Search results

  1. nicholaussixtus

    Bima ya afya!??

    je!? yale malipo ya bima ya afya, iwapo muhusika atopata huduma kwa kutopata maradhi ndani ya kipindi husika. mfuko hufanya nini na hizo pesa!??? Nashauri mfuko kurudisha fedha za mwana mfuko endapo atozitumia kupata huduma.
  2. nicholaussixtus

    Maoni juu ya kilichotokea kwenye matokeo ya Shule ya Sheria (Law School of Tanzania)

    Habari Ndugu wadau, Napenda kutoa maoni yangu juu ya kile kilichotokea katika shule ya sheria Nianze kwa kuuliza je, mfumo wetu wa elimu upo vizuri!? Je, mfumo wa elimu unaruhusu mchakato wa namna gani pindi tunapoomba nafasi za elimu katika vyuo vikuu? MAONI 01. Mfumo haumuandai mwanafunzi...
  3. nicholaussixtus

    SoC02 Saratani ya Shingo ya Kizazi

    MAANA Saratani ya shingo ya kizazi ni ile inayoanzia sehemu ya mwisho ya nyumba ya kizazi , pale sehemu hiyo inapoungana na sehemu ya juu ya uke. JE, NINI CHANZO CHA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI? Virusi vya papiloma ndio chanzo cha saratani ya shigo ya kizazi Picha 01. Sehemu ya shingo ya...
Back
Top Bottom