Search results

  1. S

    JK the best president of Tanzania kutua bongo na kuhutubia taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Hali ilivyo hivi sasa ni mbaya sana sana!! Huyu Rais wetu na mwenyekiti wa chama changu, haoni haya wala aibu!! Alikuwa wapi asiyatekeleze haya? Karibia kila kitu kimekwama, mambo hayaendi and the guy is never be serious anyway!! Mimi nadhani hakuna kitu kingine zaidi ya...
  2. S

    Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

    Uchambuzi huu, umenitisha sana na haya mambo tumekuwa tukiyapigia kelele kila siku Bungeni na nje ya Bunge! Sisi tunaonekana mafirauni hasa hawa mafisadi!! Hapa hakuna cha Uccm au Ucdm, sote tushikamane kuokoa taifa letu.....Sitaki wala sikubali upuuzi huu!!! Katika suala la uzalendo siangalii...
  3. S

    Warioba, Salim, Zitto na Slaa washirikiana kufanikisha mazungumzo ya Ikulu

    Kwa ufupi sana, ni dhahiri kuwa Mh. Zitto Zuberi kafanya kazi kubwa mno katika huu mchakato wote. Yatosha tu kuamini hivyo!!
  4. S

    Hello JF Nimetinga Rasmi:

    Mimi ndie Ole Sendeka Mwenyewe!
  5. S

    Hello JF Nimetinga Rasmi:

    Wana JF, Aslaam aleikum/Tumsifu Yesu kristu!! Kwa mara ya kwanza naingia humu mjengoni kwa Great Thinkers, Naombeni mnipokee tushirikiane kwa pamoja, tuelimishana, kutofautiana na kupingana bila kugombana. Hatimaye tujenge Taifa letu kwa manufaa ya sasa na vizazi vijavyo! Nawasilisha...
Back
Top Bottom