Search results

  1. The Best Of All Time

    Mke wa zamani wa Ricado Kaka afunguka sababu za kumsaliti mume wake, adai utakatifu wa Kaka kwake ulimboa

    Mke wa zamani wa Ricardo Kaka, aliyemsaliti akiri kwamba Kaka alikuwa mume bora sema aliboreka na maisha matakatifu aliyoishi Kaka. Kwa maneno yake anasema "Kaka hakuwahi nisaliti, alinijali na kunipa familia inayopendeza, ila sikuwa na furaha, niliona kuna kitu kinakosekana. Tatizo kubwa ni...
  2. The Best Of All Time

    Mashindano ya MissJF 2023 ni ubatili

    Nimeona kuna mashindano ya MissJF 2023, ilikuwa wazo zuri ila lina ubatili mtupu. Naona kama mbinu nyingine ya udhalilishaji mkubwa wa wanawake unaofanyika jukwaani kila iitwapo leo. Sababu za kuiita mashindano haya kuwa ni "ubatili" mtupu ni kama ifuatavyo. Mashindano haya hayana vigezo...
  3. The Best Of All Time

    Mwanaume, mwache mwanamke aondoke (Men, Let her go)

    Naona nyuzi nyingi sana na pia hata huku mtaani, mwanamke anapomuacha mpenzi wake wa kiume, inamuumiza mwanaume kiasi kwamba wanaume hao wanabadilika kitabia, wanawatukana, na pia wengine wanajichukulia sheria mkononi kiasi cha kutaka kumdhuru mwanamke na ikiwezekana kumuua kabisa. Mwanamke...
  4. The Best Of All Time

    Ujumbe wa Jumapili: Je, kuna maeneo yaliyokauka katika maisha yako? Nina ujumbe kwako

    Kila nikiangalia nyuzi mbalimbali naona ukavu katika kila eneo la maisha ya mtu, ukavu kwenye mahusiano, ukavu kwenye suala la utafutaji wa pesa, wengine ni wagonjwa na wengine wamesongwa na msongo wa mawazo maishani mwao, hawaoni muelekeo. Wengi wanalia kwasababu ya usaliti katika mahusiano na...
  5. The Best Of All Time

    Wanaume tuache malalamiko, tuwe watu wa vitendo na maamuzi

    Nimekuwa nikiona malalamiko mengi kuhusu wanawake humu, kila post ni kuwasema wanawake. Sio kwamba nakubaliana na wanachokifanya ila asilimia kubwa ya matatizo yote yanayotupata sisi wanaume tunajisababishia wenyewe. Kila failed long term relationship ni kosa la mwanaume na sio la mwanamke...
  6. The Best Of All Time

    Macro economics and Day Trading: Currency Trading short thread

    Siku ya Leo, kuna taarifa njema zilitoka kwenye economic data ya China , ikiwemo Gross Domestic product na pia Industrial Productions. Baada ya news hizo kutoka usiku ambapo watu wa East Africa wamelala, hii ilimaanisha ya kuwa Yuan ilipata strength dhidi ya Euro, ambayo sarafu yake inatokana...
  7. The Best Of All Time

    Benjamin Mendy afutiwa mashtaka ya udhalilishaji wa ngono kwa wanawake

    Mahakama imetoa hukumu leo kuhusu kesi ya udhalilishaji wa ngono ambao mchezaji wa zamani wa Manchester City, Benjamin Mendy anahusishwa kufanya na wanawake nchini Uingereza. Mahakama imemkuta Benjamin Mendy kutokuwa na hatia yoyote na hivyo kumuachia huru mchezaji huyu wa Ufaransa. Mchezaji...
  8. The Best Of All Time

    World Economic Forum(WEF) na mpango wao wa kupunguza watu duniani kuanzia 2023

    Mnamo wa mwezi wa kwanza, tarehe 19, wanajamii wa WEF walikutana na kujadiliana mambo mengi kuhusu Dunia kiujumla. Ila wakati mmoja, kuna mmojawao akatoa pendekezo la kupunguza watu duniani kuanzia mwaka 2023 angalau kwa asilimia 50. Bill Gates tena amezua gumzo baada ya kuandika katika...
  9. The Best Of All Time

    Unabii kuhusu Rais mwanamke aliyepo Afrika Mashariki (ulitolewa 2021)

    Mwaka 2021, Mchungaji Ian Ndlovu kutoka Zimbabwe alisema kuwa Roho wa Mungu amemwambia kuwa awaambie kuhusu Raisi mwanamke kutoka Afrika Mashariki. Aliambiwa kuwa, wote wanaompenda Raisi huyu mwanamke wanapaswa wamwombee sana maana aliona atapitia matukio mawili huko miaka ya mbele ambapo...
  10. The Best Of All Time

    Serikali yakaribisha wawekezaji kutoka Urusi

    Serikali ya Tanzania imewakaribisha Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Serikali ya Urusi kuwekeza Tanzania kwa maslahi ya pande zote mbili na ustawi wa Dunia kwa ujumla. Mwaliko huo umetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk...
  11. The Best Of All Time

    Kwanini Sharia law haifai kuwekwa katika katiba ya nchi aina ya Secular state

    Sharia Law ni muunganiko wa sheria zinazomuongoza Mwislamu maisha yake yote. Sharia ya Kiislamu Ina hasara kubwa kwa atu wasio waumini wa Kiislamu hasahasa Wakristo na nitazioanisha hapa kama zifuatavyo. Inaminya uhuru wa kuabudu: Hakuna uhuru wa kuabudu Kwa watu wasiokuwa Waislamu katika nchi...
  12. The Best Of All Time

    Wanafunzi nchini Uganda waandamana kupinga EU kuhusu mzozo wa Mafuta nchini Uganda

    Wanafunzi wafanya maandamano ya kupinga Muungano wa Ulaya juu ya mzozo wa mafuta wa Uganda Patience Atuhaire / BBCCopyright: Patience Atuhaire / BBC Mamia ya wanafunzi wa Uganda wanaandamana dhidi ya bunge la Ulaya, baada ya kupinga mradi wa mafuta baina ya nchi hiyo nan chi Jirani ya Tanzania...
Back
Top Bottom