Search results

  1. ITEGAMATWI

    Mfanyabiashara bilionea Dar es Salaam, adai kutishiwa maisha, akimbia kwa pikipiki kutoroka asiuawe hadi Arusha

    Huu ni upande wa mlalamikaji, ngoja tusikie na upande wa mlalamikiwa kabla ya kuhukumu.
  2. ITEGAMATWI

    Mke wa mtu sumu, cheki kideo

    Kaona bora afe na malinda yake.
  3. ITEGAMATWI

    Ni kauli ya "kishamba" mno aliyotoa Chalamila, kuwa tarehe 24, majeshi yetu yote yatakuwa yanafanya usafi jijini!

    Mbona CHADEMA walisubiri siku Samia kaenda Hanang na wao ndiyo wakafanya ziara the same day? Hii ni michezo yao hao wanasiasa wanajuana wasitupotezee muda.
  4. ITEGAMATWI

    Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

    Unamaanisha wayahudi wa Israeli? Mpaka Leo hawamuamini lakini wanaitwa wateule wa huyohuyo wasiyeuamini. Mambo ya Imani ni magumu Sana.
  5. ITEGAMATWI

    Zaidi ya Wapalestina 200 wanaoishi Gaza wampokea Yesu kimuujiza

    Mmh! Kwamba wanaompinga ni wachache? Hebu fuatilia kwa undani source yako ya habari? Unajua christ believers ndani ya Israel ni less than 2%?
  6. ITEGAMATWI

    Zaidi ya Wapalestina 200 wanaoishi Gaza wampokea Yesu kimuujiza

    Wayahudi waliolowea Israeli lini watampokea YESU maana wanamchukia kupita kiasi.
  7. ITEGAMATWI

    Azam, Azam Udini utawaharibia

    Shule zimefungwa mkuu usishangae sana. huyu kakwapua simu ya baba yake lazima
  8. ITEGAMATWI

    'Brand' za magari na nchi zinazozalisha

    Hapo China unaisahau Vipi YU TONG mkuu, au ipo chini ya HIGER?
  9. ITEGAMATWI

    Watu waliobadili jinsia wanaweza kuwa wazazi wa ubatizo katika Kanisa Katoliki, mashahidi katika harusi za kidini na kubatizwa

    Kwani biblia inasemaje kuhusu mashoga na Roma mnaongozwa na biblia au na msimamo wa Papa? Usijizime data aisee. Kuhusu yesu kukaa na mashoga hebu nipe reference kwenye biblia ni wapi hapo aliambatana na mashoga
  10. ITEGAMATWI

    Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara

    Kwa reference ya nchi gani? Maana kwingine anapigwa viboko tu unaondoka. Sheria zetu zinaukakasi
  11. ITEGAMATWI

    Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara

    Kuna mwingine kafungwa miaka ishirini kwa kukutwa na bangi kg10. Hizi Sheria zetu sijui zikoje
  12. ITEGAMATWI

    Kuna kundi kubwa la watumishi ambao bado hawajapata mshahara mpaka leo tarehe 25-10-2024

    Kwanza kwanini mwezi huu mshahara unatoka kwa mafungu mafungu?
  13. ITEGAMATWI

    Nimemfukuza kazi shabiki wa Yanga

    Makolo yamevurugwa, kufungwa afungwe Azam kuumia yaumie yenyewe
  14. ITEGAMATWI

    Maaskofu wa TEC wamehudhuria utiaji saini wa mikataba 3 ya DP World?

    Walaka ulipendekeza bandari isibinafsishwe kwa watu kutoka nje isubiri mpaka wazawa watakapokuwa na uwezo. Unalikumbuka hilo au zile wiki sita zote mfululizo ulikuwa hausikilizi hapo kanisani kwenu? Kusema vipengele vimebadilishwa wakati mwisho wa siku DP kapewa bandari hizo ni porojo za...
  15. ITEGAMATWI

    Picha: Maelfu ya wananchi wa Nzega walivyompokea Rais Samia

    Wana CCM ni wa nchi gani?
  16. ITEGAMATWI

    Watoto wadogo ndani ya hijab

    Unataka uwapangie cha kufanya? Mbona una wivu wa kike hivyo?
  17. ITEGAMATWI

    B Plain sio kikwazo cha kuwa Tutorial Assistant?

    Unaitwa vizuri kabisa bila longolongo. Sifa ni atleast uwe na G.P.A ya 3.8 out of 5
  18. ITEGAMATWI

    Papa Francis: Hisani ya Kichungaji itumike wapenzi wa jinsia moja wanapowaomba mapadri baraka

    Vipi kuna waraka mpya utatolewa na TEC kuhusu hili? Ukitoka huo usomwe kila jumapili mpaka Yesu atakaporudi
Back
Top Bottom