Search results

  1. S

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Mmmmmh hiyo ya mashariti Mimi sitoiweza. Ebu leta biashara ya kusimamia mwenyewe bila kujiunga sehemu kwa mfano kilimo, aina, wapi namna ya kufanya. Au ufugaji, aina, wapi namna ya kufanya, au duka, wapi, aina na namna ya kufanya.
  2. S

    Nauza gari aina ya Toyota

    Nauza gari aina ya Toyota Model: Nadia Year of Manufacture: 2000 Engine Capacity: 1990 Fuel Used: Petrol Seating Capacity: 05 Color: Silver Mileage: 88043 Registration number: T 326 DDS Ni ya kwangu mwenyewe Bei ni Tsh: Milioni 10 Tunaweza kuongea na kuelewana tofauti na hapo. Mawasiliano...
  3. S

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Hili ni jukwaa zuri katika kuelimishana, wadau ukiwa na milioni nne hivi unaweza ukaanzisha biashara ipi hasa Dar es Salaam au maeneo mengine mikoani na kweli baada ya miaka mitano utasema kweli nilichelewa kwa faida ambayo utakuwa umeipata?. Mawazo Wadau ili tuelimishane.
  4. S

    Serikali yaipa siku 24 kampuni ya Mohamed Enterprises kurudisha mashamba ya mkonge Korogwe

    Somo. Masikini anapouchukia umasikini wake ni jambo zuri sana. Masikini anapouchukia umasikini na kuwachukia Matajiri bila sababu yoyote inafikirisha sana. Ukiwa masikini na unauchukia umasikini haswa wakati hup huo unawachukia matajiri bila sababu za msingi jua kuwa unasafari ndefu sana...
  5. S

    Tuutengeneze uzalendo katika muktadha wa Utu.Ubinadamu.Umoja.Upendo

    Tuutengeneze uzalendo katika muktadha wa Utu.Ubinadamu.Umoja.Upendo Uzalendo ni kupendana watu wote. Naona kampeni za kuhubiri Uzalendo zimepamba moto nchini mwetu hasa katika viongozi wakuu wa kitaifa. Ni jambo zuri kusema kweli. Kuhubiri Uzalendo Kitaifa ni jambo zuri sana sana. Lakini...
  6. S

    Tafakuri:Kwa nini nguvu (power) zinafaida kubwa kwenye maisha yako binafsi na hata kwenye Taifa lako?

    Tafakuri Kwa nini nguvu (power) zinafaida kubwa kwenye maisha yako binafsi na hata kwenye Taifa lako? Wote tunajua kwamba Yesu Kristu bila kupewa uwezo na nguvu kutoka kwa Mwenyezi Mungu asingefanya miujiza aliyoifanya. Kwa sababu ya nguvu aliweza kufanya mambo makubwa. Na mambo ya Dunia...
  7. S

    Vijana tuepuke sana kulewa na mambo haya matano

    Vijana tuepuke sana kulewa na mambo haya matano, 1.Nguvu/Mamlaka/Madaraka/Cheo (Power), 2. Vitu (Property), 3. Ufahari (Prestige), 4. Umaarufu (Popularity) na, 5. Mbwembwe (Pomposity). Vimeangusha watu wengi sana kabla ya kufikia hata malengo yao. Usijiona leo una mamlaka na ungali kijana...
  8. S

    Tume yafafanua mikutano ya hadhara uchaguzi mdogo wa madiwani

    Kwa hali hii, wapinzani wajiandae kuswekwa ndani tena kwa wingi zaidi katika kata hizi
  9. S

    Hivi siasa za chuki zitaisha lini?

    Ukifuatilia kimatendo, huwezi kuona sera wala itikadi yoyote ambayo inaendeshwa kwa sasa kati ya vyama viwili yaani CCM na CHADEMA. CCM ili kufanikisha mambo yao ambayo wanataka yawe mara nyingi wakiibuka ni kuwashambulia CHADEMA kwa maneno mengi ya kebehi na vioja vingi sana. Na CHADEMA nao...
  10. S

    Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

    Hawa Watu Wasiojulikana hawa ni lini watakuwa watu wanajulikana?
  11. S

    Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

    Watu Wasiojulikana wanatakiwa watafutwe kwelikweli maana matukio yote haya walihusishwa; 1. Prof.Juan Mwaikusa 2. Dr.Ulimboka 3. Absolum Kibanda 4. Dr. S. Mvungi. 5. Alphonce Mawazo, 6. Ben Saanane, 7. Nnape Nauye 8. Roma Mkatoliki na wenzake 9. Ofisi ya IMMA Advocates na, 10. Tundu Lissu.
  12. S

    Musukuma: Kuna wanasiasa wameahidiwa 10% kuweka presha ndege kuzuiwa

    Naona kila mtu anajipima ubavu kwa Lissu kadri anavyoona anaweza kufanya hivyo katika eneo lake ili aonekane naye anajua....
  13. S

    Nakubaliana na Mbunge Msukuma,Lissu anapaswa kujibiwa kisiasa na CCM

    Mtu yoyote ambaye anasema hana Chama ni Mnafiki tu kwani ni uoga uoga tu ndiyo unawafanya mseme hamna vyama wakati moyoni nafsi zenu zinaonyesha kuwa mko mrengo fulani.
  14. S

    Hizi ni sababu mojawapo kubwa mbili zinazosababisha migogoro Barani Afrika

    Tafakuri. Hizi ni sababu mojawapo kubwa mbili zinazosababisha migogoro Barani Afrika. 1. Kubadili Katiba kwa Matakwa ya Viongozi husika na si Wananchi 2. Kung'ang'ania Madarakani baada ya muda kuisha au kushindwa 3. Nini kifanyike? Utangulizi. Migogoro Afrika ni tatizo sugu sana tangu nchi...
  15. S

    CHADEMA mbona hamueleweki?

    Wewe ndo hueleweki. Ni kipi usichokijua kuhusu CHADEMA kuanza kumuunga mkono Uhuru?
  16. S

    Hivi Ukijiuzuru Nafasi Yoyote kabla Hujajibiwa unaacha kwenda kazini?

    Swali langu hili nalielekeza kwa Prof.Lipumba na wafuasi wake ambao ni wengi sana tena sana maana karibu wote wa upande ule wanamuunga mkono. Hivi chukulia wewe ni Mwajiriwa na ukaamua kuacha kazi kwa kujiuzuru hivi, utaendelea kwenda kazini mpaka ujibiwe barua au utaamua kuachana na kazi?.
  17. S

    Kinachotokea kwenye msafara wa Rais Magufuli kinatoa picha gani?

    Eckert, (2007:1), noted that one of the more effective political strategies used by former Tanzanian President Julius Nyerere were his public confessions that he had made mistakes. In the mid-1980s, for instance, he announced: “There are certain things I would not do if I were to start again...
  18. S

    Kinachotokea kwenye msafara wa Rais Magufuli kinatoa picha gani?

    Una Unataka kuwaaminisha watu serikali kuu hamna rushwa?. Nyerere aliporudisha serikali za mitaa alijuta kwa nini alizuia.....
  19. S

    Nini maana ya neno UCHOCHEZI?

    Kila zama na mambo yake Wahenga waliwahi kunena zamani. Zama hizi, pamoja na mambo mengine kimeamua kitumie neno Uchochezi ili kuthibiti sijui wahalifu. Na neno hili linakuzwa kulingana na matumizi yake kwa vitendo kukua. Nina Maswali kadhaa kwa wale ambao wanaamini katika Uchochezi zaidi. 1...
Back
Top Bottom