Search results

  1. Q

    Najilaumu kwa kupoteza muda mwingi kukusanya nguvu za kupasulia mayai kwa nyundo

    Yani hapa ndio hujaanzia mbali kama ulivyosema, aisee, sijui ungeanzia mbali ingekuwaje mkuu. Nashauri tulia na mkeo tu.
  2. Q

    Uchakachuaji wa maziwa fresh

    Kama unaishi Dar, Maeneo ya karibu na Tegeta IPTL, naweza nikakuelekeza sehemu ambayo utapata maziwa mazuri sana ya ng'ombe
  3. Q

    Dr Nchimbi ameunda Kamati sio Tume

    ..tunapoelekea,kamati ikilegalega watasema kiliundwa kikundi cha watu kuchunguza tukio hilo..
  4. Q

    Katibu wa MAT Taifa aanza kupigiwa simu kama Dr. Ulimboka...

    ..hiyo ndo 'liwalo na liwe'sasa
  5. Q

    Jinsi walivyo facebook

    umesahau...zile za so n so checked in samaki samaki mliman city au ...was at savanna lounge quality center kila baada ya sekunde...hehee,facebook bana..we acha tuu
  6. Q

    naomba msaada wenu:natafuta kazi customer care/call center...

    asante king..kesho ataenda hizo sehemu apeleke cv yake...
  7. Q

    naomba msaada wenu:natafuta kazi customer care/call center...

    habari wanajf!naomba msaada wenu, nina mdogo wng anatafuta kazi aina ya customer service au call center:elimu yake ni kidato cha sita ila akasoma na certificate ya mambo ya customer care+marketing +computer anafahamu pia...anahitaji kujiendeleza kielimu ila financialy hatuko vizur sana i mean...
  8. Q

    DANCE MIA MIA: Ni Vichekesho

    eatv /channel 5
  9. Q

    kuunga mkono Hoja kwa 100% bungeni inamaanisha nini?

    ....wanaepuka kupinga sana bajeti coz wao wakipinga itapelekea mabadiliko makubwa ya kisiasa ikiwemo nchi kuingia katika uchaguzi before 2015 kitu ambacho wanachichiem wanogopa ukizingatia chadema imeshika hatamu sana sahv....huo ni udhaifu mkubwa ni lazma wajikubali na kubadilika sema ndo hivo...
  10. Q

    How To Identify Legit Work At Home Business.

    asanteni kwa kutufungua macho katika mambo haya ya kimaendeleo,mimi didnt know these things,nawashukuru sana...sas kwa sisi tusio na hiyo paypal account tunafanyaye?does that mean siwez kujiunga au what shud I do kupata such ac ili niweze kua member pia??thx...
  11. Q

    B.a pr&m

    unapata,espc marketing zipo ni juhudi zako kutafuta na kuapply as many posts as utakaziziona au kuskia,hakuna kitu kisichokua na faida au kazi its just juhudi tu ktk kutafuta na kukubali kuanzia chini then upande taratibu mpk ufikie malengo ila kama unatka jus afta graduating uwe meneja pr n...
  12. Q

    Its officially OVER Erick!

    owkey Bishanga,nimeelewa..nice chit chat..lkn mmh yataka ustahimilivu kwa tusojua utani kama mie..
  13. Q

    Its officially OVER Erick!

    huu utani wa mambo ya mapenzi huu...shauri yenu..
  14. Q

    Its officially OVER Erick!

    me hapa cjaelewa kidogo:kwa upeo wangu mdogo sidhan kama am with my bf crying bcoz of his mistakes hafu at the same time yey anasign in jf na kuendelea na chatings zake:coz me cwez et naongea na wew ili kuweka our relationship sawa then wew unachukua cjui laptop au simu na kupm watu lyk me...
  15. Q

    Its officially OVER Erick!

    me hapa cjaelewa kidogo:kwa upeo wangu mdogo sidhan kama am with my bf crying bcoz of his mistakes hafu at the same time yey anasign in jf na kuendelea na chatings zake:coz me cwez et naongea na wew ili kuweka our relationship sawa then wew unachukua cjui laptop au simu na kupm watu lyk me...
Back
Top Bottom