Search results

  1. G

    Gharama za Ukataji Passports/Hati ya kusafiria nje ya nchi

    Ingia kwenye tovuti yao utaipata mi niliandikia pale dirishani unaeza kuacha ... Ukifika pale utaandika zile tarakimu
  2. G

    Gharama za Ukataji Passports/Hati ya kusafiria nje ya nchi

    Barua unaandika anwani ya kamishna wa uhamiaji ili akubali ombi lako
  3. G

    Gharama za Ukataji Passports/Hati ya kusafiria nje ya nchi

    . Haichukui muda week tu ukikamilisha kila kinachotakiwa mimi hapo nilipeleka maombi 28/04/2016 nikaenda tarehe 10/05/2016 nikachukua hati yangu.Sijampa mtu hata mia mbovu zaidi ya ada kama inavoonekana kwenye picha hapo juu!
  4. G

    Rais Magufuli aitaka bodi ya Pamba kuhamia mikoa inayolima Pamba la sivyo watakuwa wamejifukuzisha!

    Well said Angalau waende hata Mwanza Dar mbali sana kama ilivyo TANAPA japo kuna mbuga morogoro ila Arusha ndio makao yao
  5. G

    Chuchu Sound: Zamani hadi sasa

    kumbuka mbali sana na hizi ngoma asante Mtumpole kwa kuziweka, gabby katanga anapata ajali redio zikasema ni mao santiago ila all in all hawa jamaa walifanya yao enzi zao
  6. G

    Wireless Internet Kwenye Mabasi Inawezekana.!?

    Isamilo wanayo wi-fi kama ww ni msafiri wa Dar Mwanza jaribu utajionea mwenyewe,kwa sasa wamekamata sana soko la hii njia maana wanafunzi wa SAUT wanaligombania kama pipi hilo bus
  7. G

    Baba mcharuko

    Noma sana
  8. G

    Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

    Eti tofali dah unaniachaga hoi sana na hilo jina
  9. G

    Mwanamke anapokufanyia hivi maana yake nini? Ushauri please

    Tafuta Bastola ukae nayo karibu akikuzingua zaidi mlipue na ww ujilipue ndo mpango wa sasa!!
  10. G

    Shikamooo whatsapp ...!!

    Ha haa dada inaonekana hukukataa kwa roho moja mana picha za mademu wake zinakurusha roho polee!!
  11. G

    Tigo tutakutana mahakamani

    Kuwashtaki inawezekana ila evidence ndio tatizo so inabidi pale unapopata tatizo unaweka kumbukumbu yako binafsi kuwa siku flani tarehe flani nilikatwa kiasi fulani ukiwapigia simu unajirekodi mana wana empty promices sana wale wahudumu watakuambia piga baada ya saa 24 itakua tayari so ww...
  12. G

    Wanaume : Kwanini mnapenda kula bar?

    Mbona wanawake mnapenda chipsi kuku za kwenye vibanda kwani pale ndo nyumbani?
  13. G

    Nimezaa na mke wa Mtu

    Ha haa kashfa zingine noma sana
  14. G

    I NEED A NON SEX partner

    Ha haa umenena vyema
  15. G

    Ushawai tumia blackberry internet bila ya kulipia kifurushi cha huduma yao

    Hyo ni eazy sana na wa2 tumeanza kutumia toka mwaka jana ww umejua leo unataka kujikuta expert kumbe ni kitu cha kawaida ni unaenda kwenye options then tcp ip unaenable kwa kueka tick then kwa chini unaandika INTERNET af una reboot device yako kwa kuchomoa betri kama ikizingua badilisha line af...
  16. G

    Cheki maajabu ya mungu.

    Duh hata kingekuwa kipo angani ni choo
  17. G

    tetesi: Airtel Money..!!!

    Hakuna tatizo hapo mbona tz juc a joke
  18. G

    Natubu nilikula kuku na mayai

    Uswazi tunasema wali nazi
Back
Top Bottom