufatilia ajira zipatikanazo arusha kwa muda mchache...
  19. mshana org

    baba v naomba kujuzwa.

    nahitaji kujuzwa warembo masingo waliopo humu.baada ya mbio zangu kwa elizabeth dominic kugongo ukuta sasa nahtaji wakunituliza.lakini naogopa kuvamia wenye ndoa zao nisije pandikiziwa zinga la bush mie.tafhadhali baba v na kamati yako ya mahusiano naomba ushirikiano wenu.nb.kama yupo aliye...
  20. mshana org

    nilipamiss humu ndani

    habari za leo wakuu Nimemiss nyumbahii kwa siku kadhaa.hii ni baada ya kupata ajali ya gari maeneo ya oldonysambo wiki mbili zilizopita baada ya gari yangu kupasuka gurudumu la mbele na kuacha njia.nashukuru mkanda ulinisaidia sikuumia sana zaidi ya kupata majeraha ya kukatwa na vioo.kwa muda...
Back
Top Bottom