Search results

  1. YphNet

    Mahesabu app: Kokotoa jumla ya mauzo ya siku

    Ndio, but inahifadhi na rekodi pia, ukifungua jalada mpya la kurekodi unaweza check jalada za rekodi za tarehe zilizopita pia for reference. Data huhifadhiwa offline mpaka utakapo uninstall app.
  2. YphNet

    Mahesabu app: Kokotoa jumla ya mauzo ya siku

    Unaweza kuedit kama ulishajaza halafua ukabadili bei. Bonyeza [1] iwe [2] mode katika app kwa juu kwenye button yenye namba, kisha touch neno lolote au namba ili kuedit then change back to [1] to leave edit mode.
  3. YphNet

    Mahesabu app: Kokotoa jumla ya mauzo ya siku

    Nami napenda mtu muwazi so usiwe na wasiwasi. Kuhusu time consumption ni kweli na ukizingatia watu wengi hawako faster kwenye kutumia mobile soft keyboard ila kero au shida ya kwenye daftari inakuja pale kwenye kujumlisha mlolongo mrefu wa namba. Mimi binafsi nilikuwa natumia daftri ila hicho tu...
  4. YphNet

    Mahesabu app: Kokotoa jumla ya mauzo ya siku

    No, hii ni kwa ajili ya kurekodi kitu ambacho kimeuzwa tayari kwahiyo unarekodi kulingana na ulivyouza na sio kurekodi ambavyo viko store japo unaweza kuforce kutumia hivyo lakini sio lengo kuu. Kuna wale ambao wanakawaida ya kuandika kwenye daftari kila kinachonunuliwa kisha mwisho wa mauzo...
  5. YphNet

    Mahesabu app: Kokotoa jumla ya mauzo ya siku

    Hii ni offline app niliyoitengeneza kwa ajili ya matumizi binafsi kwa lengo la kukokotoa jumla ya mauzo ya siku katika fremu yetu ndogo. Nimeiweka Playstore ili kushare na wengine wanaohitaji. Kwa kifupi unavyoanza siku mpya ya biashara unagusa button [J] ili kufungua jalada mpya na utaona...
  6. YphNet

    Nafasi za JKT 2023 zinatoka lini

    Mbona hata website yao haifunguki!! (May 28-2023)
  7. YphNet

    Njia thabiti ya kujifunza programming ni kujaribu kutengeneza program

    Ni kweli, wengi wanadhani chuo ndo utakuwa programmer, no kule unapata mwangaza tu. :)
  8. YphNet

    Njia thabiti ya kujifunza programming ni kujaribu kutengeneza program

    Movies tofauti na program bro. Movie ni series of scene amabayo matumizi yake yanaendana na muda unaotumia (constant time), once ikitengenezwa then inabaki vile vile kwahiyo sio issue kwa AI. Program ni kitu ambacho kinabadilika kimatumizi so kinaweza kuwa affected kutokana na input kulingana na...
  9. YphNet

    Njia thabiti ya kujifunza programming ni kujaribu kutengeneza program

    Hizo framework zenyewe zinazotumika kurahisisha kazi kusanidiwa na watu wenye uelewa wa programming in deep. Kwanza mpaka sasa bongo wengi wanaotengeneza hizo webs wala hazina ufanisi mzuri kutokana na tabia ya kutumia templates bila kuelewa coding. Unakuta zinamwonekano nzuri lakini katika...
  10. YphNet

    Njia thabiti ya kujifunza programming ni kujaribu kutengeneza program

    Sawa, AI tayari zinaweza andika piece of codes kumsaidia binadamu kukamilisha project lakini AI kama AI haiwezi chukua nafasi ya binadamu fully katika programming. Hata hizo codes sometimes inatakiwa uzikague kwa sababu AI haiwezi jua mawazo yako yote katika project. Usitake kuniambia kwamba AI...
  11. YphNet

    Njia thabiti ya kujifunza programming ni kujaribu kutengeneza program

    Sure, mda mwingine mpaka kichwa kinauma vitu vinagoma.
  12. YphNet

    Njia thabiti ya kujifunza programming ni kujaribu kutengeneza program

    Programming ni lazima kama unataka kuunda AI yako au kuiboresha. Ila kama unataka kutest data / inputs kupitia AI libraries walizotengeneza wengine hapo maana yake wewe ni end-user wa AI so programming hata basic kwako inatosha. Tena naweza kusema kwenye kutengeneza AI ndiko ambako programming...
  13. YphNet

    Hivi Mungu alisema ukitaka kuandika jina lake uanze na herufi kubwa?

    Instagram yale sio majina bali ni profile reference ili kurahisisha namna ya kushare page au profile lako kama unavyoona katika Twitter. Zaidi ya hapo jifunze kuhusu common noun na proper noun.
  14. YphNet

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Just snapshot ya game langu la bao. Linaitwa "baotz" lipo Playstore.
  15. YphNet

    Wanaume wanao vaa miwani nao watakiwa kuchunguzwa

    Tz bado kunashida kubwa sana.
  16. YphNet

    Njia thabiti ya kujifunza programming ni kujaribu kutengeneza program

    Kuna aina mbili za kujifunza AI. 1. Kuna kujifunza kutumia AI (libraries) ambazo wenzio wamekutengenezea so unataka kuintegrate kwenye kazi yako. 2. Kuna kujifunza pure AI inavyotengenezwa na jinsi ya kutumia algorithms kutengeneza AI yako ifanye vile unavyotaka wewe. Hapa ndo pagumu zaidi na...
  17. YphNet

    Njia thabiti ya kujifunza programming ni kujaribu kutengeneza program

    Of course ukitumia tools kama GUI builders kutengeneza app au website hapo hujafanya coding au programming yoyote isipokuwa hiyo tool inakuwa imefanya hizo coding internally for you. Hata hivyo kama unataka kuwa good developer (iwe AI au chochote) lazima pia uelewe vizuri kuhusu programming...
  18. YphNet

    Njia thabiti ya kujifunza programming ni kujaribu kutengeneza program

    Machine learning iko katika AI. Kwa maana ML ni subfield ya AI. Programming kamwe haiwezi kwisha labda tu namna ya kufanya programming ndo itabadilika. Nimejifunza kidogo concept ya AI na nimetegeneza game rahisi la bao la Android linaitwa BaoTz, tazama thread hii. Ili AI iweze kutumika kwenye...
Back
Top Bottom