Search results

  1. S

    Mhariri Rai Matinyi anaswa kwa Rushwa Monduli

    You are very right mkuu,mikataba mibovu yote Tanzania imesainiwa na wenye njaa? Wale wanaosaini mikataba ya kishenzi kuwaumiza wananchi tena wanasainia Hotelini na muhuli uliobebwa mfukoni nao wana njaa? Migodi yetu,maliasili na rasilimali kibao zinawekwa Rehani kiajabuajabu tena na watu...
  2. S

    Elimu ya juu Tanzania

    Mkereketwa mambo uliyaongea ni sahihi kabisa,mbaya zaidi hata vyuo vikuu vinavyozidi kuanzishwa bado mambo ni yaleyale ofcourse hii ni changamoto sasa nini kifanyike kuokoa kizazi hiki cha wasomi wasio na ajira na wanaoishia kulipwa mishahara ya 300,000 hadi 500,000 na hawa waajiri then serikali...
  3. S

    Elimu ya juu Tanzania

    CHANDIRA unadhani ni kwa nini hili suala halipigiwi kelele,je watanzania tumeridhika? Ni kwa nini wadau hawalioni hili na hali inazidi kuwa ngumu kwa wahitimu wetu wa elimu ya juu kuendelea kuwa ombaomba na watumwa wa wachache?
  4. S

    Elimu ya juu Tanzania

    Wadau hivi ni kwanini elimu ya juu Tanzania haimuwezeshi mhitimu kujiajiri pindi amalizapo masomo yake,matokeo yake anazunguka mtaani miaka na miaka na vyeti vyake anaishiwa kudhalilishwa na thamani yake kama msomi haionekani tena? Mfano muajiri anahitaji wafanyakazi 10 anaita watu 150 au 100...
  5. S

    Business consultant available

    Wadau naomba kujulishwa ni wapi nitapata mtu anaeweza kuandaa bussiness plan
  6. S

    Insincts/machale/6th sense & intuition...

    Always it is a true experience,follow your sences it works!
  7. S

    Kampuni ya ranchi za taifa (NARCO)

    Sorry mkuu always we are running with the time on the matters of Bussiness.Hope you get my point
  8. S

    Kampuni ya ranchi za taifa (NARCO)

    Mkuu kwa dar hata 1kg tunakuletea bt usiwe mbali sana na mjini,Tupo pia Tanga,Morogoro na Dodoma.Unaweza pia kuangalia post iliyotolewa na Sojochris katika ukurasa huu utapata details zaidi.
  9. S

    Kwa wote wanaohotaji nyama (beef) yenye ubora kwa kiwango chochote tuwasiliane

    mkuu ox-tail ni Tzs 4,500 lakini hatuna product ya T-bone kwa sasa kuna maboresho kadhaa yanafanyika na itakapokuwa tayari tutawataarifu.
  10. S

    Kwa wote wanaohotaji nyama (beef) yenye ubora kwa kiwango chochote tuwasiliane

    Thanks mkuu,huduma ina cover mikoa ya Dar es salaam,morogoro,Tanga na Dodoma.Ofisi zetu ziko hapa dar es salaam posta mpya jengo la mavuno (MAVUNO HOUSE),Magari yenye fridge yapo kaka na transport cost ni juu yetu inategemeana na kiasi unachohitaji.Karibu sana mkuu
  11. S

    Kwa wote wanaohotaji nyama (beef) yenye ubora kwa kiwango chochote tuwasiliane

    Ni halaal ndugu na order inaanzia kilo 5
  12. S

    Kwa wote wanaohotaji nyama (beef) yenye ubora kwa kiwango chochote tuwasiliane

    Wadau mimi nina supply fresh meet(beef) kutoka kampuni ya ranchi za taifa (NARCO) nyama yenye ubora na usalama kwa walaji kwani inaandaliwa katika mazingira mazuri kuanzia ufugaji hadi uchinjwaji. Nina categories zifuatazo. BEAF STEAK 1KG TZS 7,500 BEEF FILLET TZS 8,500 JEMBE (BLADE) TZS...
  13. S

    Mkapa: Wapinzani ni wajinga na hawana adabu

    Siasa za sasa zimejaa jazba,mtu yeyote akijawa jazba aweza kutamka neno lolote na akaona ni sahihi.Swali ni kwamba,je ni kipi kinachowatia jazba? Hofu? kama ni hofu wanamuhofia nani na kwanini? Its time for the peoples(majority) choice to be respected,Tanzanians are no more the Same.Wakimaliza...
  14. S

    Eric Shigongo....Hapa umepitiliza !

    "watoto walioenda mahakamani kumlilia mtoto wao" anyway but it confuse.
  15. S

    Mkwawa University inawaka Moto

    Sad news,sorry to the victims and may God give you strength to overcome.With time everything will be fine but we must learn and let not this misery happens repeatedly within education institutions in the country.
  16. S

    Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

    Die first and you'll get the perfect ans on how we will be informed.Sikuombei mkuu,just a joke but easy to understand the message...
  17. S

    Kura za maoni CCM Arumeru kurudiwa

    Only wise people can understand this game.Someone must be excluded intensionally and no body in the CC is ready to bear the burden to speak out WHO so auromatically u'll see WHO is their (CC) choice.Only voters can prove them wrong by voting for the right candidate as MP among all party...
  18. S

    Ajali Mbagala

    May their soul rest in eternal peace,Amen and quick recovery to the injured ones. So painful..
Back
Top Bottom