Search results

  1. Emmani

    Kwanini vijana wengi wanaichukia CCM na kuipenda CHADEMA?

    Kwa sababu vijana wengi wamesoma na kuelimika. Inahitaji kutokuwa na ufahamu kuipenda CCM, na hili lipo kwa wazee na vijana wasioelimika!!!
  2. Emmani

    " Wabunge wengi wa CCM wana akili mgando, " Mh. Filikunjombe

    Tanzania tunahitaji wabunge kama hawa ambao wako huru kifikira na kiutendaji sio wale wenye kufungwa na itikadi za chama kiasi cha kuona 'nyekundu' ni 'Nyeupe'
  3. Emmani

    Sophia Simba: CHADEMA wanatumiwa kuanzisha vita na Mataifa ya nje ili yapate soko la Silaha

    Hizo hoja za maCCM za mwaka 47 kipindi hiki hazina nafasi! madam bado anandoto za watanzania wa enzi hizo! poor madam! zero brain at work!!.
  4. Emmani

    Kikwete ameshasaini Sheria ya Mabadiliko ya Katiba

    Kusaini muswada hakuzuii mabadiliko? wanachi ndio watakao amua, katiba ya kuwalazimisha wananchi haiwezi kudumu kwa sababu siyo yao! hivyo vyovyote atakavyofanya tutaandika nyingine baada ya wananchi kuchagua serikali yenye kuwajali.
  5. Emmani

    Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

    mmh! wewe haya ya kujidai eti computer uliyapata wapi? au wewe ilishiriki katika jambo hilo?
  6. Emmani

    Picha: Viongozi wa vyama vya siasa wakutana na Rais Kikwete Ikulu leo; CCM ndani ya Nyumba

    Hii nayo kali; shati moja jana na leo? kiongozi wa kitaifa huyo!!!!!
  7. Emmani

    Picha: Viongozi wa vyama vya siasa wakutana na Rais Kikwete Ikulu leo; CCM ndani ya Nyumba

    Viongozi wa CCM nao walikwenda kufanya nini hapo? wao si walisema muswada umefuata taratibu zote?!!!!
  8. Emmani

    Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

    mmmmh! kazi tunayo; kumbe hiyo nafasi nayo ni ya kidini!!! poor Tanzania!
  9. Emmani

    Tundu Lissu akamatwe na kufunguliwa mashtaka

    Hata hueleweki unataka kusema nini!! kichwa cha habari na content havina uhusiano!!!!
  10. Emmani

    Wabunge wa CCM Wakibadili Mawazo Bungeni Nitarudisha Kadi yangu ya CCM Siku Hiyo Hiyo!!

    Hapa nadhani umekosa ufahamu wa nini maana ya "wise people" "get informed that wise people sometimes change their mind" and hence their decision. natumaini wabunge wa-CCM hawatakuwa tayari kurudia kosa lililowafanya waonekane hawako makini mbele ya mwenyekiti wao, kiasi cha yeye kuurudisha...
  11. Emmani

    Waziri Kagasheki ataka maharamia wa Tembo wauawe!

    Hili ni tatizo la aina ya mawaziri tulionao!! wengi hulewa madaraka na kusahau katiba na sheria za nchi zinawaelekeza namana gani!!!!
  12. Emmani

    Ndugai afichua siri ya CHADEMA

    Hii nayo ni hatari nyingine, Ndugai amekuwa mfalme njozi anayeweza kujua mawazo waliyonayo CDM, kweli tuna safari ndefu!!
  13. Emmani

    Kama Lissu ni mzandiki, Absallah Bulembo tumwiteje?

    Kinachotokea hapa ni udhaifu wa viongozi wetu kushambulia watu binafisi kwa lengo la kupoteza hoja iliyoko mbele yao!! hili ni tatizo kubwa! Viongozi wengi wanaotetea masilahi mapana ya kitaifa na wananchi kama Tundu Lissu hushutumiwa sana na viongozi wa chama tawala ili tu kuwafitinisha na...
  14. Emmani

    Nape: Msajili wa vyama kashauriwa vibaya swala la Balozi wa China

    Is it true? kwamba kiongozi yeyote wa kitaifa akisema au kufanya jambo linatokana na washauri? je viongozo hawana mitazamo, misimamo na hata uelewa wao wenyewe juu ya jambo wanalolisimamia? Huu utamaduni wa kusingizia washauri nadhani uko Tanzania pekee.
  15. Emmani

    SUALA LA KATIBA NI LA KITAIFA, Tuwasikilize wapinzani wanataka nini, hiyo ndio demokrasia huru

    Bahati mbaya sana CCM hawaoni wala kuamini kuwa katiba ni ya watanzania wote! wao wanaona kuwa wanamiliki nchi na hivyo kutaka kufanya vile wao wanataka!! nadhani katika hili wamejipalia makaa, wapinzani sasa ndiyo sauti ya watanzania.
  16. Emmani

    CCM yatoa miezi 6 kwa waziri wa Elimu kujiuzulu....Vinginevyo itamtimua kwa nguvu

    Hii nayo ina-sound kama mchezo wa kuigiza!!. Kweli CCM kuna tatizo! Mwenyekiti wa chama hicho ndiye mteuzi wa mawaziri akiwemo waziri wa elimu kwanini asimfute kazi badala ya kuja na ngonjera za majukwaani!!!! kazi tunayo nchi hii.
  17. Emmani

    Jukwaa la Katiba USO kwa USO na CHADEMA, CUF NA NCCR MAGEUZI leo ...picha.

    Naona hadi hapo kete zinaendelea kuchezwa vyema! inatia moyo sana kuona muungano kama huu ukiendelea kupanuka.
  18. Emmani

    Wabunge CHADEMA kuanza ziara

    Hii ni hatua nzuri katika kujenga na kuimarisha chama, lazima wadau muendelee kutoa elimu, taarifa na ufafanuzi pale inapohitajika. Biashara asubuhi jioni mavuno.
  19. Emmani

    Kinana: Serikali tatu ni hatari, itasababisha machafuko

    Mara nyingi wanasiasa hushangaza sana! huyu Kinana anatetea muungano wa serikali mbili ambao umejaa migogoro na kuonekana kutotakiwa na kutoaminiwa na pande zote mbili, haya ni maajabu ya wanasiasa!! CCM katika hili wanasumbuliwa na matatizo yao ya kutopenda mabadiliko kwa kujifanya wao ni...
  20. Emmani

    Upinzani huu wa CHADEMA ni mfano wa upinzani wa nchi gani za kiafrika

    Nadhani watanzania itatuchukua muda mrefu sana kujitambua, ikiwa hadi leo bado kuna watu wenye mawazo kama hayo! inashangaza sana. Hali ya kisiasa hufikia kuwa sawa kwa sababu vyama tawala havipendi kuachia madaraka kwa amani pale vinaposhindwa! anyway, tutaendelea kutoa elimu ya uraia! mtaelewa...
Back
Top Bottom