Search results

  1. U

    Urais 2015: January Makamba moto wa kuotea mbali

    Kimsingi binafsi sina wasiwasi wala shaka juu ya uwezo wa kijana huyu katika kukabidhiwa dhamana nyeti katika taifa.Ni kijana makini sana,mwenye uwezo mkubwa sana wa kuchambua mambo na kuyajua matatizo ya watanzania tofauti kabisa na umri wake.Sasa nafahamu kabisa kuwa changamoto kubwa iliyoko...
  2. U

    Kulazimishwa Kupiga bao

    Kumekuwa na tabia ya baadhi ya akina dada kuwalazimisha wenzao kuja au kupiga bao wakati wa mtanange. Hii tafsiri yake nini? ufafanuzi tafadhali.
  3. U

    Mbunge wa Chalinze (Said Bwanamdogo) afariki dunia

    Very sad news! R.I.P comrade Bwanamdogo.Poleni ndugu,jamaa,marafiki na wana Chalinze wote!
  4. U

    JK awapuuza Kinana na Nape: Mawaziri mizigo wapeta

    Kwa watu makini na wanaosimamia kile wanakichokiamini,Kinana na Nape walipaswa wajiuzuru nafsi zao Kwa kufanya hivyo kutawapa heshima na kuonekana kwamba hawakuwa na chuki binafsi au kukurupuka.Kumbuka Nape alimtuhumu Waziri Kawambwa sio tu kwa kuwa mzigo bali hata kwa maamuzi mabovu ya kutoa...
  5. U

    Je ni halali kwa Baraza la Mawaziri kutangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi?

    Nadhani kuna haja ya kutofautisha kati ya kutangaza baraza la mawaziri na kutangaza mabadiliko ndani ya baraza la mawaziri.Kilichofanyika ni kutangaza mabadiliko tena madogo tu ndani ya baraza la mawaziri.Kwa hiyo kwa katibu Mkuu Kiongozi ambaye pia ndiye Katibu wa Baraza la Mawaziri ni sahihi...
  6. U

    Meya wa Bukoba atangaza kujiuzulu baada ya Ripoti ya CAG kusoma leo!

    Kwa kuwa kujiuzuru kwa Mstahiki Amani kunatokana na yeye mwenyewe moja kwa moja na kuvunja sheria inapaswa afikishwe kwenye vyombo vya sheria mara moja.Kujiuzuru kwake si kwa uwajibikaji wa kisiasa kama kina Kagasheki,yeye ametenda kosa la kijinai.Hivyo,kujiuzuru pekee yake haitoshi na hasa kwa...
  7. U

    Bunge la katiba litarushwa live, je litakuwa ukumbi gani pale Dodoma?

    Kwa mujibu wa taarifa za awali ni kwamba vikao vya bunge maalumu la katiba litaendesha vikao vyake katika ukumbi wa sasa wa Bunge. Mpaka sasa haijafahimika kama litarushwa moja moja(live) ingawa ni shauku ya watanzania kuona kitakachokuwa kikiendelea moja kwa moja.
  8. U

    Mbunge wa Chalinze, Said Bwanamdogo yu mahututi ICU - MOI

    Oooh very sorry Mhe.Bwanamdogo. Kwa kweli nilikuwa najiuliza sana huyu Mhe.mbona simuoni bungeni kwa muda mrefu sasa? nadhani yaweza pata mwaka na zaidi hajahudhuria vikao vya bunge.Get well soon Honorable!
  9. U

    Peter Kisumo adai Warioba ndiye chanzo cha serikali tatu!

    "Kisumo amesema, yeye anaamini muundo wa Serikali mbili kama ulivyo sasa ndiyo mwafaka katika kulinda Muungano, na kwamba kama kuna kasoro zilizoainishwa na tume basi zitazamwe upya." Sasa aseme yeye anataka hizo kasoro zitazamwe upya kwa namna gani? Maana Tume imekuja na hoja ya kwanini...
  10. U

    DC Simanjiro arejeshwa JWTZ

    Mdau, ni kwamba wakati Mjeshi huyu anateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya alikuwa na cheo cha Kanali.Sasa baada ya kupandishwa ngazi kufikia cheo cha Brigedia imeonekana hastahili tena kuendelea na wadhifa wa Ukuu wa Wilaya.
  11. U

    Wenyenyeviti wa mikoa 27 kesho MONDULI kusherekea mwaka mpya

    Kama ni kweli basi ,ingoma inogileeeeee!!!
  12. U

    Mbowe: Sigombei urais, nitasimamia kupata mgombea bora kuingia Ikulu 2015

    Anakisema mdau hata mie nimekisoma kwenye gazeti la mwananchi la leo kwamba Mh.Mbowe kamuendorse Dr.Slaa kuwa mgombea urais kupitia Chadema 2015.Nakushauri ulitafute gazeti kwani habari hiyo ndio ilipoweza uzito wa juu.Sasa labda hoja iwe kama ni kweli kilichoandikwa kwenye gazeti hilo ni cha...
  13. U

    Mbowe: Sigombei urais, nitasimamia kupata mgombea bora kuingia Ikulu 2015

    Hapana mdau,utakuwa umechanganya mambo.Hapa hoja ni mtu alisimamishwa na chama chake kugombea Urais.Sasa huyu Gavana Romney unayemsema hajawahi huko nyuma kugombea urais wa USA.Aliwahi kuomba ridhaa ya chama chake kimteue mwaka 2008 katika mchakato wa zoezi la kura za maoni.So,huyu huwezi...
  14. U

    CCM kumekucha: Raila Odinga sasa amponza Magufuli!

    Kiukweli Dr.John Pombe katuangusha sana baadhi ya mashabiki wake tunaoguswa sana na uchapakazi wake.Ni kiongozi ambaye kwa kweli tulishaanza kumuona kama mmoja wa watanzania wanastahili kupewa dhamana ya kuliongoza taifa katika awamu ya tano ya utawala wa taifa letu.Sasa katika hili watu makini...
  15. U

    Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

    .Hapana mdau, mimi nadhani hapa kuna faida kubwa ya kumsaidia dada huyu ambaye kwa kweli ni kioo cha jamii.Alichofanya Mkuu wa Kaya naamini kinalenga kumfanya mwanadada huyu kuwa balozi mzuri wa kuelezea madhara ya wazi yanayotokana na utumiaji wa madawa ya kulevya kwa yeye mwenyewe amekumbana...
  16. U

    Kikwete ambaye si rahisi kumuona leo kaonekana!

    Hapana Mdau,hii picha ilipigwa juzi katika uwanja wa Ilulu huko Lindi katika maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani.Kwa hiyo alifanya maandalizi ya kutosha kabisa.Ki ukweli,nimeipenda sana hii picha!
  17. U

    Dr Walid Amani Kabourou yuko wapi?

    Kwa sasa ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Kigoma na Mjumbe wa NEC ya CCM.Huenda akaingia pia kwenye Kamati Kuu pindi itakapochaguliwa hapo Mwakani
  18. U

    Jenerali ulimwengu achafua hali ya hewa mkutano wa kutathmini APRM kwa kuhoji kura za urais za 2010

    Kusema ukweli mie sijaelewa msingi wa swali hili alilouliza bw.Ulimwengu.Nasema hivyo kwa sababu sote ni mashahidi kuwa tume ya uchaguzi ilikuwa ikitangaza kura za mgombea ubunge na uRais kwa kila jimbo.Sasa alikuwa akimaniisha washiriki kama walikariri matokeo hayo vinchwani mwao au ni vipi...
  19. U

    Uteuzi wa Susan Rice kama SOS ni hatari kwa Tanzania

    Nijuavyo mimi na naamini na watanzania wenzangu makini, ni kuwa huyu mama Dr.Asha Rose Migiro alifanya kazi yake vizuri sana pale umoja wa mataifa.Ameondoka pale kwa amani bila kashfa yoyote kiasi cha kupongezwa sana na vigogo wote wa UN akiwemo Bw.Moon.Tukashuhudia pia Bw.Moon akisema kuwa mama...
  20. U

    Maswali kwa Dr. Asha-Rose Migiro!

    Sidhani kama ni busara kumsakama mama wa watu kwa tuhuma zisizokuwa na ukweli ndani yake. Kwanza huyu mama hakuna mahali tumesikia katamka kwamba anataka kugombea urais 2015, ingawa ana haki ya kufanya hivyo akitaka kwani katiba inaruhushu kufanya hivyo na zaidi sana tukizingatia kuwa Dr...
Back
Top Bottom