Search results

  1. N

    Ushauri: Upo uwezekano wa serikali kuweza kuvunja mikataba iwapo rushwa ilitolewa

    Nafikiri kwa busara zangu, tuokoe taifa letu kwanza kwatumia hao watuhumiwa alafu tukiamalizana na hao wafisidi wakizungu ndio tuwarudia hao ndugu zetu wasaliti, hii imeshakua vita ya kiuchumi ndugu, hao jamaa wakizungu wako vizuri, waliyajua haya yatatokea tangu miaka hiyo, chochote tutakacho...
  2. N

    Kumekucha Zanzibar, mwezi mtukufu wakristo tuepuke mitego

    Kwani Zanzibar ni nchi inayo ongozwa kwa misngi ya kidini? Samahni nahitaji kujuzwa tuu!!
  3. N

    Kwa matokeo haya naweza kuchukuliwa DIT kwa course ya bio electrical engineering?

    Kijana hakuna kozi kama hiyo, unamaanisha biomedical au electrical engineering?
  4. N

    Vurugu bungeni zasababisha Bunge kuahirishwa asubuhi hii

    Nafikiri Ana Makinda anajua uwezo wakufikiri nakutoa hoja kwa baadhi ya viongoz wetu wa serikali ni mdogo akaona wanahitaji siku nzima, kesho tutaambiwa tume imeundwa, sijui wakati wanawatwanga mzee Lipumba na wafuasi wake kuna tume iliundwa.
  5. N

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Kwa mpumbavu atachukua kiti cha Muumba cha hukumu, kwa mwenye hekima atakimbia uso wa Muumba kwakujipima kiasi cha uovu wake yeye mwenyewe kabla ya Mungu kunyoosha chanda chake. Unaye muhukumu askofu kakobe na uhakika wewe ni mpumbavu kwakua hata uhakika wa kua kesho utakua salama huna unakujaje...
  6. N

    Huyu ni hacker? nisaidieni

    Wabongo bwana! wamejua vi terminologies vya wadukuzi basi wanaanzakurushiana vijembe, hz siasa uchwara zinatupeleka kuzimu... Acha mi nijilie ugali hicho ndicho ninacho kipenda, hvyo vingine vya ubishi wa ujuaji nawaachia wajuaji.
  7. N

    Wapi kuna mafunzo mazuri ya martial arts Arusha?

    Shorinji Kempo au akido wapi napata mafunzo hayo? zamani Shorinji Kempo ilikua pale shule ya kisutu lakin waliama.
  8. N

    Makamba amesaidia kushushwa kwa gharama za simu, Nampongeza sana

    Tutake radhi sisi sio wazee wa dar na dom, tunajua yupi anafaa na yupi hafai.
  9. N

    Ni lini Rais wetu amewahi kuongea na Wanafunzi wa UDSM?

    Huna adabu kwa kujumuisha wanafunzi wote.
  10. N

    Majibu ya Zitto kwa JK yaleta utata mwingine

    Kinacho uma sio wachache kujichotea hayo madafu bali ile hali ya Watanzania kuridhika na ugali na kupande cha papa, wao hawaitaji mabafiliko yaani wamekata tamaa kabisaaaaaa. Na fikiri viongoz wa dini wabadilishe mafundisho, wawa watu kutogombania hak ya maendeleo ni dhambi labda itasaidia.
  11. N

    David Kafulila(MB) awaweka washauri wa JK Pagumu: Aonyesha JK alivyolivyolipotosha Taifa Leo

    Hawa watu wamekua wezi mpaka wamekua vipofuu kabisa, kama Mungu wewe unatoa haki hapa duniani basi fanya haraka kuitoa hiyo haki ili na sisi wanyonge tupate faraja kua tuna mtetezi.
  12. N

    Engineer natafuta kazi

    Kijana kuamakini na nia zako, hii si sehemu za masihara tafadhali, hapa nisehemu ya watu walio makini na kujiheshimu. Kama unaona kazi hamna manaake shule ndogo au huna uzoefu basi ksjifunze upate uzoefu au rudi shule.
  13. N

    Hotuba ya Kikwete haina jipya kwa watuhumiwa wa Escrow. Muhongo ziarani Mara kesho

    Mungu atupe subira, manaake hii ni dharau yakiwango cha juu mnoo, labda nililala sikusikia kua nchi yetu imekua yakifalme!!
  14. N

    Prof. Anna Tibaijuka atolea Ufafanuzi sakata la Escrow, agoma Kujiuzulu

    Ndugu nikweli busara zako zimeishia hapo??? Je umeongea hayo kwakile unacho amini au research yako kua kusoma kua profesa kunaongeza idadi ya watu wasio jua kituu?? Kunashida kwakweli!
  15. N

    Kwanini Kikwete anapenda kuongea na Wazee na sio Vijana au Kina mama?

    Baba Riziki hajiamini, hata hvyo yupo kimasilahi aje kwa vijana wampe hoja zenye akili achemke!!? Mpango mzima 2015, baba Riziki hana inshu tena, kacina.
  16. N

    Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    Shida ya watz wanaopenda mipira ya kona hawawez kumkubal EL kwasababu wanaamini akirudi mtandaoni mirija itakatwa, na ndiomaana hatapalipo pachafu wanafunika shela la harusi badala la ya sanda.
  17. N

    Njama Nyuma ya KURA ZA SIRI 30

    Mzee Nyerere alishasema, misingi ya maendeleo katika nchi yoyote, siasa ni moja ya misingi hiyo, lakini alianisha siasa safi na sio siasa chafu au siasa uchwala inayofanywa na baadhi ya mahaini(watu wa chache walafi wa mali na madaraka) wa nchi hiii. Nachelea kusema Tanzania amka, toka...
  18. N

    Twiga cement plus -ina nini cha ziada?

    changamoto muhimu kwenye biashara! hata hivyo pakstan watakua wanauzoefu wakutengeneza cement nzuri kwasababu ya uzoefu wao wakuziba matundu ya risasi kwenye nyumba zilizo koga mvua za risasi kutoka kwa wakaidi(just a joke)!
Back
Top Bottom