Search results

  1. Srebrina

    Difference between Police and Army

    Habari za kazi ndugu na jamaa, nina kitu naomba tusaidiane uelewa maana nimetafuta majibu mpaka sasa nashindwa kuelewa utofauti, nauliza ivi kuna utofauti gani kati ya police na army? Maana nikisikia jeshi la polisi najua polisi ni jeshi mara naambiwa polisi sio jeshi yaani nashindwa hata...
  2. Srebrina

    Financial Professional Crash Course

    HABARI NJEMA KWA WATU WOTE. Habari Yako Ndugu,,, Nimatumaini Yangu Kuwa Unaendelea vyema😀. Leo Tumekuja na ujumbe mzuri kabisa kwa Wale wote ambao wanamalengo makubwa katika Biashara Kwa kutumia Microsoft Excel ku Control Biashara zao, Natambua wengi Sana Wamekuwa Wakihangika katika kutafuta...
  3. Srebrina

    Msaada juu ya matumizi ya Banggood Ecommerce

    Habari za kazi wakuu, Nimekuwa nikitafuta alternative ya kikuu kuachana na aliexpress kwani kikuu vitu vunawai derived lakini tatizo bidhaa nyingi hakuna hasa za electronic na aliexpress zipo ila kununua mizigo ije kufika jau na unakuta resistor unanunua kwa $2. Lakini ili mzigo uwahi mpaka...
  4. Srebrina

    Msaada Jinsi ya ku activate PC iweze kutumia Laini ya simu

    Habari za kazi wakuu nategemea mko wazima wa afya na heri ya skukuu, baada ya muda mrefu kutumia PC zenye slot ya SIM CARD bila kuwa na WWAN adapter juzi nilifanikiwa kupata new pc yenye iyo port pia ile adapter ipo, sasa kataka windows drivers zilikuwa zimemiss nika update ikasoma ila likaja...
  5. Srebrina

    Msaada jinsi ya kuzuia matumizi ya internet kwenye windows 10

    Habarini za kazi wakuu, nina siku mbili tu toka nime switch from windows 8 to 10 kwaajili ya software ya Solidwork lakini nilicho kutana nacho ni matumizi makubwa ya data bila mimi kujua kwani ndani ya siku mbili zimetumika GB 9 bila mimi kudownload wala kuplay chochote mtandaoni. Naombeni...
  6. Srebrina

    Nafundisha utengenezaji wa vifaa vya kuwekea maua ( Flower Vese )

    Kama kinavyo jieleza kichwa cha habari hapo juu, ninafundisha utengenezaji wa flower vese wa gharama nafuu ya Tsh 2500 tu kwa mtu mmoja. Ufundishaji ni through WhatsApp na Telegram kutegemeana na Platform gani unapendelea. Kama utakuwa interested unaweza nicheki WhatsApp kupitia namba...
  7. Srebrina

    Msaada juu ya nacte oñline application

    Habarini za muda wakuu. Naombeni mnisaidie kunielewesha maana nimejisajili nacte ili nifanye application ya diploma kama zinavo onekana kwenye guidebook yao lakini baada ya kulipia nakuta course categories zilizopo ni Health and Allied Science na teaching lakini zile za diploma in engineering...
  8. Srebrina

    Msaada katika electronics

    Habari za jioni wadau. Ni siku nying hatujapeana salamu. Ninauhitaji na vitabu vizuri vya electronics vinavyo elekeza jinsi ya kusoma electronics na ku design Kama naweza pata sehemu au kwa mtu. Naitaji hard copy ivo kama kuna sehemu wanauza plz naitaji kupafahamu
  9. Srebrina

    Information kuhusu Mechatronics

    Msaada wakuu, juzi nilikuwa napitia MUST prospectus nikakutana na iyo course ya MechTronics sasa nimepata maswali mengi kuhusiana na hii course bila majibu 1. Hii course ina contains both mechanical na electronic au ni parts tu. 2. Fields zake ni zipi? 3. Na je kuna chuo kinachotoa Bachelor...
  10. Srebrina

    Msaada wa Elimu kuhusu Holographic

    Habari za muda wanajanvi nilikuwa nataka nifanyie project moja ya Ku produce hologram images ( three dimension ) ila sijui pa kuanzia nikajaribu ku google lakini sijapatà good explanations ivo nimeona ni bora niulize umu ndani ili na wengine wafaidike kwa majibu mazuri na yenye mafunzo yatakayo...
  11. Srebrina

    Msaada: Jinsi ya kuondoa password kwenye laptop hard disk

    Habari za jioni wakuu naombeni mnisaidie njia rahisi kutumia niweze kuondoa password kwenye HDD maana nimepewa mwenye nayo pia kasahau sasa nataka niipige window
  12. Srebrina

    Msaada jinsi ya Ku root marshmallow ( Android 6.0 => ) na Vodafone

    Wakuu naombeni msaada maana Google nimesearch leo wiki ya pili bila jibu yani sijapata jibu wala app ilofanya kazi pleaze najua wenye shida hii tupo wengi ivo tunaitaji msaada wa mnaofahamu, simu yango ni Vodafone smart bomba, model ni VFD 301, android version ni 6.0 marshmallow. Pls: najua...
  13. Srebrina

    Is Google implictly going to drop Java and use Kotlin for Android due to licensing issues with Oracl

    Google is not going to drop Java for Android. Google is going to drop Android. Google announced a new operating system that they have been working on: Fuchsia. Fuchsia is an open source, real time OS that was announced in August 2016. Unlike Android, it won’t be Linux based, instead it will...
  14. Srebrina

    Msaada wa mawazo kuhusu combi ya PGM

    Habari wana JF toka selection zimetoka mpaka Leo kichwa changu hakijakaa sawa, shida nilo nayo ni kwamba nimepangwa PGM ifunda tech lakini asilimia kubwa ya walimu ya shule nilomalizia wananambia kuwa hii combi haina maana ivo nikabadilishe ila hawanambii sababu ivo nikaona sio mbaya kuja kuomba...
  15. Srebrina

    Msaada juu ya kuwasha PC power supply

    Habarini wakuu, wikiendi nzima mpaka Leo nimekuwa nikihangaika na project ya kutengeneza portable lab power supply and universal power adapter Katika project yangu hii Nilikuwa nikitumia Dell PS-5301-7D ambazo ni toleo la zamani kidogo kama 1998 mpaka 2000 Power supply hii huwa haiwaki mpaka...
  16. Srebrina

    Antivirus Firm Kaspersky launches Its Own Secure Operating System

    Antivirus Firm Kaspersky launches Its Own Secure Operating System The popular cyber security and antivirus company Kaspersky has unveiled its new hack-proof operating system: Kaspersky OS. The new operating system has been in development for last 14 years and has chosen to design from scratch...
  17. Srebrina

    Msaada kupata static IP Address

    habarini za asubui nilikuwa na shida moja ivi siwezi ku convert dynamic ip address nayopewa na isp kuwa static ip? na kama haiwezekani. nawezaje pata static ip address na bei inakuwaje? pia ni mitandao gani wanatoa izo huduma na malipo inakuwa kwa muda gani?
  18. Srebrina

    PCB Materials Needed

    Habarini ndugu na jamaa mimi ni candidate ninae subiri post za skuli ninaitaji materials ya masomo hayo Physics, Chemistry, Biology na BAM kama unavo nifate PM tuongee biashara pia kama kuna njia naweza pata vitubu vya S Chand pia itakuwa poa maana nimetafuta online hadi kichwa kimechoka. au...
  19. Srebrina

    Naomba kuelekezwa jinsi ya ku-apply vyuo vya tech kupitia NACTE

    Habarini wana jamvi kuna kitu kinanisumbua hapa mimemaliza form four mwaka jana na matokeo ni kama hivi S1049/0063 M 20 II CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'B' PHY - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'C' AGRI - 'D' B/MATH - 'D' sasa nilikuwa nauliza naweza pata nafasi chuo cha DIT au...
  20. Srebrina

    Php na mysqli msaada tafadhali nashida kubwa

    Habarini wana jamvi shida yangu ni kwamba nina website natengeneza lakini shida ni kwamba code za kufuta au kuremove product kwenye cart zinagoma kufunction na button aifanyi kazi msaada wanajamvi juu ya hili website ni hii Easy Business na code ni hizi <!DOCTYPE> <?php...
Back
Top Bottom