ndo maana nimebaki nawanda,haiwezi kuwa sawa na kucheat,ila huenda sina uhakika kuna jinamizi lilikujia ndotoni na likakufanya ukweli ndo maana nikakutel nenda sehemu za kiimani,kama church,manyaunyau...chagua wewe ila mungu zaid
Nimempata vizuri mtoa mada,huenda hana nia ya kugombea rombo ila alitaka cdm itambue ya kuwa aliyepo rombo sio mtu sahihi,ni ukweli cdm rombo haitabiriki..bado kuna kazi kubwa.
mh iyo imeniogopesha mkuu,ila kumbuka hakuwa na mpango wa kuishi na yule mwanamke,na mwanamke alilitambua ilo kabisa na akatengeneza mazingira ya kupata mimba makusudi kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.