Search results

  1. S

    Uzinduzi wa kampeni za CCM Arumeru now...

    CHADEMA ni waya wa umeme CCM wameukalia wataona utakavyo wachubua magamba ambayo walishindwa kuyavua Dodoma hilo ni gamba la kawaida sana sidhani kama linatabu kulichubua. Duuuuu kwa idadi hiyo ya watu wenyewe nadhani wamekubali DISCO la chadema ni vema bwana Tendwa akamkabidhi kijana jimbo...
  2. S

    Upompompo wa madaktari wa kibongo hasa wa muhimbili

    Inasikitisha sana kwa tuwazaniao kuwa ndiyo wakombozi wa afya zetu kuendeleza upompompo kwa kiasi hicho cha kuendelea kuangamiza afya na uhai wa watu.Mara ya kwanza mlifanya upasuaji wa kichwa mkapasua mguu na wamguu mkapasua kichwa mkasema ooohoo cjuh kakaenda kakarudi Je na huyo mtoto...
  3. S

    Uzalendo kwa nchi yetu tanzania

    Hivi nawauliza watanzania ni chama kipi kati hivi vya siasa tulivyonavyo kitatusaidia kupiga atua kiuchumi ama ni siasa zipi zinazotufaa sisi ili zitusaidie kutoka hatua moja hadi nyingine?
  4. S

    Kwanini Balali hakuzikwa Tanzania?

    kwani BALALI unazani amekufa basi ule ulikuwa uzushi ili mambo ya uchotaji wa fedha benki kuu yaani EPA usibumbumbuluke.Ingekuwa kafa kweli mbona ndugu zake walikataliwa kwenda kwenye mazishi.
  5. S

    Samwel Sitta asisitiza: Dkt. Mwakyembe kalishwa sumu, asema kuna polisi majambazi

    kamata sitta atupe ukweli wa mambo nani alimpasumu.
  6. S

    Samwel Sitta asisitiza: Dkt. Mwakyembe kalishwa sumu, asema kuna polisi majambazi

    Minashangaa kwanini jeshi la polisi linaacha kumkamata sitta juu la suala zima la mwakyembe kwani yeye anaonekanakulishikia kidedea jambo hili ile hali anahuwakika zaidi.Mtamwacha alopoke mpaka lini au serikali mnajua mnatakakufanya undangnyifu kama kuwa BALALI amekufa? acheni masiala na maisha...
  7. S

    CUF yameguka vipande vipande

    Awali ya yote napenda kuwapongeza na kuwapapole kwa ujenzi wa taifa letu tulijengalo kwa hisia tukitumai kwa ndoto kwamba litaendelea kwa midomo tu ya wanasiasa walioishiwa mbinu na kubaki na mbinu za kundelea kutuibia na kujipangia madalaka kwamba baada yautawala wangu kuisha utafuata wewe bila...
  8. S

    Mnyika, Zitto waikaba koo CCM

    kazi nzuri na nawapapongezi kwa jitihada zenu za kutaka watanzania siku moja wawe na maisha mazuri. kwani mmekuwa mkiwasaidia hawa ccm ili kupitia ninyi waweze rudisha imani yao kwa wananchi juu ya yale waliokuwa wakijitapa kuwa watabolesha maisha y kila mtanzania lakini kinyume chake wamekuwa...
  9. S

    Yes madam Speaker, We are stupid!

    Daaaaaaaaaaa! tumekwisha kama hizo posho wanapeana kimyakimya bila kusainiwa na RAIS. na huyo mtoto wa mkulima ndio anaziunga mkono kwa macho yote Eeeeeeeeeeeeeehe.
  10. S

    Aka

    Hivi ni kweli maendeleo ya nchi na wananchi wake hutegemea siasa za nchi husika Je ni kweli ama ndiyo janja ya kutaka kutuibia? KITU KINGINE KWANINI WANASIASA HUPENDA KUJIKOSHA KWA WANANCHI PINDI CHAMA CHAO KINAPOKUA KINASHHUTUMIWA NA WANANCHI HASA JUU YA UFISADI MFANO MZURI SAMWELI...
Back
Top Bottom