Inasikitisha sana kwamba wanawake wa sasa hivi hakuna tofauti kati ya wa duniani na wa Kanisani. Wengi wao wamekuwa ni kama malaya wanaojitongozesha kila sehemu. Hii imetokana na uvaaji wa kikahaba ulio kubuhu ambao bila kuvaa hivyo wanawake wengi wanaona ni kama hawajapendeza.
Kwanini mwanamke...
Ndoa na Jamii
Je, mbona kuna talaka nyingi siku hizi? Sababu ndio hizi, na kuna nyingi zaidi ambazo hazimo katika orodha hii.
Wakati huo watu wengi huwa na chaguo la kujiondoa mapema kutoka ndoa hiyo, kuliko kungoja hadi watakapoachwa.
Siku hizi kuingia na kuondoka katika ndoa ni kama mchezo...
Kama kawaida yangu Sina mengi sana ya KUSEMA lakini hili swala la ndoa nyingi kuharibika huanzia kwa wanawake.
Kwanza ndoa ni muunganiko wa mwanamke na mwanaume kuishi pamoja KATIKA mapito yao YOTE na ili ndoa idhibitike LAZIMA kiapo kifanyike KANISANI au msikitini kwa islamu .
Inapaswa...
Sina mengi sana ya KUSEMA ila nachopenda kuwaasa vijana wenzangu tunapochagua wanawake wa kuoa tusiishie kuangalia shepu tu au sura maana ukiishia hapo ni sawa na anayenunua gari iliyopakwa rangi nzuri ila NDANI ni kubovu.
Wadada wa sahivi wamekumbwa na pepo la kunywa POMBE kiasi KWAMBA hiyo...
Nimekuwa nikiwaangalia WASANII WENGI wa bongo flavour na WA mambele HASA kwenye MIKONO yao utakuta VIDOLE vitatu VYA mwisho vina Pete.
Pete HIZI huwa zinakuwa na size kubwa ya kutisha lakini kwa kawaida ukiangalia kwa macho tu ya kawaida utagundua sio Pete za ndoa maana za ndoa huwa na size...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.